Uzi siyo mrefu sana ninaandika nikiwa natetemeka kutokana na upuuzi unaoendelea hapa nchini.
Yani unamuuwa mwenzako kwasababu ya kulinda maslahinyako binafsi???
Kama kweli unalipenda Taifa na unataka liwe na amani kwanini usiwasikilize wananchi wanataka nini? Kwasabab wananchi wao ni majority...
Afande Muliro usipojiangalia kwa kauli zako nyepesi na majibu rahisi utakuwa unajiwekea wakati mgumu kwa wananchi na Polisi Tanzania nzima.
Mpaka sasa ni wazi polisi mshakuwa na mifumo ya wahalifu ambayo hata kupelekea mwanya huu ndani ya watawala na watu wengine kutumia mtindo wenu.
Kwa...
Amani iwe nanyi!
Kuna muda boss wangu nilikuwa nawaza sana anavyofanya maamuzi yake, Kuna wakati mpaka nilikuwa naona tunaenda kifirisika kumbe yeye ana target zake. (Off course ni mtu wa real estate)
Lakini nikafanya utafiti mazuri sana kumbe kwanzia saa nane na nusu usiku mpaka saa Tisa...
Habari zenu wana jamiforum ,hakika hili jukwa linazidi kuwika kila siku maana kila unachohitaji kujifunza kipo hapa .
TWENDEE KWENYE MAADA.
Katika harakati za kufanya biashara yangu ya dagaa nilipata mteja mmoja ambae sijawahi na sikufikiria kuwa inaweza kuwa hivyo maana mambo ya ushirikiana...
Yaani hakuna wa kumsumbua mwenzake. Mtu akipata mwanya anazichota tu.
Aiseee hatari.
Ndio maana sasa hivi mtu anaanzisha campaign yake yoyote anaibatiza tu kwa jina la mama anakwenda kuchukua pesa
Mimi nataka nianzishe campaign ya "mama kaupiga, 2025 njia nyeupe"
Ukiwapigania Watanzania...
Soma mpaka mwisho maongezi haya kati ya Interviewer na ChatGPT - utacheka, lakini pia utakubaliana nami kwamba hizi ni siku za mwisho. Injili inahubiriwa kwa kila njia, kwa mataifa yote, kama Yesu alivyotabiri(Mathayo 24:14) :)
--------------
Swali: We chatGPT ni mbishi sana. Kila mahali, watu...
Watanzania katika ubora wa "MAKING STUPID PEOPLE FAMOUS"
Nafasi ya Mtanzania wa kawaida kuwa katika viwango vya umashuhuri kwa kutumia ubunifu na logic ni kama imeshapigwa chini vibaya mno.
Ni ngumu sasa hivi kuonesha ubunifu wako kwa watu, yani ni either wewe uwe kama umeweuka na mwingi wa...
Napenda kuongelea Ukumbusho wa kifo cha Yesu ambao Yesu aliwaagiza wanafunzi siku ile anafanya nao Karamu ya mwisho (Alhamis Kuu baada ya jua kuzama) NB kwa kalenda ya Kiyahudi, tayari waliisha anza Ijumaa Kuu ambapo alikufa saa 9 mchana. Katika Luka 22:19-21 yesu akawambia hivi "Fanyeni hivi...
Lissu amemaliza kuhutubia mkutano wa hadhara wa Mbinga leo akasema ashuke akachangiwe Hela na wananchi, wakati anashuka akakutana na OCD pale jukwaani akaambiwa anahitajika ofisi ya OCD
Sasa hivi, LISSU akarudi jukwaani akasema yameanza, basi akasema sitokwenda kwa OCD nimechoka sana.
Sasa...
Kwa kweli hii nchi tulikuwa tunaongoWa na mshamba kweli kweli. Maendeleo kidogo tu tena almost negligible kelele wiki nzima na kuita vyombo vya habari ili kusifu
Mbona jk alikuwa anaajiri almost walimu na madaktari wote nchima lakini hatukusikia mayowe na mapambo
Mbona samia anafanya mambo...
Wadada wengi wanapenda kuzaa watoto wazuri, nadhani wote, wawe wanaosha kwa watu.
Yani wadada wengi nikikutana nao, wanakwambia we kaka mzuri, unipe mbegu. Hapo ushaelewa wanamaanisha nini.
Sasa wanaume wenye sura ngumu na personal ndio wananishambulia sana na kusema mi shoga, kumbe wanafisha...
Askari wa Kikosi cha Usalama barabarani, ambaye jina lake halikufahamika mara moja, amenusurika kipigo kutoka kwa wananchi, waliodai kuwa amesababisha Bajaji kuwaka moto, baada ya kumkimbiza Dereva wa Bajaji hiyo aliyevunja sheria, kwa kupita barabara ya Mwendokasi.
Askari huyo alikimbilia basi...
That's place is too scary kupita lile eneo salama ni kumshukuru mungu zile kona wahuni wanalala nazo kama Lewis Hamilton wa Formula one.
Stay on you lane
Vita vinavyoendelea mashariki ya kati kwenye nchi mbali mbali vinazidi kuwa tata.
Marekani wiki mbili zilizopita iliamua kushambulia maeneo ya Yemen baada ya tishio la Houth kuwa wangerudi kushambulia meli na maeneo ya Israel baada ya Israel kuvunja makubaliano ya kusitisha vita.
Mashambulizi...
Siku ikitokea waumini wote wa mwamposa wakawa matajiri kumshinda mwamposa basi itakuwa ni ishara ya wazi kuwa yesu alokuwepo na anafanya kazi.
Kinyume na hapo ni ujinga tu ma hadithi za kusadikika!!
BURUDANI
Leo nakuletea uzi wa burudani, lakini pia nakukumbusha kuwa kama uliusikiliza huu wimbo tangu siku ambayo wimbo ulitambulishwa sokoni basi fanya uowe/uolewe/uzae.
Usilete visingizio kuwa unatafuta hela, huenda fungu la hela limekupita kushoto, hivyo usipitwe na fungu la uzao, utakufa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.