barabara

A barabara or barabora (Russian); ulax̂, ulaagamax, ulaq, or ulas (plural) (Aleut); and ciqlluaq (Alutiiq ~ Sugpiaq) were the traditional, main or communal dwelling used by the Alutiiq people and Aleuts, the indigenous people of the Aleutian Islands. They lay partially underground like an earth lodge or pit-house, and most of the house was excavated from the dirt so as to withstand the high forces of wind in the Aleutian chain of islands. Barabaras are no longer used, as present-day Aleuts live in modern houses and apartment buildings.

View More On Wikipedia.org
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Barabara: Msingi wa Maendeleo ya Taifa

    Wakati mataifa mengi duniani yanapigana kujenga uchumi kupitia miundombinu ya kisasa ni muhimu kwa sisi Watanzania kutambua kuwa uwekezaji katika barabara si anasa wala matumizi ya kawaida ya serikali bali ni msingi wa maendeleo ya taifa lolote lenye maono ya mbele. Hakuna nchi iliyoendelea...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mtendaji Mkuu TANROADS atembelea Mradi wa Uboreshaji wa Barabara ya Babati–Gehandu

    Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta, Mei 16, 2026 ametembelea mradi wa uboreshaji wa Barabara ya Babati–Gehandu unaosimamiwa na Ofisi ya Meneja wa TANROADS Mkoa wa Manyara. Katika ziara hiyo, Mhandisi Besta amekagua maendeleo ya utekelezaji wa mradi...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chemba inayotiririsha maji taka eneo la Shoppers -Mikocheni, pembezoni mwa barabara inachangia mitaro kuziba

    Mitaro iliyopo kwenye barabara kutoka Shoppers Mikocheni Dar es salaam kuelekea Hospitali ya Kairuki imejaa maji machafu na taka, hali inayosababisha harufu mbaya na kuwa kero kwa wakazi wa maeneo hayo, hususan wafanyabiashara. Hali hiyo pia inachangiwa na chemba inayotiririsha maji taka katika...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Viongozi kisarawe wanaisahau sana barabara ya Kiluvya Madukani-Makurunge

    Barabara ya Kiluvya Madukani mpaka Makurunge imeachwa bila matengenezo licha ya eneo hili kupata wakazi wengi miaka ya hivi karibuni. Shida kuu: 1. Miundombinu mibovu: Barabara ni ya udongo wa mfinyanzi. Wakati wa mvua inakuwa na mashimo na inateleza sana. Magari yanakwama. 2. Ufumbuzi wa muda...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DC Mpogolo: Kipindi cha mwezi mmoja Barabara ya Tabata Bima–Kimanga itakuwa na lami

    Serikali kupitia Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na TARURA imeanza utekelezaji wa ukarabati wa barabara ya Tabata Bima–Kimanga iliyopo wilaya ya Ilala, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuboresha miundombinu na kuondoa changamoto ya usafiri kwa wananchi wa eneo hilo, hayo yameelezwa na...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuhama kutoka halmashauri kwenda tasisi zinahusika na Ujenzi hasa barabara

    Mimi ni Civil Engineer ninahitaji kuhama kutoka halmashauri kwenda kwenye taasisi zenye miradi ya kiuhandisi, huku nilipo hakuna kazi za kiuhandisi nakaa ofisi tu naona taaluma yangu haitumiki ipasavyo, ninahitaji nipate Sehemu ya kuanzia kwenye mchakato wa kuhama
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hivi ndivyo wakazi wa Vijibweni Kigamboni tunavyoteseka na barabara mvua ikinyesha

    Hii ni njia ya Vijibweni Kigamboni, kero hii kabla ya uchaguzi na baada ya uchaguzi, mpaka sasa hatujapata utatuzi, mvua ikinyesha huwezi subiri chombo cha usafiri wa umma hapo, unasimama upande upi kusubiria na je, sisi waenda kwa miguu unatoka nyumbani smart tazama njia sasa.
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Dar: Janga la Barabara Tabata, mtaa wa NSSF

    Hali ya barabara katika mitaa yetu ya TABATA (NSSF) sasa imefika hatua ambayo si kero tena, bali ni janga la miundombinu linalohatarisha usalama, afya, na uchumi wa kila mkazi. Kama picha zinavyoonyesha, barabara ambazo ilipaswa kuwa kiunganishi cha familia zetu zimegeuka kuwa mashimo ya maji...
  9. K

    JamiiForums Tanzania KERO Hapa ni maeneo ya Vikindu hospital njia ya Vianzi. Kwa waenda kwa miguu. Mvua ikinyesha maji yanajaa hivi. Mamlaka husika wapo kimya

    Kutofanyiwa ufumbuzi wa tatizo la kujaa maji katika njia ya Vianzi kutoka Vikindu Hospitali kuelekea Masister inaleta shida sana kwa watu kupita. Hii ndiyo njia pekee inayotumiwa na wanafunzi wa vyuo na shule kupita kila siku .
  10. M

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Ubovu wa Barabara Kimanga, Daladala zatishia kusitisha huduma

    Wakazi wa Kimanga, Dar es Salaam, wataanza kukumbana na adha ya usafiri kuanzia kesho baada ya wamiliki wa daladala zinazotoa huduma katika barabara hiyo kutishia kuanza kugoma. Hatua hiyo imefikiwa kama njia mbadala ya kushinikiza mamlaka husika kuchukua hatua za haraka kutengeneza barabara ya...
  11. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Barabara ya Kwanza ya Njia 6 Waanza Zanzibar

    My Take Safi sana Wazanzibari Kwa kuamua kujitegemea na kuonesha mfano. Mzanzibari hajawahi kuwa na sifa ya ubianafsi Wala ufisadi kama ule upande wa watu wenye mdomo sana. =========================== Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Zanzibar, Said Bakari amesema Serikali imeanza...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Kisemvule (Kitunda) ni mbovu kupita kiasi

    Kuna hii barabara ya kutoka Kisemvule stendi kuja Mpera mashariki ni mbovu mpaka inapelekea nauli kuongezeka. Pindi mvua zikinyesha barabara inapitika kwa tabu.
  13. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Eastleigh Inalia! Barabara ya Second Avenue Yaleta Hasara kwa Wafanyabiashara na Wasafiri

    Hii mambo ya infrastructure jamani imezidi sasa . Wakazi wa Eastleigh especially along Second Avenue extension wanapitia tough times sana. Barabara imeharibika vibaya mashimo, matope, na flood kila mahali, especially saa hizi za mvua Watu wa transport kama bodaboda na mkokoteni wanasema kazi...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Kuvuka Barabara ya Morogoro Nyakati za Asubuhi na Jioni. Madereva hawaheshimu alama za Pundamilia

    Wananchi wanaoishi na kufanya shughuli zao kuanzia Ubungo hadi Kimara wanakabiliwa na changamoto kubwa kila siku wanapojaribu kuvuka Barabara ya Morogoro, hasa nyakati za asubuhi na jioni. Msongamano wa magari huwa mkubwa, lakini kinachoongeza hatari ni kwamba madereva wengi hawaheshimu kabisa...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kigamboni: Barabara inayounganisha eneo la Kona ya Chuo na Mwasonga; hili daraja haliishi maji. Yakijaa, watoto hawaendi shule wiki ya 3 sasa

    Naomba tupazie sauti hapa ni kigamboni barabara inaunganisha eneo la kona ya chuo na Mwasonga hilo daraja haliishi maji yakijaa hapo watoto hawaendi shule wiki ya 3 sasa, mnataka watoto wetu wasipate taaluma inayotakiwa kwa wakati? Yani ukitaka kwenda cheka, boda anakushusha upande kisha...
  16. Malaki

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya kiwanda cha Namera Gongo la mboto ni mbovu sana

    Barabara ya kiwanda cha namera kuelekea Ulongoni B kipande kidogo sana lakini wahusika hawakitilii mkazo wana weka vifusi vinakaa mpaka watu wakujitolea wasambaze. Mvua zimenyesha sasa imekua kero kubwa sana.
  17. S

    JamiiForums Tanzania KERO Hii barabara inayotoka Tarime Mjini kuelekea Kata ya Magena ambapo Kuna shule, hospitali na Airport mamlaka haioni au ni kiburi cha madaraka?

    Sisi wananchi wa Tarime tunapata shida sana kutumia barabara inayotoka Tarime Mjini kuelekea Kata ya Magena ambapo kuna shule, hospitali na Uwanja wa Ndege kutokana na ubovu wa barabara hiyo. Hali hii inatuathiri wananchi katika namna nyingi ikiwemo kusababisha kukosekana kwa huduma madhubuti...
  18. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Road trip update: Dar - Mtwara - Dar | Hali ya Barabara inatisha | Ila nimetumia mafuta ya Tsh 150,000/= tu!

    Basi wakuu nikaenda Mtwara kutokea Dar na kurudi Dar. Trip ilikua ni kupunguza stress za huu mji, na haikua direct, nilienda kwa vituo vitatu jumla, na nilitumia Fit Hybrid. Safari ilianzia Mlimani City Puma pale, nikaweka wese la 100k nikachomoka. Kwasababu ya mvua, AC almost ilikua off na...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkaguzi Kata Iragua akitoa Mwongozo kwa Watumiaji wa Barabara kuepusha Madhara

    Mkaguzi Kata Iragua, Mkaguzi wa Polisi (INSP) Ramadhan Abdalla, akitoa msaada na maelekezo kwa watumiaji wa barabara katika eneo la Nyanya, Wilaya ya Ulanga, Mkoa wa Morogoro, kufuatia changamoto ya upitikaji wa barabara ili kutokuleta madhara kwa vyombo vta usafiri na watumiaji wengine wa...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara inayounganisha Mtaa wa Jangwani na Manispaa (LINDI) ni mbaya na haifai kutumika, Waziri aje aione

    Mimi ni Mwananchi wa Manispaa ya Lindi, Mtaa wa Jangwani, kero yangu ni kuwa Barabara inayounganisha Mtaa wa Jangwani na Manispaa (mahala tunapopata huduma zetu za kila siku) imeharibika haifai kwa matumizi ya kiangazi hata masika. Kibaya zaidi mamlaka inalitambua hili tokea Mwaka 2023, ila...
Back
Top Bottom