A barabara or barabora (Russian); ulax̂, ulaagamax, ulaq, or ulas (plural) (Aleut); and ciqlluaq (Alutiiq ~ Sugpiaq) were the traditional, main or communal dwelling used by the Alutiiq people and Aleuts, the indigenous people of the Aleutian Islands. They lay partially underground like an earth lodge or pit-house, and most of the house was excavated from the dirt so as to withstand the high forces of wind in the Aleutian chain of islands. Barabaras are no longer used, as present-day Aleuts live in modern houses and apartment buildings.
Barabara ya Tatedo iliyopo katika mtaa wa Kunguru Kata ya Goba jijini Dar es Salaam ni kama imesahaulika, kwani licha ya juhudi zilizofanywa na wakazi wa eneo hilo, tangu mwaka 2020, mpaka leo hakuna mwitikio wa Serikali.
Barabara hiyo inayoingilia karibu na nguzo za umeme unaokwenda Zanzibar...
Mwanza (Nyamagana), tuliahidiwa ujenzi wa barabara mwaka 2011 na mipaka ya barabara ikawekwa.
Hata hivyo, tangu miaka ya 1980 barabara hii haijafanyiwa ukarabati wa kina. Jiji limekuwa likiziba mashimo kwa kuchelewa, hali inayoacha maeneo mengi kuharibika na kusababisha ajali pamoja na...
Hawapeleki hela Road Fund, wanazitafuna kwa kuishi kwa kufuru kwa hela ya serikali.
Zinazofika zinajenga kitu cha mwaka mmoja.
Usimamizi wa ukarabati hakuna. Uongozi mbovu.
Umewapa hela za kampeni ili na wao walinde biashara zako corrupt. Dili zako have to be corrupt kwa saab kwa nn...
Katika mazingira ya mjini ambapo mara nyingi tunaendesha kwa mwendo mdogo chini ya 45 km/h na kusimama-simama kutokana na matuta, mashimo, wapita njia, foleni, bodaboda, bajaji, makutano ya barabara, n.k.
je ni bora kuacha Overdrive ikiwa ON au kuizima (OFF)?
Overdrive (O/D) ni gia ya juu...
Wakati Waziri Mkuu Nchemba anaanza kazi, alisema Serikali ya Awamu ya Sita inaenda kudeal na mambo ya mtu mmoja mmoja. Akitolea mfano kwamba mambo ya barabara za lami kuunganisha makao makuu ya mikoa yalishamalizwa na sasa ni lami kuunganisha wilaya.
Hali ni tofauti kwa wakazi wa Rukwa, Katavi...
Hela za Tanganyika zimehamishiwa Zanzibar. Sasa wanajenga KM mbili za Barabara kwa Bilioni 50+ kisa AFCON.
AFCON ishakuwa Dilisha la upigaji.
Kumbuka Bajeti ya Miundombinu ya Zanzibar ni Bilioni 400 tu kwa mwaka 2026/2027 .. Sasa kama Bilioni 50 zinajenga Kilometa mbili, Mishahara, Matumizi...
Akichanga mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2026/2027 bungeni jijini Dodoma May 20, Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, alisema amefika Bungeni akiwa na ujumbe mzito kutoka kwa wananchi wa mikoa ya Lindi na Mtwara pamoja na maeneo mengine ya Kusini...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kuwekeza katika miradi ya barabara nchini kwa kuwa ndiyo msingi wa kufungua uchumi, kurahisisha usafirishaji wa mazao na kuchochea maendeleo ya wananchi vijijini na mijini.
“Hizi kilomita 17 zilizobaki kuelekea Dabaga ni eneo muhimu...
Hapa ni Pongwe Mkoa wa Tanga, Mkandarasi kamwaga kifusi kina tope ambacho kimekuwa ni kero kubwa kwa wananchi kipindi hiki cha mvua ni takribani miezi mitatu sasa, hakuna dalili zozote za kusambaza tunaomba msaada liwafikie wahusika.
Barabara imezibwa na imekuwa kero kwa Watumiaji wengi.
Pia...
Hizo picha hapo ni kipande kilichopo mbele kidogo ya Kibaigwa kama unaenda Dodoma kwa kutazama inaonekana ujenzi umekamilika ila barabara haijafunguliwa mpaka leo ni zaidi ya miezi miwili tangu mkandarasi atoe vifaa vyake vya ujenzi.
Mkandarasi ameweka mawe kuzuia magari yasipite tunaomba...
Barabara ya lami kutokea junction pale Mbalizi kuelekea Songwe viwandani ina mashimo mengi sana ambayo yamechangia kuharibu vyombo vya usafiri.
Mamlaka husika imekuwa ikiziba mashimo hayo kwa kutumia malighafi isiyokuwa na ubora, ambayo imepelekea mashimo yaliyozibwa kuibuka tena.
Lakini kuna...
Kumekuwa na dharau nyingi zinazofanywa na madereva wanaotumia barabara ya kutoka Mbalizi kuelekea Tunduma.
Madereva hao wamekuwa waki-overtake bila kuchukua tahadhari, na mara nyingi wanafanya hivi kama chombo cha moto kinachokuja mbele yao ni pikipiki.
Unakuta dereva anataka ku-overtake na...
Anonymous
Thread
barabarabarabarani
dharau
madereva
mbeya
tunduma
wenye
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanikiwa kujenga kilometa 1,495.45 za barabara kwa kiwango cha lami pamoja na madaraja makubwa 18 ndani ya kipindi cha miaka mitano, hatua iliyoelezwa kuwa mafanikio makubwa katika sekta ya miundombinu nchini...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameshuhudia utiaji saini wa mkataba wa upanuzi wa barabara ya Dodoma Mjini–Chamwino Ikulu yenye urefu wa kilometa 32 kuwa ya njia sita, mradi utakaogharimu takribani shilingi bilioni 241 hadi kukamilika kwake.
Mkataba huo umesainiwa kati ya TANROADS kwa niaba...
Yaani mnapenda kujipa umuhimu wa bure tu.
Weekend mmekaa hamna kazi, jumatatu mnaamka mnajifanya mpo serious. Mnafunga barabara upande mmoja zaidi ya masaa 24. Serious Morogoro Road mnaifanyia ivo?
Wakati mataifa mengi duniani yanapigana kujenga uchumi kupitia miundombinu ya kisasa ni muhimu kwa sisi Watanzania kutambua kuwa uwekezaji katika barabara si anasa wala matumizi ya kawaida ya serikali bali ni msingi wa maendeleo ya taifa lolote lenye maono ya mbele.
Hakuna nchi iliyoendelea...
Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta, Mei 16, 2026 ametembelea mradi wa uboreshaji wa Barabara ya Babati–Gehandu unaosimamiwa na Ofisi ya Meneja wa TANROADS Mkoa wa Manyara.
Katika ziara hiyo, Mhandisi Besta amekagua maendeleo ya utekelezaji wa mradi...
Mitaro iliyopo kwenye barabara kutoka Shoppers Mikocheni Dar es salaam kuelekea Hospitali ya Kairuki imejaa maji machafu na taka, hali inayosababisha harufu mbaya na kuwa kero kwa wakazi wa maeneo hayo, hususan wafanyabiashara.
Hali hiyo pia inachangiwa na chemba inayotiririsha maji taka katika...
Anonymous
Thread
barabara
eneo
maji
maji taka
mikocheni
mitaro
mitaro kuziba
taka
Barabara ya Kiluvya Madukani mpaka Makurunge imeachwa bila matengenezo licha ya eneo hili kupata wakazi wengi miaka ya hivi karibuni.
Shida kuu:
1. Miundombinu mibovu: Barabara ni ya udongo wa mfinyanzi. Wakati wa mvua inakuwa na mashimo na inateleza sana. Magari yanakwama.
2. Ufumbuzi wa muda...
Serikali kupitia Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na TARURA imeanza utekelezaji wa ukarabati wa barabara ya Tabata Bima–Kimanga iliyopo wilaya ya Ilala, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuboresha miundombinu na kuondoa changamoto ya usafiri kwa wananchi wa eneo hilo, hayo yameelezwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.