barrick

Barrick Gold Corporation is the largest gold mining company in the world, with its headquarters in Toronto, Ontario, Canada. The company has mining operations in Argentina, Australia, Canada, Chile, the Dominican Republic, Papua New Guinea, Peru, Saudi Arabia, Tanzania, the United States and Zambia. More than 75% of Barrick's gold production comes from the Americas region. In 2018, it produced 4.527 million ounces of gold at all-in sustaining costs of US$806/ounce and 383 million pounds of copper at all-in sustaining costs of $2.82/pound. As of December 31, 2018, the company had 62.3 million ounces of proven and probable gold reserves.

View More On Wikipedia.org
  1. Kurzweil

    Mahakama ya Rufaa yatupilia mbali pingamizi la Barrick. Kampuni hiyo imetakiwa kulipa kodi ya Tsh. bilioni 95

    Kampuni ya African Barrick Gold ilikata rufaa dhidi ya Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) baada ya Barrick kutakiwa kulipa kodi ya Dola za Kimarekani Millioni 41,250,426 sawa na zaidi ya Bilioni 95 za Kitanzania Hii ni rufaa ya 3 iliyokatwa na Barrick ambapo Kampuni hiyo inashindwa kupata ushindi...
  2. Mwamba1961

    Kuna mtu alishawahi kutuma maombi Barrick na akaitwa?

    Habari watafutaji wenzangu, Naomba niwaulize, hivi humu ndani kuna mtu alishawahi kutuma maombi Barrick na akaitwa? Maana naona wanatoa tu matangazo ya ajira ila naona siitwi. Wewe unasema ulishawahi kuomba ajira Barrick na ukaitwa kwenye interview? Karibuni
  3. Influenza

    Barrick imeilipa Tanzania dola milioni 100 ikiwa ni sehemu ya malipo ya dola milioni 300 ya fidia ya kodi

    Kampuni ya Barrick imeilipa Tanzania dola milioni 100, sawa na takriban sh. bilioni 250, ikiwa ni sehemu ya malipo ya dola milioni 300 ambazo Kampuni hiyo ya Madini ilikubali kulipa kama fidia ya kodi. Mfano wa Hundi ya kiasi hicho cha fedha imekabidhiwa na Meneja Mkazi wa Kampuni ya Barrick...
  4. Pascal Mayalla

    Habari Njema Kutoka Barrick Gold kwa Watanzania, Tunaanza Kufaidi Rasilimali Zetu, Donge Nono la Dola Milioni 100 zalipwa

    Wanabodi, Hatimaye Tanzania sasa tunaanza kufaidi rasilimali zetu za madini, ambapo leo, donge nono la dola za Marekani milioni 100, zimelipwa kwenye kile kibubu chetu pale kwenye ule mfuko Mkuu wa hazina ya serikali kama advance payment ya kile kishika Uchumba cha dola milioni 300, ambacho...
  5. MsemajiUkweli

    Mkurugenzi wa Barrick Gold adai Makinikia yaliyozuiwa Bandarini Dar yana thamani ya $280 Milioni

    Wakati akiongea na shirika la habari ya Uingereza liitwalo Reuters, Mkurugenzi wa Kampuni ya Barrick Gold, Mark Bristow amesema Makontena ya Makinikia yaliyozuiwa na serikali ya Tanzania Bandarini Dar es Salaam yana thamani ya Dola za Kimarekani milioni 280 ambapo ni sawa na takribani shilingi...
  6. J

    Pendekezo: Wakati wa sherehe za utiaji saini mikataba mikubwa kama wa Barrick KUB aalikwe ili baadae akawaelimishe Wapinzani

    Hili ni pendekezo tu. Kwamba KUB awe anaalikwa katika matukio muhimu ya kiserikali ili akiisha kuelewa yeye aende akawaelimishe na wafuasi wa kambi yake. Kwa aina ya wapinzani tulionao vichwa vyao ni rahisi kuelewa wanapoelezwa jambo " lile lile" na viongozi wao kuliko kusikiliza mubashara...
  7. technically

    Barrick vs Tanzania: Tukubali tu kwamba tumezidiwa ujanja na Wazungu

    1. Hakuna kubadili sheria ya madini mpaka Barrick waondoke nchini. 2. Hakuna kuishtaki Barrick mahakama za ndani. 3. Barrick haitajisajili ndani ya DSE. 4. Hakuna Mtanzania atakayeweza kununua hisa kwenye kampuni. 5. Serikali itapata share ya net profit na net loss kwa 50%. Kwa mkataba huu...
  8. elivina shambuni

    Mitungi ya gesi sasa kuundwa nchini Tanzania

    KAMA unatumia mtungi wa gesi ya kupikia nyumbani kwako, basi fahamu kwamba mtungi huo umeundwa nje ya nchi. Lakini muda si mrefu, mitungi ya aina hiyo itaanza kutengenezwa Tanzania na gharama zake zinatarajiwa kuwa nafuu kuliko ilivyo sasa. Akizungumza katika Maonesho ya Viwanda Mkoani Pwani...
  9. C

    Acheni kupotosha alichokuwa amesema Tundu Lissu kuhusu Acacia na MIGA

    Wafuasi wa Lumumba ama kwa ile kukosa uelewa, au kwa makusudi tu, since Day 1 wamekuwa wakipotosha ambacho Tundu Lissu aliongea kuhusu MIGA! Au wakati mwingine inawezekana ni kutokana na tabia yetu Watanzania ya kutotafuta ukweli! Binafsi nimekuwa nikilijadili suala la makinikia since Day 1, na...
Back
Top Bottom