barabara

A barabara or barabora (Russian); ulax̂, ulaagamax, ulaq, or ulas (plural) (Aleut); and ciqlluaq (Alutiiq ~ Sugpiaq) were the traditional, main or communal dwelling used by the Alutiiq people and Aleuts, the indigenous people of the Aleutian Islands. They lay partially underground like an earth lodge or pit-house, and most of the house was excavated from the dirt so as to withstand the high forces of wind in the Aleutian chain of islands. Barabaras are no longer used, as present-day Aleuts live in modern houses and apartment buildings.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Kisarawe 2 kijiji cha Vumilia Ukooni

    Kisarawe2 barabara tuliahidiwa barabara itatengenezwa ila toka wasitishe mwezi wa pili mpaka sasa barabara imeharibika. Isitoshe hio, wamekataza magari makubwa kupitia njia ya Geza, kwa hiyo magari yote yanaharibu njia ya Vumilia Ukooni tunashindwa kufika makwetu sio kwa gari wala boda...
  2. PAYE

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Ujenzi, Eng. Kasekenya: Barabara ya Kasindaga - Runazi (km 37.6) kujengwa kwa lami

    Naibu Waziri Ujenzi, Eng. Godfrey Kasekenya amesema Serikali inatafuta fedha kwa kwa ajili ya kufanya upembuzi yakinifu na usanifu wa kina wa barabara ya Kasindanga - Runazi (km 37.6) mkoani Kagera ili ijengwe kwa kiwango cha lami. Akijibu swali la Mbunge wa Muleba Kusini, Dkt. Oscar Ishengoma...
  3. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Ushauri: TANROADS waweke roundabout barabara ya Goba njia panda ya Makabe

    Ukitokea mbezi shule kama unaenda goba kumekuwa na foleni kubwa sana pale kwa sababu ya magari yanayotoka makabe na yanayoenda goba hadi kuchukulia baadhi ya magari mengine kuzunguka temboni short cut ya matosa kutokea njia 4. Yaani magari yanapigani pini hakuna linalompisha mwenzie hadi...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Ulega: Serikali itaimarisha miundombinu ya Mara, Barabara na Uwanja wa Ndege

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema kuwa Serikali itaendelea kujenga na kukamilisha barabara zilizopo Mkoa wa Mara kwa kiwango cha lami, ili kufungua fursa za kiuchumi na kurahisisha huduma za usafiri na usafirishaji ndani ya mkoa huo na mikoa jirani. Pia soma ~ Barabara ya Tarime Mjini...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANROADS: Barabara ya Mzunguko wa Nje ya Dodoma (Outer Ring Road) haijakamilika rasmi, inatumika kwa dharura

    Barabara ya Mzunguko wa Nje ya Dodoma (Outer Ring Road) inayozungumziwa bado haijakamilika rasmi, na matumizi yake kwa sasa yameruhusiwa kwa dharura kufuatia changamoto iliyojitokeza katikati ya Jiji la Dodoma , hususan kufungwa baadhi ya njia kutokana na matengenezo ya miundombinu ya maji ya...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hali halisi ya Barabara ya Vikindu Kazole ni masikitiko kwa kweli

    Mimi ni Mkazi wa Vikindu Kazole Mtaa wa Cheta Bich, kero kubwa ya huku kiukweli kipindi kama hiki cha mvua barabara haipitiki hata kwa pikipiki hali ni mbaya sana. Zaidi ya sana natowa wito kwa diwani wetu anaitwa Mahundu angalie kwa jicho la kipekee sana.
  7. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Barabara ya kupunguza foleni Dodoma ni mpya lakini imejengwa kizamani, hakuna sehemu ya gari kupaki kwa dharura

    Pia soma:TANROADS: Barabara ya Mzunguko wa Nje ya Dodoma (Outer Ring Road) haijakamilika rasmi, inatumika kwa dharura
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Dar es Salaam: Magohe mpaka Mbezi Magufuli barabara ni mbovu na haipitiki kwa urahisi

    Hivi kwa nini barabara ya Mpiji Magohe mpaka Mbezi hawajazi kifusi kama barabara ya lami imewashinda? Yaani Barabara imechimbika balaa hata kwa kupita hamna, wahusika tunaomba walione hilo, miezi mwili iliyopita walisawawazisha baada ya siku 3 mashimo yakarudi kwa nini wasiweke kifusi tumechoka...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mbunge Seleman Kokoso: Serikali iongeze tozo kwenye mawasiliano ya simu ili kusaidia kujenga barabara

    Mbunge wa Tanganyika (CCM), Seleman Kakoso amependekeza Serikali kuongeza tozo kwenye mawasiliano ya simu ili zisaidie kujenga miundombinu ya barabara. Kakoso ametoa mapendekezo hayo leo Jumatatu April 13, 2026 bungeni jijini Dodoma wakati akichangia hotuba ya bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania KERO Hali ya Barabara ilivyo Kimara Mwisho, leo Aprili 13, 2026

    Hali ilivyo maeneo ya Kimara Mwisho - Darajani, Mbunge wa huku sijui yuko wapi aje atusaidie yeye na viongozi wengine wenzake
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Kitangiri Mihama Mkoani Mwanza ni mbovu sana, haitengenezwi kwa kuwa Diwani ni wa ACT?

    Barabara ya Kitangiri Mihama Mkoani Mwanza ni mbovu sana, ilikuja Kamati ya Bunge ndiyo wahusika wakafukiafukia mashimo ili wakakakague zahati lakini mpaka sasa ni hatari, ni Wilaya ya Ilemela. Hapo ni kutoka Kitangiri mpaka Zahati ila ukienda kama unaenda ziwani ni hatarii kwa Watu, wanatumia...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mkandarasi anayejenga Barabara ya Mwenge - Tegeta ajitahidi kumwaga maji. Atatuua kwa vumbi

    Hebu Tusaidie kupaza sauti Mkandarasi anayejenga Barabara kutoka Mwenge Mpaka Tegeta a jitahidi kumwaga maji atatuua kwa vumbi.
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Mchinga 2 hadi Kijiji cha Ruvu Mkoani Lindi ni mbovu mno

    Hii ni barabara ya kutoka Mchinga 2 kuelekea Kijiji cha Ruvu ni mbovu mno, hapo ni eneo la Mkandiwata, Jimbo la Mchinga Manispaa ya Lindi, Mkoani Lindi, watumiaji wanapata changamoto sana. Vijiji takribani saba vinategemea hiyo Barabara na Wananchi wamekuwa wakipata changamoto hiyo, baadhi ya...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya kutoka TUKUYU kwenda SONGWE inaingiza mapato ya kutosha kwa serikalini, ila mbovu sana

    Magari wakati wa mvua mara nyingi yanakwam Upimaji kiwango cha lami sijui wanapima mara ngapi ila wapimaji mara nyingi wanakula kodi za watanzania kwa kuja kupima. Wabunge madiwani kura zao wanapata ukanda huu kwa ahadi ya tutaleta barabara ya lami upembuzi yakinifu ukikamilika. Upembuzi...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nauli zinapanda MBEYA na SONGWE kiholela

    Umbali kutoka kyela-mbeya mjini ni km 83 nauli ilikuwa sh.7,000...imepanda Hadi sh.10,000. Pia umbali Toka tukuyu-mbeya mjinj ni km 45 nauli ilikuwa sh.4000 imepanda Hadi 5000. Pia umbali Toka mbeya-tunduma ni km. 103 nauli ilikuwa sh.5000 Sasa imeongezeka Hadi sh. 7000. Yaaani tunduma-mbeya...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO UBOVU WA BARABARA – Kahana Mjini Kati na Maeneo ya Makazi ya Watu

    Ninaomba kuwasilisha kero kubwa inayotukumba sisi wafanyabiashara wa Kahama Mjini Kati. Barabara zetu ziko katika hali mbaya sana, zimejaa vumbi kupita kiasi. Kila gari linapopita linachochea vumbi kubwa ambalo linaingia moja kwa moja kwenye maduka yetu na kusababisha madhara yafuatayo: ❌...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Gongo la Mboto maeneo ya Bomba Mbili - Njia Nne Mbondole ni mbaya na inatugharimu sana

    Hili ni barabara iliyopo Gongolamboto maeneo ya Bomba Mbili kuelekea Njia Nne Mbondole, njia ni mbaya kuanzia Moshi Bar hadi unafika Njia Nne, ili uweze kufika eneo hilo unatakiwa kufika hadi Gongolamboto Kituo cha Mombasa ndipo ilipo njia ya kuelekea Bomba Mbili. Kiukweli Wananchi tunateseka...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Mbezi kutokea Mbezi High School hadi Mpiji Magohe ni mbovu sana

    Mnatusaidiaje kupaza sauti jamani kuhusu ujenzi wa barabara ya Mbezi kutokea Mbezi High School hadi Mpiji Magohe, barabara ilikuwa kwenye mpango wa kuanza ujenzi Mwaka 2025 mwezi wa 10 hadi tender waliitangaza. Baadaye wakaitoa, now barabara ni mbaya sana, mashimo kila mahali, kutoka Mpiji hadi...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ubovu wa Barabara unaathiri ratiba ya Wanafunzi wanaoenda Shule Maghweta na Matomondo Mkoani Dodoma

    Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa Mkoa wa Dodoma njia haipitiki, ni hatari jamani warekebishe barabara basi, hata wanafunzi hapo hawawezi kwenda shule. Hali ya ubovu imeongezeka tangu mvua zilipoanza kunyesha takribani mwezi mmoja sasa, Wanafunzi wamekuwa waathirika wakubwa wanashindwa kwenda...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara inayounganisha Busoka na Masaki Wilayani Kahama hali yake ni mbaya

    Hii ni Barabara ipo Kahama na inaunganisha vijiji vya Busoka na Masaki hali yake ni mbaya, Barabara imekatika na maji mengi yanapita katikati, jambo linalofanya iwe vigumu au isiwezekane kabisa kwa magari na vyombo vingine vya usafiri kupita. Tunaomba viongozi ("Waheshimiwa") na wazee wa Kahama...
Back
Top Bottom