baraza la mawaziri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri lapitisha Muswada wa kuimarisha uhuru na uwazi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu

    Baraza la Mawaziri limeidhinisha Muswada wa Marekebisho ya Ukaguzi wa Umma 2023, hatua inayolenga kuimarisha uhuru na uwazi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu. Rais William Ruto alitoa tangazo hili wakati wa hotuba yake katika tukio la Siku ya Kodi ya Mamlaka ya Mapato ya Kenya, akifichua...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Baraza la Mawaziri labariki Serikali kukopa zaidi ya Tsh. Trilioni 3 kusaidia Bajeti

    Waziri wa Fedha Olawale Edun, ambaye pia ni Mratibu wa Uchumi, amesema Baraza limetoa baraka hiyo kwa lengo la kufanya marekebisho ya Sera ili kukuza Uchumi ambao umeatajwa kuwa kwenye mdororo kwa miaka kadhaa. Tangu aigia madarakani, Rais Bola Tinubu amekuwa akibadili sera za Mtangulizi wake...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Natabiri tena mabadiliko madogo Baraza la Mawaziri

    Natabiri huenda kutakuwa tena na mabadiliko madogo kwenye wizara nyeti mbili kama sio tatu. Katika mabadiliko hayo mawaziri wawili watapumzishwa na kuwekwa mawaziri wengine. Upo uwezekano Mkuu kufanya uteuzi maalumu kwa sababu Pana za kimasilahi ya Taifa. Utabiri huu utatimia pale itampendeza...
  4. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Upinzani wamshutumu Rais Mnangagwa kumteua mwanaye na mpwawe Baraza la Mawaziri

    Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa ameshutumiwa kwa upendeleo baada ya kumteua mwanawe katika baraza jipya la mawaziri kufuatia kuchaguliwa tena kwa uchaguzi wenye utata mwezi uliopita. Bw. Mnangagwa Jumatatu alimtaja mwanawe, David Kudakwashe, kama naibu waziri wa fedha kama sehemu ya mgawo...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mbona mabadiliko ya Baraza la Mawaziri ya mara kwa mara hayaleti tija yoyote kwa mwananchi wa kawaida?

    Kila mara rais anafanya mabadiliko ya baraza la mawazri, lkn hakuna tija yoyote ambayo inaonekana. Mfano, sasa upatikanaji wa umemme ndiyo shida kabisa. Ni kama sasa tuna blackout Tanga tangu Makamba atoke wizara ya nishati. Jana mgao wa umeme ulikuwa mkali maana umerudi saa saba usiku. na...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu amshangaa Rais Samia kumteua Alexander Mnyeti kuwa Waziri. Asema hana uadilifu

    Ni leo J'pili tarehe 3/9/2023 alipokuwa akiongea na wananchi katika Kijiji cha Kiabakari - Butiama mkoa wa Mara katika mfululizo wa mikutano ya CHADEMA katika OPERESHENI +255 KATIBA MPYA, OKOA BANDARI ZETU - Tanganyika. Video: By Mwananchi Digital -- Rais Samia ameteua Baraza la Mawaziri...
  7. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani Rais kujaza wanasheria kwenye Baraza la Mawaziri?

    Wakati Tunakaribia uchaguzi mkuu 2025, Dream team imeanza kupangwa, Captain amepewa captain msaidizi {kapten kapunguziwa madaraka kijanja} huku mabeki wakipewa wanasheria. Kapten kashtuka, ameamua kukaa kimya, naye anajipanga anataka namba 2025, wacha inyeshe tujua pavujapo. Kanda ya Ziwa...
  8. Ushimen

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Naibu Waziri Mkuu amewekwa ili kuzuia kuvunjwa Baraza la Mawaziri

    Kwa kawaida inafahamika kwamba ikitokea Waziri Mkuu amejiuzulu, na Baraza zima la Mawaziri linavunjwa. Swali langu ni kwamba, Ikiwa Waziri Mkuu atajiuzulu na wakati huo pakiwa na Naibu Waziri Mkuu, Je Baraza la Mawaziri litavunjwa ama halitovunjwa kwasababu tayari patakuwa na Naibu Waziri Mkuu?
  9. J

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Rais Samia afanya mabadiliko Baraza la Mawaziri muda mchache baada ya kufanya mabadiliko

    Rais Samia amemteua Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Ombeni Y. Sefue kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango Wengine walioteuliwa kuwa Wajumbe wa Tume hiyo ni Omar Issa ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TANESCO na Mkuu wa Chuo cha Nelson Mandela. Pia, Ami R. Mpungwe ambaye ni Balozi...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mawaziri waliotemwa katika mabadiliko ya Baraza la Mawaziri

    Rais Samia Suluhu Hassan leo Jumatano Agosti 30, 2023 amefanya mabadiliko Baraza la Mawaziri ambapo Waziri mmoja na Manaibu wawili wameachwa na nafasi zao zimechukuliwa na wengine. Aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angeline Mabula Miongoni mwa walioachwa ni...
  11. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko madogo Baraza la Mawaziri yanalenga kumsogeza January mahali patakatifu?

    Heshima sana wanajamvi, Nayatazama mabadiliko madogo baraza la mawaziri kama sehemu ya mkakati wa kumwinua January Makamba kuelekea kileleni (IKULU) baada ya Wizara ya Nishati kumshinda. Kuendelea kumbakiza wizara hiyo hiyo ilikuwa ni kumharibia kisiasa. Najua watu wengi wamekimbilia kushangaa...
  12. benzemah

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Doto Biteko ateuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Makamba Mambo ya Nje, Pindi Chana Katiba na Sheria

    Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko na teuzi za sura mpya kwenye baraza la mawaziri. Uapisho utafanyika September 1, Ikulu ndogo Zanzibar saa tano kamili asubuhi. 1. Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Awali alikuwa Waziri wa Madini. 2...
  13. Rutashubanyuma

    JamiiForums Tanzania CCM kujivua gamba kwa kulivunja baraza la mawaziri!

    Sisiemu kujivua gamba kwa kulivunja baraza la mawaziri! Inapokuja swala la kuendelea kubaki madarakani sisiemu huwa haina cha msalia mtume na huchukua hatua stahiki kwa kuwamwaga makada wake walioshindwa kusoma alama za wakati. Ni dhahiri sera ya ubinafsishaji wa taasisi za umma siyo chagua...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Dodoma

    Wadau hamjamboni nyote? Rais Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu ya Chamwino, Dodoma leo tarehe 18/08/2023
  15. S

    JamiiForums Tanzania Rais avunje baraza la mawaziri sakata la bandari

    Serikali ya mhe Ndugu dkt Samia naishauri kwa wazi! isikamate watu na badala yake afumue Baraza lote la Mawaziri na pale ndipo kuna shida. Unajua Wananchi wakipiga kelele sana nadhani hekima pekee ni kuwapa majibu hata kama majibu hayo yana uchungu. Jaribio la kuwakamata watu wanaopinga swala...
  16. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania Waziri Mkuu akijiuzulu na Baraza la Mawaziri linavunjika?

    Wakuu ni kwa nini nchini kwetu waziri mkuu akijiuzulu na Baraza la Mawaziri linavunjika na hali yeye siyo kiongozi wa baraza la mawaziri wala aliyewateua kama kwa nchi kama Uingereza?
  17. LAZIMA NISEME

    JamiiForums Tanzania Kwanini Baraza la Mawaziri halichukui hatua hizi juu ya mkataba wa bandari wakati waliujadili na kuupitisha kabla hata ya Bunge?

    Kwa ufupi Baraza la Mawaziri ni chombo cha serikali kinachosaidia Rais katika kutekeleza majukumu na kufanya maamuzi ya kitaifa. Jukumu la Baraza la Mawaziri linahusisha mambo mengi, ikiwa ni pamoja na kujadili na kufanya maamuzi kuhusu masuala muhimu ya serikali, mipango ya kitaifa, sera, na...
  18. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Kwa maslahi mapana ya watumishi wa Umma Mwigulu, Jenista Mhagama na Ndalichako watoke kwenye Baraza la Mawaziri

    Kumbuka hawa wote ndio walikuwa kwenye awamu iliyopita, awamu ambayo ilikua ni laana kumuongezea mtumishi mshahara au kumpandisha daraja. Kwa miaka 7 waliyokaa ilikua michungu Sana. Pamoja na nia njema ya mama kwa wafanyakazi lakini naona wazi wazi watu niliowataja hapo juu, nia njema hii ya...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya Mawaziri 8 na Baraza la Mawaziri Kuhusu Ugawaji wa Maeneo Kaliua Yaheshimiwe

    MHE. MUNDE TAMBWE APIGILIA MSUMARI MAAMUZI YA TIMU YA MAWAZIRI NANE NA BARAZA LA MAWAZIRI KUHUSU UGAWAJI MAENEO KALIUA Mbunge Viti Maalum Wanawake Mhe. Munde Abdallah Tambwe amemshukuru Waziri wa Maliasili na Utalii kwa tamko lake la kusema Maamuzi ya Timu ya Mawaziri Nane (08) ya Baraza la...
  20. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Kwanini Palamagamba Kabudi yupo nje ya Baraza la Mawaziri?

    Nimemsikiliza mbunge Aidan Kabudi akichamgia mjadala bungeni muda sio mrefu. Hakika mchango wake ni bora sana. Ninalotaka kusema hapa ni kwa nini mtu kama huyu mama amemuweka nje ya baraza la mawaziri. Mtu msomi ambaye ni hazina kubwa tunamtoa badala yake unaweka watafuta kwa nguvu nyingi...
Back
Top Bottom