Ushauri umetolewa kuwa, anayetaka mke bora, basi na aoe askari

Ushauri umetolewa kuwa, anayetaka mke bora, basi na aoe askari

Wale wote mliooa askari tunaomba mtupe mrejesho kuhusu madai ya huyo askari wa kike kwenye hiyo video. Je, ni kweli hao wake zenu ambao ni askari, ni bora kuzidi wale ambao si askari au anawapanga tu wanaume ili waingie mkenge?
 
Askari wenyewe ndiyo hao wanaoenda kugombania petrol inayomwagika kwenye tanker za watu na walala hoi,yaani badala atoe elimu hatari inayowakumba na yeye na crown ya taifa akaenda kujibanika kwenye hatari.

Kama angekuwa askari mwanaume kwenye lile tukio asingefanya upuuzi alioufanya yule mwanamke.
 
Back
Top Bottom