A barabara or barabora (Russian); ulax̂, ulaagamax, ulaq, or ulas (plural) (Aleut); and ciqlluaq (Alutiiq ~ Sugpiaq) were the traditional, main or communal dwelling used by the Alutiiq people and Aleuts, the indigenous people of the Aleutian Islands. They lay partially underground like an earth lodge or pit-house, and most of the house was excavated from the dirt so as to withstand the high forces of wind in the Aleutian chain of islands. Barabaras are no longer used, as present-day Aleuts live in modern houses and apartment buildings.
Nawasalimu,
Nawasilisha malalamiko kuhusu hali mbaya ya barabara ya Pangani–Machinjio Mapya.
Barabara hiyo imekuwa katika hali mbaya kwa muda mrefu na haijawahi kufanyiwa matengenezo kwa kutumia greda kwa kipindi kirefu, hali inayowasababishia usumbufu na changamoto kubwa watumiaji wa barabara...
Watumiaji wa Barabara ya Ipoipo kwenda mpaka Kihonda Sekondari hapa Morogoro Mjini, iliharibika baad aya awali kuwa na lami, Serikali ikachimbua-chimbua kipindi Mwenge unakuja Morogoro na kuiacha hivyo.
Sasa imekuwa kero kwa watumiaji wa barabara hii na wafanyabiashara waliopo pembezoni, kwani...
Anonymous
Thread
barabara
morogoro mjini
vumbi
watumiaji wa barabara
Wito kwa Uongozi wa DIT kuhusu usalama wa wanafunzi
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa Shahada ya Kwanza (Bachelor) katika Chuo cha Dar es Salaam Institute of Technology (DIT). Ningependa kuwasilisha changamoto inayohusu usalama wa wanafunzi wanaotumia njia kati ya DIT Main Campus na jengo...
Anonymous
Thread
barabara
daraja
dit
elimu africa
jengo
kutumia
mdogo
usalama
wanafunzi
Nina muda wa takribani miaka 10 sijapita barabara ya Mwanza–Mara, lakini sasa nimeipita. Ebwana wee! 🤔
Kuanzia Kisesa, Magu hadi Ramadi, barabara imeharibika kiasi cha kuonekana kama imetelekezwa. Imejaa mabonde na mashimo mengi kiasi kwamba hata barabara ya vumbi inaweza kuwa nafuu zaidi...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametangaza kuanza kwa utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa barabara na madaraja katika wilaya za Malinyi na Ulanga, mkoani Morogoro, kwa lengo la kuboresha huduma za usafiri na kuchochea ukuaji wa uchumi wa wananchi.
Miradi hiyo inahusisha ujenzi wa barabara ya...
YAH: OMBI LA UCHUNGUZI WA TUHUMA ZA UKUSANYAJI WA FEDHA KINYUME NA UTARATIBU KATIKA KITONGOJI CHA MAKURUNGE, KATA YA KILUVYA – WILAYA YA KISARAWE
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Kwa heshima kubwa, sisi baadhi ya wananchi wa Kitongoji cha Makurunge, Kata ya Kiluvya, Wilaya ya...
Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imetoa ufafanuzi kuhusu hoja iliyotolewa na Mdau wa JamiiForums.com aliyeandika "TANROADS ilipima makazi yetu kupitisha Barabara ya Njia Nne (Kibaha - Morogoro) mpaka sasa kimya, kama mradi haupo watuambie"
TANROADS imeeleza "Zoezi la awali lililofanyika...
Wananchi tunaoishi kando ya barabara kuu kuanzia Kibaha, Mlandizi hadi Morogoro, tumekuwa tukiendelea kuishi kwa hofu kuhusu makazi yetu, kwani mradi wa upanuzi wa barabara hiyo kuwa njia nne unaohusisha ushirikiano kati ya Sekta Binafsi na Serikali (PPP) haujulikani umekwama wapi!
Ni miaka...
Anonymous
Thread
barabara
haupo
kibaha
kimya
kupitisha
makazi
morogoro
mpaka
mradi
njia
tanroads
Salaam
Hii ishu ya 7/7 tunatoka wote inaweza ikawa serious.Nimeamka asubuhi niende mishe ebwana stand Mombassa nimekaa dk zaid 40 ndo nimepata gari ,watu wachache mno na gari chache mno na biashara zimefungwa.
Vipi huko ulipo hali ikoje?
NCHI IMESIMAMA HII
Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Njombe Sigrada Mligo amesema "Siwezi kwenda CCM, Haina jipya. Miaka 65 tangu tumecha kutaliwa ajenda ni Barabara, maji umeme. Hawana jipya, kuna muda naona bora tungeendelea kutawaliwa ma Wazungu, hawa Waafrika wenzetu wanatuchelewesha."
"Mimi mdogo wangu, nitaenda...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametoa miezi mitatu kwa Mkandarasi anayejenga barabara ya Mnivata - Mitesa (km 100), kuhakikisha wanakamilisha kilometa 50 za barabara hiyo kwa kiwango cha lami ili kuufungua Mkoa wa Mtwara kiuchumi na kuunganisha Wilaya mbalimbali za mkoa huo.
Ulega ametoa...
Kumekuwa na kero kwa muda mrefu sasa haswa sisi tunatumia njia ya goba asubuhi ila haswa usiku.
Kuwa na foleni kubwa sana isiyotembea hata kwa masaa matatu na zaidi.
Ombi langu kwa serikali yetu kupitia tonroad wafanye mpango wa kujenga kuchora njia 3 toka around about ya goba mwembe madole...
HIFADHI YA BARABARA YA MOROGORO INAANGAMIZWA MBELE YA MACHO YETU
Je, serikali itaendelea kunyamaza hadi tutakapolazimika kulipa fidia tena?
Nianze kwa kurudia RAI yangu kuhusu upanuzi wa miundombinu ya barabara. Kwa mtazamo wangu, haikuwa sahihi kupanua Barabara ya Nyerere kwa kubaki na njia...
Naomba kuwasilisha kilio cha wananchi kuhusu ujenzi wa barabara ya Bonyokwa, hususan eneo la Kimara Mwisho.
Zaidi ya mwaka mmoja uliopita, mkandarasi alichimba upande mmoja wa barabara lakini akaiacha bila kuendelea na ujenzi. Hali hiyo imeendelea kusababisha usumbufu mkubwa kwa watumiaji wa...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Gabriel Makalla amesema serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan tayari imeanza ujenzi wa kipande cha barabara ya Luduare- Serengeti (Km88), akisema barabara hiyo itajengwa kwa kiwango cha tabaka gumu ili kuondoa adha kwa watalii wanaotembelea hifadhi ya...
Nikiwa mmoja wa Wananchi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha tunapongeza hatua ya kuanza kwa ukarabati wa Barabara ya Kibaha–Mpiji pamoja na Barabara ya Tankini–Muheza, kufuatia malalamiko niliyowasilisha kuhusu ubovu wa miundombinu hiyo.
Pia soma ~ Halmashauri ya Kibaha hizo Tsh. 420M za...
Tanzania hii kama Kuna majimbo yaliyobaguliwa basi ni Jimbo la SUMVE wilaya ya KWIMBA mkoa wa Mwanza. Jimbo hili toka uchagaguzi wa kwanza wa vyama vingi vya siasa Tanzania 1995 mpaka waleo hii limekuwa na wabunge watatu pekee lakini halijawahi kuwa hata na millimeter 1 ya kipande cha rami hii...
Anonymous
Thread
barabara
bila
jimbo
kero
kero ya barabara
kubwa
miaka
wizara ya ujenzi na uchukuzi
Barabara ya Mkuyuni, iliyofunguliwa mapema mwaka huu, inaonekana kujengwa chini ya kiwango kinachotarajiwa.
Ikumbukwe kwamba mwezi Aprili kulikuwa na mafuriko makubwa yaliyosababisha hasara za mali na usumbufu mkubwa wa usafiri. Mimi ni mkazi wa Mwanza, na kwa zaidi ya miaka 20 eneo hilo...
April 24, 2025 Liliwekwa jiwe la Msingi wa Ujenzi wa Barabara ya kibada - Mwasonga - Kimbiji yenye urefu wa Kilomita 41, ambapo jiwe hili liliwekwa na Raisi wa Zanzibar Mh. Hussein Ali Mwinyi.
Kazi imefanyika vizuri sana ila Changamoto Kubwa Mtaa Wetu wa Tumaini umeelekezewa Maji kiasi kikubwa...
Anonymous
Thread
barabara
csr
kero
kibada
kimbiji
kusababisha
kushindwa
mkandarasi
mtaa
tanroads
wakazi
Malengo makuu ya miundombinu ya mabasi ya mwendokasi (BRT) ni kupunguza msongamano wa magari na kurahisisha usafiri wa haraka na salama jijini Dar es Salaam.
Hata hivyo, lengo hili linahujumiwa vikali na ukiukwaji mkubwa wa sheria za usalama barabarani. Waendesha bodaboda na bajaj wamekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.