Serikali yasitisha Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Kuimarisha Bandari za Mtwara, Dar

Status
Not open for further replies.

kbm

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
5,224
1,676
The Construction of the 10 billion (about Sh22 trillion) Bagamoyo Port has been suspended, The Citizen has learnt. The government wants to focus instead, on improving the capacity, performance and efficiency of the Mtwara and Dar es Salaam ports.

The Minister for Works, Transport and Communications, Prof. Makame Mbarawa, confirmed yesterday that the construction of what would be the largest port in Africa has been suspended, not shelved to pave way for upgrading berths 13 and 14 as well as developing the Mtwara Port depending on the availability of Funds. The activities would take years to complete, the minister said because the process has to start from finding funding.

Source: THE CITIZEN

IMG_20160108_071539.jpg
 
Last edited by a moderator:
Hapa sawa. Na aliyetoa amri ya kujengwa bandari hiyo ashitakiwe kwa matumizi mabaya ya ofisi na ubadhirifu wa mali ya umma. fedha nyingi sana ya walipa kodi imeshapotea kwenye ujinga huo.

Naanza kuona sababu za wageni wanafiki kutokukauka kwa Magufuli.
 
Hapa sawa. Na aliyetoa amri ya kujengwa bandari hiyo ashitakiwe kwa matumizi mabaya ya ofisi na ubadhirifu wa mali ya umma. fedha nyingi sana ya walipa kodi imeshapotea kwenye ujinga huo.

Naanza kuona sababu za wageni wanafiki kutokukauka kwa Magufuli.
Hii Bandari sikuona mantiki yake ukitegemea tuna tatu tayari Dsm Mtwara na Tanga ambazo hizi mbili zikiimarishwa tukaweka sawa miundombinu ya reli na barabara tutatosheka nazo sana kuliko kuingia madeni ya miaka zaidi ya hamsini bila sababu za msingi kwa porojo za kisiasa tu.
viva JPM
 
HI kitu nilijua tu kama ingetokea hivyo; niliwahi pia ku- comment kama sio humu basi kwenye mitandao mingine ya kijamii! Kiuhalisia ule mradi ulikua hauna TIJA yoyote kwa nchi. Thanks Magufuli, kwa hili nakuunga mkono pia.
 
Govt halts building of Bagamoyo Port.

"The government wants to focus, instead, on improving the capacity performance and efficiency of the Mtwara and Dar es Salama"

Source: THE CITIZEN
Kama itakuwa habari hizi ni za Uhakika, basi nitaamini kuwa sasa Tanzania tumepata Rais bora na siyo BORA Rais kama aliyepita.
 
....aseeee mkwere atakufa kwa presha, mpaka jpm aondokee !! ipo kazi....
 
Huu mradi ulikuwa ni moja ya maamuzi ya kipuuzi tu, waendeleze ufisadi na hii bandari ingekuwa maalum kwa wale jamaa waliojitangaza muflisi. Bora imesitishwa.
 
hasara kuendelea nao ni kubwa zaidi ya kusitisha.Tukiweka nguvu zetu kwenye kuendeleza bandari tatu zilizopo faida ni kubwa zaidi ya kusitisha mkataba.Ni kawaida sana kusitisha mkataba na fedha yake sio kubwa kama wengine wanavyodhani
 
Kwani uwamuzi wa kujenga bandari ya bagamoyo ni kwa ajili ya kukumbuka utawala wa JK lakini sio kwa manufaa ya taifa.
 
Habar
Hapo wawekezaji walioingia mikataba watakula fedha ya bure kama hii habari ni ya ukweli.
Habari ina ukweli kabisa, soma The Citizen, huwa gazeti hili hawaongei mambo ya mitaani.
Serikali Awamu ya Nne inaelekea ilitumia vigezo visivyoeleweka vyema katika sekta nzima ya usafirishaji, hususan bandari.
Bagamoyo haina hata reli ya kuunga bandarini, jipu hilo!
 
Govt halts building of Bagamoyo Port.

"The government wants to focus, instead, on improving the capacity performance and efficiency of the Mtwara and Dar es Salama"

Source: THE CITIZEN
...ktk ushindani wa biashara ya bandari, tutakabiliana vp na bandari za lamu, mombasa, durban, na hata djibout? Hizi bandari zetu zina uwezo wa kuhudumia 3G, na 4G sea vessel, ambazo lamu port inaandaliwa kuziuhudumia? Tutahimili ushindani wa biashara ya bandari unakuwa? Tunatembea wakati wenzetu wanakimbia!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom