bandari

  1. E

    JamiiForums Tanzania Mradi wa bandari ya Bagamoyo nani mkweli?

    Awamu zilizopita zilisaini mikataba mingi ikiwemo ya madini, gesi n.k Awamu ya tano nayo imesaini baadhi ya miakataba Lakini inapokuja swala la mradi wa bandari ya Bagamoyo Awamu ya 5 walituambia mradi haufai lakini tumesikia tukiambiwa walishauriwa vibaya Swali ni je, kwa uzoefu wetu katika...
  2. JamiiForums Tanzania Kuibuka kwa suala la bandari ya Bagamoyo ni uthibitisho kuwa Kikwete ndo anaeongoza nchi kwa sasa!

    Hivi karibuni kumeibuka suala la bandari ya bagamoyo ambayo mh. Hayati JPM alilikataa kwa kuwa mkataba wake ulikuwa wa kinyonyaji. Hivi karibuni suala hilo limeibuka tena upya na spika wa bunge ameonekana kulikingia kifua na kudiriki kusema kuwa Mh Rais alishauriwa vibaya. Je, Mh Ndugai...
  3. JamiiForums Tanzania Kwako Ndugai: Ukiwa kama Spika unapaswa kuisoma ilani ya CCM kwa kina kuhusu Bandari

    Kwanza ukiwa kama mbunge kutoka dodoma ulipaswa kuiongelea bandari kavu ya Ihumwa halafu uje kuweka msisitizo wa bandari kadhaa zinazotakiwa kujengwa. Taifa litakuwa hatarini sana iwapo tutakuwa na wanasiasa wasioheshimu Miongozo na ilani walizojiwekea na ambazo ndizo walizopita nazo kujinadi...
  4. JamiiForums Tanzania Bandari ya Bagamoyo ijengwe kama Bandari ya kimkakati isifanye kazi zinazofanywa na bandari ya Dar

    Bandari ya Bagamoyo ijengwe kama bandari ya kimkakati iwekewe gari(berth) ambazo bandari nyingine hazina. Pia ujenzi wake kama utapitishwa itabidi tenda itangazwe upya na mzabuni atakayeshinda ndio atajenga tusimkumbatie mchina hata kama ni rafiki yetu. Tanzania tangu tupate uhuru hatuna...
  5. JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa uhusiano wa Bandari ya Bagamoyo na Reli ya SGR

    Habari za Leo wakuu, Nimebaki mdomo wazi mwenzenu sielewi uhusiano uliopo kati ya Bandari ya Bagamoyo na Reli ya SGR. Hivyo vitu viwili vinaingilianaje? Na je mizigo ya bandari ya Dar es salaam haiwezi kusafirishwa kupitia Reli ya SGR? Naomba kuwasilisha mada mezani
  6. JamiiForums Tanzania Bagamoyo ilishaporwa na mafisadi; mradi wa bandari utakuwa ni neema kwao

    Ukienda maeneo ya Mbegani ambapo ndio eneo linalooendekezwa kujengwa bandari hutawakuta wenyeji tena bali mafisadi waliojimilikisha ardhi walizonunua kwa bei ya chini ili wasubiri fidia. Huo mradi sitegemei kuwafaidisha wazawa wa bagamoyo bali mafisadi waliokimbilia huko.
  7. JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: Ubadhirifu wa Fedha wa Shilingi Bilioni 3.93 katika Mamlaka ya Bandari Tanzania

  8. JamiiForums Tanzania Inawezekana kosa la Kakoko ni kuzuia mradi wa Bandari ya Bagamoyo

    Nimemsikiliza Rais Mama Samia tokea achukue hatamu za uongozi na leo spika wa Bunge kuhusu Bandari ya Bagamoyo ninashawishika kuamini kuwa Kakoko wa TPA alisimamishwa haraka na mama kwa lengo la kufungulia mradi wa Bagamoyo. Kakoko alikuwa kikwazo cha ulaji au uwekezaji huu. Nawakumbusha...
  9. JamiiForums Tanzania Ujenzi Bandari ya Bagamoyo: Aliyemshauri vibaya Rais Magufuli ni nani?

    Habari wakuu Leo spika wa bunge Ndugai kasema Hayati Magufuli alishauriwa vibaya kuhusu kujengwa kwa bandari ya Bagamoyo na bunge linataka kupendekeza ikiwezekana bandali ijengwe tu. Sasa hapa napata kigugumizi hao washauri wa Magufuli waliompotosha Magufuli ni akina nani? Mimi binafsi nina...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo uendelee, Dkt. Magufuli alishauriwa vibaya

    Spika wa Bunge ameshauri mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo uendelee kwa sababu Magufuli alishauriwa vibaya, hii ni baada ya kamati ya Bunge ya bajeti kushauri kuwa serikali iangalie kuhusu kuendelea na mradi huo. Ndugai amesema kuwa mradi huo utakuwa na faida kubwa kwa Watanzania na...
  11. JamiiForums Tanzania Mradi wa bandari ya Bagamoyo urejeshwe haraka sana

    Wandugu, sasa ni muda muafaka wa kurejesha ule mradi wetu mkubwa wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo kwa maslahi mapana ya kiuchumi na kwa faida za kichumi. Yafanyike maandalizi mapema na washirika wote wakae katika mazungumzo ili hatimae mradi uanze kazi mara moja. Ikumbukwe mradi huu...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa TPA aliyesimamishwa kazi, Kakoko ashikiliwa kwa mahojiano na TAKUKURU

    Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Brigedia Jenerali John Mbungo amethibitisha taasisi hiyo kumshikilia kwa mahojiano Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Deusdedit Kakoko aliyesimamishwa kazi na Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan. Hivi Karibuni Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan...
  13. JamiiForums Tanzania Sakata la Kakoko wa TPA kudaiwa kuweka nyumbani begi lenye USD 1,625,800. Mkurugenzi wa TAKUKURU akanusha

    Nimesoma kuwa Takukuru wameingia nyumbani kwa Kakoko leo ghafla na kumkuta na begi lenye $1,625,800 cash baada ya kusimamishwa kazi jana! Haijulikani hizo alizichota lini, lakini kama ni kweli inawezekana alikuwa akizichota pole pole kwa muda mrefu kidogo na huenda sasa hivi ana "vijisenti"...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Prof. Assad ateuliwe Ukurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari

    Kutokana na wizi na ubadhirifu wa bandari yetu napendekeza Profesa Assad ateuliwe nafasi hiyo
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko

    Rais Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Ripoti ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, ametoa agizo la kusimamishwa Mkurugenzi Mkuu wa Bandari(TPA) kutokana ubadhirifu mkubwa unaoikumba mamlaka hiyo. Rais Samia Suluhu Hassan amesema haya “Ripoti...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Sasa ni wakati wa kuianika mikataba yote ya Magufuli kama wao walivyoanika mkataba wa Bandari ya Bagamoyo na mingineyo

    Huu ndio ushauri wangu kwa serikali hii mpya ili tuone ni nini kimo kwenye hiyo mikataba na tukigundua ni mikataba mbovu; basi tuisitishe na kisha tuifumue kabla ya kuendelea nayo. Tukumbuke ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ulifutiliwa mbali kwa hoja mkataba wake ulikuwa mbovu na baaadhi yawatu...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Kutoka Tanga: Tujitathmini kidemokrasia tunaweza kuwa tunapwaya

    Mabibi na mabwana hii clip inajieleza: Hii ni katika ziara ya makamu wa rais mama Samia. Huyu jirani yetu asiyekuwa mwema, kazi anayo. Maendeleo hayana vyama!
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya ‘haiwezi kukabidhi bandari’ kwa China kama njia ya kulipa deni la SGR

    bbcCopyright: bbc Waziri wa Afya nchini Kenya Ukur Yatani amekanusha taarifa kuwa nchi hiyo iko katika hatari ya kupoteza bandari yake kubwa kwa China ikiwa itashindwa kulipa deni lake kwa nchi hiyo, ambalo pesa zake zimetumika kwa ujenzi wa reli mpya. Reli hiyo yenye umbali wa kilomita 472...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KRA Surpasses Revenue Target by Ksh17B at Mombasa Port

    The Port of Mombasa has surpassed its tax target by more than Ksh 17 billion in the first half of the 2020/2021 financial year. Customs and Border control department, including its two border points, collected more than Ksh 200 billion beating its Ksh 183.578 target in the July - December...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Kasi ya Zanzibar kujiletea maendeleo yaongezeka, sasa inajenga bandari kubwa ya kisasa. Hongera Rais Mwinyi na Maalim Seif!

    Zanzibar imetiliana saini na serikali ya Oman katika ujenzi wa bandari kubwa na ya kisasa zaidi Afrika ya mashariki. Bandari hiyo mpya itakuwa na gati nyingi zikiwemo za container, mafuta, gesi, uvuvi, utalii wa bahari nk. Utiaji sainu mkataba wa ujenzi bandari hiyo ya kipekee Afrika ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…