Amiri Baraka (born Everett LeRoi Jones; October 7, 1934 – January 9, 2014), previously known as LeRoi Jones and Imamu Amear Baraka, was an American writer of poetry, drama, fiction, essays and music criticism. He was the author of numerous books of poetry and taught at several universities, including the University at Buffalo and Stony Brook University. He received the PEN/Beyond Margins Award in 2008 for Tales of the Out and the Gone.Baraka's career spanned nearly 52 years, and his themes range from black liberation to white racism. Some poems that are always associated with him are "The Music: Reflection on Jazz and Blues", "The Book of Monk", and "New Music, New Poetry", works that draw on topics from the worlds of society, music, and literature. Baraka's poetry and writing have attracted both high praise and condemnation. In the African-American community, some compare Baraka to James Baldwin and recognize him as one of the most respected and most widely published black writers of his generation. Others have said his work is an expression of violence, misogyny, and homophobia. Regardless of one's viewpoint, Baraka's plays, poetry, and essays have been described by scholars as constituting defining texts for African-American culture.Baraka's brief tenure as Poet Laureate of New Jersey (in 2002 and 2003) involved controversy over a public reading of his poem "Somebody Blew Up America?", which resulted in accusations of anti-Semitism and negative attention from critics and politicians.
Wakuu,
Kumekuwa na member wengi ambao wanaona na kusema kwamba haya ya utekaji, torture na mauwaji, mh Rais hafahamu chochote na wakaenda mbali zaidi na kusema kuwa kuna hujuma dhidi yake.
Nadhani kuna mambo kadhaa anayoweza kuyafafanya kama ni kweli hafahamu chochote kuhusu yanayoendelea na...
Kwanza, namshukuru mheshimiwa rais, Samia Suluhu Hassan.
Pili, sijui watanzania wanachukuliaje hotuba yake ambayo haikugusia utekaji na mauaji vinavyoendelea?
Kweli ameanza na tumeanza mwaka kinamna bila tumaini wala mipango ya kuondokana na kadhia ya utekaji ulioanza kuzoeleka nchini.
Pia...
Umri wa miaka ' 50 ' ni umri sahihi wa ukomavu wa kiakili na kihisia.
Ukimkuta MTU ambaye yupo ghorofa ya tano anakuwa amekomaa Sana akili na hisia anakuwa na EI kubwa na IQ kubwa.
Miaka hamsini ni umri wa unaokuja na hekima Sana .
Hii unaweza kuona kupitia familia ,marfiki na wewe mwenyewe...
Mods msiunge uzi labda kama hii mada ipo (sio title maana content inaweza kuwa tofauti). Kama ipo mada exactly kama nilivyoandika sawa ila msiweke uzi wangu kama comment sehemu nyingine.
Iko hivi.
Waafrika tumeacha njia zetu za asili (mizimu na mababu zetu) na tukakubali kuabudu miungu ya watu...
Wadau hamjamboni nyote?
Huu ni ushauri wa bure kabisa kwa ndugu zetu Wapalestina na waarabu kwa ujumla wao
Njia pekee ya kumaliza vita Mashariki ya kati na kuishi kwa amani ni kutambua na kukubali kuwa Mayahudi ni taifa teule lenye baraka zote za Mungu
Watambue kuwa kushindana na wsteule hao...
IDF na Shin Bet walifunga mduara: Mohammad Rasmi Marzouk Baraka, gaidi wa Hamas ambaye alishiriki katika mauaji ya Oktoba 7 na kumteka nyara mnusurika wa mauaji ya kinyama Yaffa Adar mwenye umri wa miaka 85, ameondolewa.
Moja kwa moja - tutakupata wote.
Je kuna umuhimu wowote wa watu kuombeana kheri na baraka katika maisha yao?
jibu ni ndiyo .
Katika MAISHA chochote kinachokufikia wewe kuna sehemu kilikuepo na kuna sehemu kimetoka hadi kukufikia wewe.
Ikiwemo Pesa n.k. Hivyo ni muhimu kuelewa everything is connected , kila kitu...
Ndoa ni baraka na njia ya kuendeleza misingi mizuri ya utamaduni pamoja kuongeza uzao wa jamii/familia.
Katika mkisanyiko huu dhamira kuu hua ni baraka ya watoto na kipato lakini pia kupunguza matokeo hasi kwa jamii dhidi ya wazaliwa wasiokuwa na malezi ya pande mbili kwani ukweli usiopingika...
USHAURI KWA SERIKALI
TYSISIKILIZE HIZI KELELE ZA WAFANYABIASHARA WA KRKOO
KAMA WANALIPA KODI ILEILE ILE MNAYOHIITAJI
TUNAOMBA HAWA WATU WASISUMBULIWE WAHESHIMIKR KAMA WENGINE
HATUWEZI KUNUNUA MALI ZA 8000 LWA 60000. KISA TU KUBADILI MTAA HII N LAANA
TUNAOMBAA WATANXANIA WOTEE TUPINGR...
Duniani kote nyumba ni namba moja kwa mwanadamu, matajiri wote unaowajua duniani kila kukicha wanajenga na kununua nyumba.
Hutakaa ujue nguvu ya nyumba mpaka siku utakapokosa pa kulaza familia yako au pale utakapotembelea mitaa ya kariakoo usiku uone watu wanavyolala kwenye mabox na kwenye mitaro.
Jamani natamani sana taifa letu lipate uhuru wa mara pili, tangu mwaka 1961 mpaka 2025, Tanzania imekuwa chini ya chama cha ccm. Mambo yanaenda hovyo hovyo sana. Angalau mwaka huu Tundu Lisu ameonyesha matumaini makubwa ya "freedom is coming tomorrow" na sera ya "No reform No election"
Katika...
Je, umewahi kutamani uishi milele? Usiwe na haraka kujibu, kwa sababu huenda baada ya kusikia hadithi hii, utabadili mawazo.
"The Last Answer" ni hadithi fupi iliyoandikwa na Isaac Asimov, mmoja wa waandishi mashuhuri wa science fiction. Ingawa hadithi hii si maarufu kama The Last Question...
Inawezekana umetumia pesa nyingi, nguvu zako, akili zako na uwezo wako wote ili uwe na uzima, upate uponyaji na baraka, lakini hujaona matokeo mazuri. Usikate tamaa. Mungu ameahidi kukufanyia hayo. Nakuonyesha hapa jinsi ya kufanya ili uone ahadi za Mungu zikitimia katika maisha yako. Kiri...
Disclaimer: Haya si mawazo yangu, nimecopy na kupaste.
ROHO WA NENO ANASEMA; Watumishi Wote Wanaozuia Watu Wasioe Na Kuolewa, Wanafundisha Mafundisho Ya MASHETANI... Na Hawa Hapa Pichani👇👇 Ni Baadhi Yao😠😠
#Wanawaaminisha Watu Kuoa Kwa Mwanamume Ni Mke Mmoja Tu. Na Kuwaambia Watu Ndoa Za...
Wazazi na ndugu wa Aziz Kiii hawakuhusika kwa lolote kuanzia 1. Posa , 2. Mahari, 3. Engagement hadi Ndoa. Yaani Wazazi na ndugu wa Aziz ni timu ya Yanga.
Kwa familia inayojitambua isingeruhusu hili jambo lifanyike bila uwepo au uhusika wa wazazi na ndugu wa bwana harusi. Wazazi wa Hamisa...
Tuwashukuru Trump na Elon Musk kwa jaribio hili nyeti la kutuondishea wahuni kwa jina la misaada.
sasa ni wakati na fursa wa Serikali yetu kufanya upembuzi yakinifu kuhusu misaada sio tu ya USAID bali wote wanaoleta misaada hiyo nchini.
Je inawafikia na kuleta tija kwa walengwa au ni chaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.