basi

  1. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Unapokuwa IYOVI basi remember to stay on you lane

    That's place is too scary kupita lile eneo salama ni kumshukuru mungu zile kona wahuni wanalala nazo kama Lewis Hamilton wa Formula one. Stay on you lane
  2. Webabu

    JamiiForums Tanzania Marekani yawaambia Houth" kama hamtaki tuwapige basi na nyinyi msitupige"

    Vita vinavyoendelea mashariki ya kati kwenye nchi mbali mbali vinazidi kuwa tata. Marekani wiki mbili zilizopita iliamua kushambulia maeneo ya Yemen baada ya tishio la Houth kuwa wangerudi kushambulia meli na maeneo ya Israel baada ya Israel kuvunja makubaliano ya kusitisha vita. Mashambulizi...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Siku makanisa yakijaa waumini matajiri na kuongozwa na nabii mmoja aliye masikini basi yesu atakuwa alikuwepo kweli!!

    Siku ikitokea waumini wote wa mwamposa wakawa matajiri kumshinda mwamposa basi itakuwa ni ishara ya wazi kuwa yesu alokuwepo na anafanya kazi. Kinyume na hapo ni ujinga tu ma hadithi za kusadikika!!
  4. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Kama uliusikiliza huu wimbo enzi hizo, basi fanya uowe/uolewe/uzae haraka

    BURUDANI Leo nakuletea uzi wa burudani, lakini pia nakukumbusha kuwa kama uliusikiliza huu wimbo tangu siku ambayo wimbo ulitambulishwa sokoni basi fanya uowe/uolewe/uzae. Usilete visingizio kuwa unatafuta hela, huenda fungu la hela limekupita kushoto, hivyo usipitwe na fungu la uzao, utakufa...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri umetolewa kuwa, anayetaka mke bora, basi na aoe askari

  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kwa hizi sera za wakurya basi ndio wanaweza kuwa kabila ambalo ni more favourable kwa ajili ya single moms.

    Unaambiwa mkurya akitaka kuoa hajali wewe una watoto atakuchukua tu na pia atahakikisha hao watoto wako wanakuwa wa kwake kama yeye ndio aliotwaa na hadi kuwapatia majina ya ukoo wake na na hadi mali za nyumbani wanaweza kurithi, sasa aanze kusikia unamuongelea baba yao sijui nani au baba yao...
  7. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Katika nyakati ambazo Iran anapaswa awe mpole na afiche kichwa chake basi ni wakati huu wa hatari, maana anapitia majaribu makubwa

    Amani kwenu wakuu Iran kashasoma nyakati yupo kama hayupo na mimi pia namwombea akae kwa kutulia hivyo hivyo, maana wale wababe wa Dunia wana mtafuta kwa nguvu nyingi sana Anapitia majaribu makali sana lakin hana budi kunyenyekea na kutulia na kuutazama msalaba Atulie hivyo hivyo...
  8. Willy NGOMA

    JamiiForums Tanzania Wanawake, oneeni huruma watoto wenu basi!!!!

    Hivi, japo najua si mimi pekee, badhi ya wanawake, msio na chembe ya huruma kwa watoto wenu, japo mnasahau kuwa ipo siku mnacholingia hakitakuwa na thamani tena, mnafikilia kizazi mnachotengeneza!? Nikiwa kama single father, nimejitahidi sana, na bado naendelea, ila wazee, ukiona mwanamke...
  9. Lavan Island

    JamiiForums Tanzania Nataka kusafiri kwenda Eritrea kwa njia ya basi au treni je mnawezaje kufika? Naomba msaada kwa ana fahamu

    Nataka kusafiri kwenda Eritrea kwa njia ya basi au treni je mnawezaje kufika? Naomba msaada kwa ana fahamu
  10. Marco Polo

    JamiiForums Tanzania Safari ya kutoka Dar kwenda Butiama Kwa usafiri wa basi

    Nina safari hivi karibuni kwenda mkoa wa Mara Butiama naomba kujua yafuatayo: -Je mabasi yanaondoka asbhi saa 12 au muda wowote? - Safari kutoka Dar mpaka Butiama inachukua masaa mangapi mpaka kufika? - Sehemu ya kufikia inayoridhisha nikiwa hapo Butiama.
  11. goswe

    JamiiForums Tanzania Kulingana na maandiko kama walikunyunyizia maji basi walikudanganya wamekubatiza

    KWAKUANZIA KUMBUKA MTOTO HANA DHAMBI YOYOTE YA KUTUBU,HAJAWAHI KUTENDA DHAMBI. WALA TOBA HAKUNA MTU WAKUMSEMEA MWINGINE. YESU ALIBARIKI WATOTO AKABATIZA WATU WAZIMA KWA WANAFUNZI WAKE. JAMBO LOOTE LIMEPOTOSHWA NA KUGEUZWA. OK Warumi 6:4 [4]Basi tulizikwa pamoja naye kwa njia ya ubatizo katika...
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo huwa kama ndio basi ikipita siku,mwezi,mwaka wanajua ni kelele za chura sababu wao ndio wenye nchi

    Nikikumbuka Tukio la RPC Liberatus Barlow wa Mwanza aliuwawa mwanza yani wahusika walipatikana muda si mchache.Ila ukiangalia matukio kama ben sanane,Tundu Lisu kupigwa risasi na wanaharakati au ambao wanapinga mambo ambayo utawala ufanya upotea kwa maelezo rahisi ambayo utolewa. Tofauti...
  13. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Tukio la basi la Yanga kwenda Mo Simba Arena kule Bunju linatakiwa liondoke na watu pale Yanga

    Ndugu zangu, matukio ya siku chache zilizopita mnaweza kuyachukulia kwa utani ila ni matukio serious sana ambayo yangeweza kuleta maafa makubwa. Sitaongelea tukio la Simba kushindwa kufanya mazoezi wala Yanga kupeleka timu uwanjani maana kuna nyuzi nyingi zinazozungumzia hayo. Mimi nitaongelea...
  14. Pdidy

    JamiiForums Tanzania TFF iteni waandishi wa habari muombe radhi kwa mlichokifanya

    WATANZANIA Pamoja na kushikwa na taharuki ya mliyoyafanya Basi NENDEN kwenye press Ombeen radhi kwa wananchi wote kwa upuuzi wenu Hakuna aliefurahia hata mmojaa Tulitarajia pamoja na mliyoyafanya mngeita waandishi WA habari Muombe radhi Msiwe kimya kiasi hicho KUSHINDWA KUOMBA radhi
  15. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Ndugu Zangu Waislamu. Ikifika kipindi cha mfungo basi punguzeni maigizo

    1. Unazini mwaka mzima ukija Mwezi huu ulivyokuwa mrahibu wa ngono unaharalisha ufuska wako kwa kuoa single maza ambaye unaachana nae miezi mitatu baadae (ungefunga ngono badala ya chakula ungekuwa umefanya cha maana) 2. Kila siku wala kwa meza migahawani ila leo eti unataka wakuwekee kwenye mkeka
  16. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Basi la Yanga kwenda Bunju ni masharti ya mganga wao - Mchungaji

  17. BigTall

    JamiiForums Tanzania Kuna Basi la Mwendokasi lilikuwa linapita njia ambayo sio yake, limegonga mtu kwenye Zebra, amefariki Kimara

    Habari, huku Mtaani kwetu kuna jamaa amefariki baada ya kupata ajali ya kugonjwa na basi la Mwendokasi jioni mida ya saa moja, Machi 8, 2025 wakati anavuka kwenye Zebra. Mashuhuda wanasema kuwa kuna Basi la Mwendokasi ambalo lilikuwa linapita njia ambayo siyo ya kwake, ilikuwa ikitokea Ubungo...
  18. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Umefeli? Umekosa hata cheti uende Chuo cha Ualimu? Basi subiri uiingie Jeshini

    Anaingia JKT, anamaliza kozi za mafunzo, anapata Ajira Jeshi la Polisi . Anaendelea kufanya kozi Kadhaa wa Kadhaa, anapanda vyeo ,na kweli anakua hata OCD . Kama sio Sasa, ndivo ilivyokua . Kwa namna hii Kwa nini tusijitungie Sheria za kutulinda dhidi ya kushatakiwa pale tunapotimiza majukum...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Ukweli huu ukizingatiwa, basi suluhisho la kugombania Jerusalem na Dome of the Rock itapatikana

    Nasihi tumia dakika 7 tu za urefu wa video hii utapata ukweli wote. Halafu ndiyo utajua kwanini waarabu wa Saudi Arabia wakiongozwa na MBS wameanza kuyasitukia magundisho ya Quran na Sunnah zake kuwa ni kikwazo cha maendeleo na ustawi wa jamii za binadamu...
  20. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kama kila anayefeli anaambiwa akalime, basi kilimo kiwe somo la lazima kuanzia chekechea

    Kama kila anayefeli malengo anaambiwa akalime kwa nini kilimo kisifundishwe kuanzia chekechea? Kifundishwe pote hadi IST ili wao nao wakifeli maisha wasije kusumbua motaani angalau wawe na option ya kulima maana imeonekana ni kimbilio na mkombozi na option kwa wote wanaofeli malengo ya maisha...
Back
Top Bottom