Jesus servant
Member
- Mar 15, 2026
- 55
- 126
Mungu wetu ni mwema sana!
tunakuomba Rehema na utukufu wako,utulinde na Kila baya, na Kila adui,na Kila maradhi , na Kila madhila ya Dunia hii!
Tunakuomba ututendee miujiza kwenye Nchi yetu,tutakalo na tuombalo litimie kwa uwezo wako,
Tuponyeshee wagonjwa wetu twakuomba! Tuondolee pepo la matusi na dhiaka katika mtandao huu na mengineyo! Ameen Ameen!
Tukumbuke kutoa sadaka kwa Kila muitaji,na kwa Kila anaeeneza injili ya bwana,
Ameen!!