baraza la mawaziri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania CCM Sikio la kufa. Wezi wameanza kuunda baraza la mawaziri

    Matukio ya karibuni yanaonyesha mifano dhahiri kwamba viongozi ni watu wa kejeli kama kuwataka wananchi “waende Burundi” badala ya kujisahihisha, na uteuzi wa watu wanaofahamu maovu ya serikali lakini wanapewa nafasi za juu kana kwamba lengo ni kufunika yaliyovunda. Wananchi wameonesha wazi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Baada ya Dkt. Mwigulu Nchemba kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu, bashiri Baraza la Mawaziri litakavyokuwa

    Leo Novemba 13, 2025, Dkt. Mwigulu Nchemba ameteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Waziri Mkuu wa JMT. Kama ilivyo ada, anapoteuliwa Waziri Mkuu ndio mwanzo wa kuunda Baraza la Mawaziri ili kumsaidia Rais. Soma > Dkt. Mwigulu Nchemba apendekezwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri...
  3. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri lapiga kura kubadili jina la vita vya Gaza kutoka ‘Sword of Iron’ hadi ‘War of Revival”

    Baraza la Mawaziri lapiga kura kubadili jina la vita vya Gaza kutoka ‘Upanga wa Chuma’ hadi ‘Vita vya Uamsho -Serikali imeidhinisha kwa wingi pendekezo la Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu la kuviita vita vya Gaza jina jipya “Vita vya Uamsho” licha ya upinzani kutoka kwa familia za mateka na...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Uhalali wa Baraza la Mawaziri baada ya Bunge kuvunjwa ukoje?

    Naombeni kujua mwenye ufahamu atufahamishe inakuwaje hawa mawaziri wa Rais Samia mpaka sasa wako Ofisini wakati Bunge limeshavunjwa. Inavyoeleweka kikatiba Waziri hutokana na Mbunge, Mbunge anapo poteza haki ya kuwa Mbunge automatically anapoteza hadhi ya kuwa Waziri. Na iko wazi ki Katiba...
  5. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri la SADC lahitimisha kikao chake jijini Antananarivo

    Kikao cha Kawaida cha Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ambacho ni maandalizi ya Mkutano wa 45 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC kimehitimishwa jijini Antananarivo Agosti 14, 2025. Ujumbe wa Tanzania katika kikao hicho umeongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Netanyau kuongoza kikao cha Baraza la Usalama la mawaziri kesho alhmasi Jerusalem ili kuidhinisha mpango wa kuitawala kijeshi Gaza

    Prime Minister Benjamin Netanyahu will convene his security cabinet at 6 p.m. Thursday at his office in Jerusalem, according to the Prime Minister’s Office, where it is expected to approve fresh plans for the continuation of the war in Gaza. During a three-hour security discussion among a...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hoja za Mbunge Mpina hazijajibiwa hadi Bunge na Baraza la Mawaziri limevunjwa

    Hoja zilizoibuliwa na Mbunge Luhaga Mpina zimekosa majibu hadi Bunge na Baraza la Mawaziri limevunjwa, je watanzania wafanye nini ili kupata majibu ya hoja hizo. nazikumbuka hoja chache za Mpina ambazo hazijapata majibu hadi sasa. 1. Hoja Kwanini Wizara ya Kilimo ilitengeneza uhaba wa sukari...
  8. Blender

    JamiiForums Tanzania Mtaje waziri aliyekosekana kwenye Picha ya pamoja na mawaziri mara baada ya Kikao cha mwisho cha baraza la mawaziri cha Serikali ya Awamu ya 6

    Mtaje waziri aliyekosekana kwenye picha ya pamoja na mawaziri mara baada ya Kikao cha mwisho cha baraza la mawaziri cha Serikali ya Awamu ya Sita kilichofanyika Ikulu,Chamwino, mkoani Dodoma tarehe 14 Julai, 2025. ukiweza Taja na sababu ya kutokuwepo kwake ?
  9. L

    JamiiForums Tanzania Nimebubujikwa na machozi, picha ya kumbukumbu ya kikao cha mwisho cha Baraza la Mawaziri la Rais Samia awamu ya Kwanza kilichoketi leo

    Ndugu zangu Watanzania, Machozi ya furaha yananitoka, Uso wangu umejaa na tabasamu kuona picha hii ya mwisho kama kumbukumbu ya kikao cha mwisho cha Baraza la Mawaziri la Rais Samia Katika awamu yake ya kwanza ya utawala wake. Kwa hakika namshukuru sana Mungu kuona Rais wangu Mpendwa amemaliza...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri cha mwisho kwa Awamu ya Sita

    Rais Samia Suluhu Hassan leo Julai 14, ameongoza kikao cha mwisho cha Baraza la Mawaziri cha Serikali ya Awamu ya Sita kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma. Kikao hicho kimehudhuriwa na Makamu wa Rais Dk Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim...
  11. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ashirirki kikao cha 47 cha Baraza la Mawaziri AU

    Waziri Kombo ashirirki kikao cha 47 cha Baraza la Mawaziri AU Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameshiriki katika kikao cha 47 cha Baraza la Mawaziri wa Umoja wa Afrika (AU) kinachoendelea jijini Malabo, Equatorial Guinea. Baraza...
  12. ngara23

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri katika serikali ijayo

    Wasomi Kwa maksudi mmepuuza siasa na hamtaki kugombea, Wacha Sasa mtawaliwe na kuongozwa na mambumbumbu 1. Mh Dj Romy Jons Waziri wa Katiba na sheria 2 Mh Shilole Waziri wa Viwanda na uwekezaji 3 Mh Mamy baby Waziri wa Elimu, Sayansi na Technolojia 4 Mh Baba Revo Waziri wa Maji 5 Mh...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Tazama namna Ridhiwani Kikwete alivyoingia kwenye Kikao cha Baraza la Mawaziri huku akisikilizwa kwa umakini na wenzake

    Ndugu zangu Watanzania, Hivi Ndivyo namna Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete Alivyoingia Kwenye Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo na kuongozwa na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Sana Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Ambapo Mheshimiwa Ridhiwani...
  14. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Rais Samia aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu ya Dar es salaam

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Ameongoza Kikao kizito...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa muhimu Baraza la mawaziri la usalama Israel kukutana kwenye chumba maalum chini ya ardhi underground bunker saa 10 jioni

    Wadau hamjamboni nyote, bTaarifa muhimu Baraza la mawaziri la usalama Israel kukutana kwenye chumba maalumu chini ya ardh underground bunker saa 10 jioni, taarifa kamili hapo chini kwa kimombo, By Times of Israel The security cabinet is set to meet in an underground bunker tonight at 10...
  16. Mkoba wa Mama

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais ajaye atumie muundo huu wa baraza la mawaziri

    Kwa muundo wa Baraza la Mawaziri la sasa naona kuna haja kubwa ya kufanya maboresho ili kuziweka pamoja sekta zinazohusiana na kupungunza wingi wa Wizara usio na tija lakini pia baadhi ya sekta kusimama zenyewe. Kwa mfano; Kuna Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, wakati huohuo kuna...
  17. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Baraza la mawaziri la usalama la Israel liliidhinisha mpango wa Kuitwaa Gaza kutoka mikono ya Magaidi wa Hamas

    Baraza la mawaziri la usalama la Israel liliidhinisha mpango wa kupanua mashambulizi ya kijeshi huko Gaza, kwa lengo la kuishinda Hamas, kudhibiti eneo na kuwaachilia mateka. Mpango huo ni pamoja na kuwahamisha raia, kuwazuia Hamas kuchukua misaada, na kudhoofisha udhibiti wake. Utekelezaji...
  18. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 29 Aprili, 2025.
  19. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aongoza Kikao Cha Baraza La Mawaziri Ikulu Ya Chamwino

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Hii Leo ameongoza...
  20. MTV MBONGO

    JamiiForums Tanzania Rais mpya mwanamke wa Namibia kateua Makamu mwanamke na mawaziri 8 kati ya 14 wote ni wanawake

    Rais mpya wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah, ametangaza Baraza lake la Mawaziri kwa mara ya kwanza siku ya Jumamosi, akimteua Lucia Witbooi kuwa makamu wa rais wa kwanza mwanamke katika historia ya nchi hiyo. Namibia sasa ni nchi pekee barani Afrika yenye rais na makamu wa rais wote wanawake...
Back
Top Bottom