baridi

Baridi (Persian: بريدي‎, also Romanized as Barīdī) is a village in Surak Rural District, Lirdaf District, Jask County, Hormozgan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 40, in 10 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JanguKamaJangu

    Chanzo moto ulioteketeza maduka Njombe ni jiko la mkaa, walitumia kupunguza baridi

    Baada ya moto kuteketeza maduka Matano na ghala za kuhifadhia bidhaa za maduka yaliyopo katikati ya Mji wa Njombe imebainika kuwa chanzo ni moto uliokuwa katika jiko la mkaa ambao ulitumika kwa ajili ya kupunguza baridi. Inspekta Lotma Dauda ambaye ni Afisa Oparesheni la Zimamoto na Uokoaji...
  2. Samia atosha tukutane2030

    Joto likipanda utasikia ni uchafuzi wa mazingira, baridi likizidi wanafunga midomo hawana majibu

    Habari! Kuna wakati Mimi napingana na sayansi ya mazingira. Mara nyingi hata kwenye mikutano ya kimataifa wanajadili global warming ambayo inasababishwa na shughuli za kibinadamu kama viwanda, kilimo, uvuvi n.k. Lakini kuna misimu mingine ya baridi kwa maeneo mbalimbali duniani inapita kawaida...
  3. JanguKamaJangu

    Mamlaka ya Hali ya Hewa yafafanua baridi la Njombe: Kinachotokea ni Sakitu siyo theluji

    Kutokana na baridi na kuonekana vitu kama barafu kwa siku za karibuni maeneo ya Njombe hali ambayo imesababisha watu wengi wawe na maswali tofauti kimefafanuliwa. Mamlaka Hali ya Hewa Nchini (TMA) imefafanua kuwa kinachotokea maeneo ya Njombe kwa siku kadhaa ni kutokea kwa Sakitu, ambapo hiyo...
  4. Analogia Malenga

    Njombe: Wananchi washauriwa kutumia baridi kama Utalii wa ndani

    Kiongozi mmoja sijamkata jina na cheo huko Njombe ameongea (nimemuona kwenye taarifa ya habari ITV) akiwashauri wananchi kutumia baridi kama kivutio cha utalii wa ndani. Baridi linaloendelea limetajwa kuathiri afya za watu na mazao. Nimonia kwa watu na ukungu kwa mazao ni kati ya magonjwa...
  5. The Sunk Cost Fallacy

    Baridi ya Njombe yahatarisha maisha, Dereva ashindwa kuendesha gari kutokana na Barafu

    Hii baridi ya mwaka huu ni noma Sana, 👇 ---- Ikiwa bado hali ya hewa ya baridi kuwa kali katika baadhi ya maeneo nchini ikiwemo Mkoa wa Njombe kupelekea shughuli za kiuchumu kuwa na ugumu katika utekelezwaji kutokana na wakazi wa maneno hayo kupunguza muda wa kufanya kazi kwa kutafuta vyanzo...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Maeneo yenye baridi la kufa mtu Tanzania

    Kwema Wadau! Mwaka huu DSM kumekuwa na Hali ya hewa ya baridi ambayo imenikumbusha Maeneo yenye hatari kubwa Kwa upande wa baridi. Watu wengi ambao hawajazunguka hii nchi wanafikiri Arusha na Moshi pekee ndio yenye baridi ya kufa mtu, Kama nawe ni mmoja wapo basi umekosea kabisa, yapo Maeneo...
  7. LUBEDE

    Msimamo wa ligi kuu ya baridi

    Kwa namna hali ilivyo hapa nani atachukua kombe msimu huu?
  8. beth

    Vipindi vya Baridi kuendelea kwa baadhi ya mikoa

    Viwango vya chini vya Joto katika Mikoa ya Njombe na Mbeya vinatabiriwa kuwa 5°C, Iringa 11°C, Tabora 12°C, Arusha 14°C, Mwanza na Dodoma 16°C katika saa 24 zijazo kuanzia usiku wa leo Juni 21, 2022. Aidha upepo mkali unatarajiwa katika baadhi ya maeneo ya Ukanda wa Pwani ya Bahari ya Hindi...
  9. Logikos

    Elimu High School Bure; Je, tunawapa watu mashuka wakati wa joto na kuwanyima wakati wa Baridi?

    Nimeona wamesema Elimu High school itakuwa bure, ni vema na Haki, Lakini hii kuwasaidia watu elfu 70 ambazo wazazi wanaweza kujichanga na kuomba omba wakapata na kule ambapo wanadaiwa mamilioni ya Pesa na kukosa hata mikopo (Kwenye Vyuo) Hawapewi kweli kuna tija? Kwa kila mzazi kutoa elfu...
  10. Area 56

    Hali ya hewa Arusha ni baridi sana leo

    Nimekuja jana ila leo hali inatisha sana. Yaani kuna baridi kiasi cha kwamba unatamani usitoke room katika hotel niliyofikia. Wenyeji huwa mnakabiliana na hali hii kwa mbinu zipi wazee?
  11. Mwizukulu mgikuru

    Nahita deli (chombo cha kuhifadhia vitu baridi)

    Nahitaji delli kwa ajili yakuhifadhia vitu baridi kama ice cream...barafu kwa mwenye nalo anaweza kunicheki PM
  12. B

    Mapinduzi baridi ndani ya chama kongwe, iliyokuwa CCM Mpya ya mwendazake yafukiwa rasmi

    Mapinduzi baridi ndani ya chama kongwe, iliyokuwa CCM Mpya ya mwendazake yafukiwa rasmi Hakika sasa chama kikongwe chama dola kimefanya mabadiliko na kurudisha safu, makada na itikadi iliyokuwa imefukiwa na mwenyekiti mwendazake (revered) hayati (late) John Pombe Joseph Magufuli...
  13. B

    Kwanini Katibu Mkuu wa CCM amekosa kabisa ushawishi Kwa jamiii? Je, CCM wana mgomo baridi dhidi yake?

    Moja ya kipimo Cha wazi Cha kukubalika Kwa kiongozi Kwa Karne hii Duniani ni pamoja na idadi ya watu wanaofuatilia hotuba na Taarifa zake kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii. Njia hii inatumiwa na Dunia Kwa sababu tayari wananchi wengi kila Kona ya Dunia wanaweza kupata Taarifa...
  14. B

    MWAUWASA wako baridi wako moto?

    Habari wanajanvi, Mimi ufanya shughuli zangu za umechinga japo ni msomi mwenye shahada ya ualimu. Shughuli yangu unifanya kuzunguka huku na kule nikitafuta riziki ni zaidi ya miaka mitatu sasa sijawahi kuona mamlaka ya maji Mwanza wakipeleka maji maeneo mapya ambapo wananchi wamejega kwa wingi...
  15. L

    Mandhari kwa ajili ya Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing yapangwa tayari

    Mandhari kwa ajili ya Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing tayari imepangwa mjini Beijing wakati michezo hii inafunguliwa Ijumaa tarehe 4 mwezi huu. Na mascot ya michezo hii ni “Shuey Rhon Rhon”.
  16. L

    Michezo ya majira ya baridi kati ya walemavu yaendelea kwa kasi nchini China

    Baada ya China kupata nafasi ya kuwa mwenyeji wa Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing, michezo ya majira ya baridi ya walemavu imeendelezwa kwa kasi nchini China. Katika miaka 6 iliyopita, shule nyingi maalumu kwa ajili ya walemavu zimeanzisha masomo ya michezo ya...
  17. L

    Mbio za mwenge wa Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing 2022 zaendelea

    Mbio za mwenge za Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing 2022 zilizinduliwa jana mjini Beijing.
  18. L

    Kituo kikuu cha media cha Michezo ya Olimpiki ya Majira ya baridi ya Walemavu chafunguliwa rasmi Februari 28

    Februari 28, 2022, kituo kikuu cha wanahabari cha Michezo ya Olimpiki ya Majira ya baridi ya Walemavu ya Beijing kilianza kazi rasmi baada ya kukamilisha mabadiliko kutoka Michezo ya Olimpiki ya Majira ya baridi. Takriban vyombo vya habari vya uchapishaji na watangazaji 3,300 kutoka sehemu...
  19. L

    Mitaa ya Beijing yawa na mazingira ya kukaribisha Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing

    Wakati Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing ikikaribia, mitaa ya Beijing imeanza kuwa na mazingira ya shamrashamra kwa michezo hiyo. Kazi mbalimbali za maandalizi ya viwanja vya michezo, utoaji wa huduma, utangazaji n.k zote zimemalizika.
  20. L

    Kazi ya kubadilisha mandhari ya mji kwa ajili ya Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing yamalizika

    Kazi ya kubadilisha mandhari ya mji iliyopangwa kwa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing na kuwa ya Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing itamalizika leo, tarehe 28 Februari. Mandhari zinazobadilishwa ni pamoja na maeneo 9 ya maua, picha 60, bendera elfu 18...
Back
Top Bottom