Ukipita maeneo ya lango kuu la nchi yetu maeneo ya bandari hali sio hali, yaani ni shughuli mwanzo mwisho pamoja na mamlaka husika kufanya kazi usiku na mchana, meli ni nyingi hakuna mfano,yaani bandari yetu iko bize balaa, chombo kinaingia, huku kuna kingine kinatoka kingine kinapakia mzigo...