baridi

Baridi (Persian: بريدي‎, also Romanized as Barīdī) is a village in Surak Rural District, Lirdaf District, Jask County, Hormozgan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 40, in 10 families.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania SoC03 Teknolojia ya vyombo baridi vya usafiri

    Miongoni mwa changamoto zinazolikabili Taifa la Tanzania na Bara la Afrika lakini pia Dunia nzima ni Ajali za Barabarani pamoja na Foleni za Barabarani. Ajali za Barabarani husababisha aidha kupoteza roho za watu au kuharibu miili na akili za watu jambo ambalo halitakiwi kunyamaziwa hata kwa...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Baada ya video ya mhudumu wa afya kuosha vifaa tiba na maji baridi kusambaa, wamekurupuka na kutoa matamko mawili

    Baada ya video kusaambaa ikionesha mhudumu wa afya akiosha vifaa tiba kwa maji ya baridi na kunianika juani, serikali imekuja na majibu, ila kama kawaida inaonesha huwa hawawasiliani na hivyo kutoa matamko mawili mawili. Waziri Ummy katoa tamko kuwa ameona video hiyo na kwamba atafatilia kujua...
  3. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Wengi wetu tumetungishwa mimba kipindi cha baridi

    Naishukuru sana hali ya hewa ya baridi kwasababu wewe ndiye sababu ya mimi kutungwa mimba, pengine isingekuwa baridi labda wazazi wangu wasingelitafuta joto. Wengi jambo hili litawachekesha lakini picha mtaipata ukubwani, mtakapobalehe mtagundua kuwa na maanisha nini. Sasa hivi habari iliyopo...
  4. YE67NBE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wauza mechi hiki kipindi cha baridi msisahau kununua ARV, Azuma na Powercef

    Wasaalam wadogo kwa wakubwa😀😀 Natumai nyote wazima wa afya. Niende kwenye mada kama mnavyoona huu ni mwezi wa 6 sasa, na mjuavyo baridi imeingia mpaka DSM sasa. Na kama mnavyojua miili yetu, baridi ikiingia akili na mwili hutafuta joto na hilo joto lenyewe, hupatikana sehemu za siri huko😋...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tunaelekea msimu wa baridi; homa za mafua na kikohozi ni Jambo linalotarajiwa

    Kwema Wakuu! Poleni na Misiba na Kwa wale wanaofurahia niwape pongezi. Ndio Maisha hayo. Sio lazima Msiba wako uwe Msiba WA Watu wote, wengine kwao inaweza kuwa ni sherehe. Msimu tunaoelekea ni msimu wa baridi, masika ndio imemalizika hivyoo! Kikawaida baridi ni mwezi wa sita na wasaba lakini...
  6. Melki Wamatukio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania SI KWELI Ukimeza kidonge kwa maji ya baridi sana, kidonge hakifanyi kazi

    Hivi ni kweli kuwa mtu anapomeza vidonge kwa maji ya baridi sana ya friji, vidonge hivyo haviwezi kufanya kazi?
  7. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Moshi: Afisa Elimu wa Manispaa kumuweka LOCKUP mwalimu, walimu kuanza mgomo baridi tar 11.4.2023 kutokufundisha hadi Ngonyani ahamishwe

    Shule Za msingi Tanzania zinafunguliwa Kesho Tar 11.4.2023 kwa kilio baada ya walimu wasio pungua 760 Moshi Manispaa kutangaza mgomo baridi wa kutokufundisha . Hii ni KUTOKANA na mwezao kuwekwa Lockup na manyanyaso walimu wanayoyapata kutoka kwa afisaelimu (Ngonyani) hadi hapo atakapohamishwa...
  8. Deadbody

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuliowahi chakata papuchi za baridi tukutane hapa

    Dah wakuu hizi papuchi zinatesa sana. Niliwahi kutana na demu wa Singida aisee ,mtoto mkali anavutia sana kwa nje lakini kufika kunako 6×6 kila nikiweka sikojoi. Mara saa moja inakatika bado sijakojoa,wakati huo yeye ashakojoa Mara Tatu. Mnara unasoma 5G ila sikukojoa ,kila nikibadili style...
  9. Richard

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo ni miaka 20 imepita tangu Marekani na Uingereza waivamie Iraq na kuivunja nchi hiyo mazima. Je, wataweza kuivunja Urusi vipande vipande?

    Miaka 20 ilopita, Marekani na washirika wake akiwemo Uingereza waliivamia nchi ya Iraq baada ya kushindwa kulishawishi baraza la usalama la Umoja wa Mataifa. Marekani na Uingereza walishindwa kulishawishi baraza la usalama la umoja wa mataifa kuweka azimio au "resolution" la kuwawezesha kuwa na...
  10. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Jibu Kwanini kimiminika Cha moto huganda haraka kuliko Cha baridi katika friji (mpemba's law)

    Hatimaye najibu Mpemba's Law 🤭 Kwanini kimiminika cha moto kinaganda haraka kuliko cha baridi katika friji.. Hapa jibu letu tunaweza kulipa jina "Utaratibu wa Mapambano ya Usawa". Kuwa kitu kilicho katika uchini wa chenzake hupambana kufikia hali bora na katika kupambana huko kitu hicho hushinda...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Lipumba yuko Magomeni leo, kulikoni baridi hivi?

    Leo Prof. Lipumba atakuwa na jambo lake Magomeni. Kulikoni wapambe wamemtelekeza? Hata timu nzima ya chawa wazamivu nayo baridi! Kulikoni Jilala, Country , Mtambuka, joni inakuwa je sasa?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Mifugo & Uvuvi wekeni viwango samaki wa maji baridi hasa Sato

    Inaelekea kuna rushwa nyingi au kutokufahamu wa Serikali kwenye hii Wizara ya Uvuvi. Lakini kuwa wanaofaidika sana na elimu ndogo kwa raia wa Tanzania Watanzania wakiona samaki wa sato wananunua kwa kujiaminisha wanatoka ziwa Victoria. Tatizo kubwa ni kwamba huu sio ukweli. Samaki wengi wa sato...
  13. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Nawahi kuamka nikiwa sina uchovu sehemu zenye joto ila naamka kwa kujivuta vuta sehemu zenye baridi, huu ni ugonjwa?

    Nimeanza kuona kama ni ugonjwa fulani hivi, nipo mikoa yenye baridi kwa asili huwa nikiamka naamka kwa kujikokota sana na hata ratiba za mazoezi muda mwingi napuuzia; inabidi nivute vute muda sitoki kitandani mpaka nikikaribia kwenda kwenye shughuli zangu. Mikoa yenye joto ikifika tu hata saa...
  14. Championship

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vipi ulaya imeshaganda kwa baridi baada ya urusi kufunga koki za gesi?

    Matamko ya warusi wa JF ilikuwa ni kwamba majira ya baridi yakiingia urusi atazuia gesi hivyo ulaya yote itaganda. Ningependa kupata updates juu ya hali ya ulaya kwa sasa maana msimu wa baridi ulianza mwezi disemba.
  15. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sherehe ya Uvuvi wa Majira ya Baridi katika Ziwa Jingbo yafanyika mkoani Heilongjiang, China

    Sherehe ya Uvuvi wa Majira ya Baridi katika Ziwa Jingbo imefanyika tarehe 27 mkoani Heilongjiang, China, ambapo takriban kilo laki 1.2 za samaki zilipatikana kwa kutumia wavu wenye urefu wa mita 2,400. Shughuli hiyo imeonesha utamaduni wa jadi wa uvuvi wa samaki wa kabila la Wahezhe.
  16. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Winter is Coming: WaUkrainia nje ya nchi waombwa kutorejea kipindi cha baridi sababu ya shida ya Nishati

    Mrussi Kumbe alipita kwenye mshono kwa hesabu kali. Muda Si mrefu wanaingia baridini na hali ni mbaya sana katika kukabiliana na janga hilo. Nadhani uwanja wa vita utakuwa kama setup ya mwisho ya Game of Thrones. Winter is coming!! Soma: Deputy Prime Minister Irina Vereshchuk has asked her...
  17. MakinikiA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei EU umepanda sasa double digit

    Double-digit inflation hits another EU member Economists label surging prices in Denmark a “true nightmare for Danish wallets” Double-digit inflation hits another EU member Annual inflation in Denmark reached 11.1% in September, the Danish news agency Ritzaus Bureau reported on Monday, citing...
  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tanzania tujipange kupokea wazungu watakaokimbia baridi kali kwao

    Hali sio nzuri nchi za Ulaya na Marekani, mfumko wa bei ya mafuta, gesi na chakula umevuruga mipango ya serikali na raia ya wazungu. Hivi karibuni majira ya baridi yataikuta Ulaya ikiwa na uhaba wa gesi na umeme kupashia nyumba joto. Hii itawafanya wazungu wengi kuja kujisalimisha nchi za joto...
  19. Narumu newz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majira ya baridi ndiyo yataamua hatma ya vita ya Ukraine

    Ni ukweli usiopingika ,achilia mbali mahaba tuliyonayo ,maana kila binadamu ana chaguo lake ,pro NATO na pro Russia wote wana haki ya kuwa na mahaba ,kwa kadri ya ufahamu na mitazamo ya namna mbalimbali. Ila sasa wakuu hii vita tuambiane ukweli tuu majira ya baridi ndiyo yatatoa matokeo halisi...
  20. frankkilulya

    JamiiForums Tanzania Hali ya baridi inayoendelea nchini mwisho wake lini?

    Kwa hii baridi inayoendelea nchini Ukute serikali ya SiSiEM Imekula hela ya joto 😂😂 Ni ajabu kuona dar leo hatutembei vifua wazi
Back
Top Bottom