Kimeumana!
Nimezipata za chini ya kapeti ya kwamba kuna uwezekano mkubwa wa vijana wa Dsm na wa Dodoma kuingia barabarani weekend hii au Jumatano ijayo kupinga issue ya DP World.
Mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Vijaaanaa vijana vijana tuko tayari...
Pwani ya Tanzania ambayo inategemewa na nchi zaidi ya 6 za Africa ni zaidi ya Bandari.
Nguvu ya Bandari ya Dar es Salaam iko kwenye Uchumi wa nchi, Usalama wa nchi na Siasa za nchi kwa majirani wanaotuamini kupitisha Mizigo ya nchi zao.
Tunapojadili uwekezaji wowote wa Bandari, uzalendo...
Wasalaam,
👇👇👇
Habari ndiyo hio, bandari ikiuzwa kama msemavyo wabongo tetesi basi jiandaeni kwa utumwa usiomithirika, sioni Tanzania iliyosalama, sioni muungano ukiendelea.
Mkimuangalia mtavuna mabua alianza ngorongoro, sasa kalekea chumbani kwenye roho ya nchi.
Endeleeni kumchekea Hali si...
ELimu, Elimu, Elimu ni kitu muhimu sana. Tanzania tuna tatizo kubwa ya lugha ya Kingereza kwa watu wetu. Lugha ya Kiswahili haina maneno na misamiati iliyojitosheleza, hivyo tafsiri toka Kingereza kwenda Kiswahili mara nyingi kumejaa ukanjanja na uwongo.
Tatizo kubwa kubwa ni watu kutafsiri...
Ubinafiswaji kwangu naichukulia kama tabia ya wavivu.
Bandari tuwape JKT waiendeshe.
Kweli hatujui source of income kwetu ni ipi? Dah
Mwafrika ni hasara kwa Mungu nahisi!! Miaka 60 ya uhuru hatuwezi kuendesha mambo yetu mpaka tuwapigie magoti watu wengine?
Habari JF,
Hivi Watanzania tunashindwa kuendesha kitu ambacho hakituhitaji tuweke mtaji tutengeneze au tuuze vitu kisha tufanye hesabu ya faida tuliyopata, tutaweza kufanya kipi?
Unahitaji nguvu, tunayo ya kutosha. Unahitaji Vifaa na mitambo/mashine, uwezo wa kununua tunao. Unahitaji uweke...
Jamani nina swali ambalo nadhani hata wabunge wetu wangejiuliza kabla ya kupitisha hili jambo.
Na wasiangalie wao wanaishi sasa waangalie na watoto na wajukuu wajao wataishi vipi huko baadae.
Maswali:
(1) Kama kila siku tunaambiwa tunategemea sana mapato ya bandari. Sasa kama bandari inapigwa...
Kuna kila dalili kuwa maamuzi ya kutoa sadaka Bandari yetu yalishafanyika kwa mujibu wa maelezo ya Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa kupitia BBC kwa madai "hatuna fedha Trilioni 4 kujenga gati Mpya 9" hivyo Waarabu wa Dubai wanazo fedha. Chambuzi nyingi zimeshafanyika lakini Kuna danganya toto...
Kwa mbwembwe zote Msigwa kawaambia vijana wake wa maelezo wawahi bandarini kuandaa video fupi kuhusu ujio wa mabehewa ya ghorofa ili kuwa hadaa watanzania.
Hadi muda huu ile clip na story yake imebuma maana wananchi wamesusa asilani na wanajua mchezo wote unavyokwenda.
Gafla wakatoa mkeka wa...
ALICHOKIZUNGUMZA MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA BANDARI TANZANIA (TPA)PLASDUCE MBOSSA, KWENYE MAHOJIANO NA TBC
“Bandari ya DSM iko kwenye hatua ya kufanyiwa maboresho, na utaratibu wa kutafuta kampuni kuendesha bandari ni utaratibu wa kawaida na tulikua na kampuni inaitwa TICS ambayo mkataba...
Akizungumza kutoka Berlin Ujerumani, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amesema kwa mujibu wa Masharti ya Mkataba huo yanaonesha kuwa endapo kutakuwa na ulazima wa kuvunja Mkataba itabidi uamuzi utolewe na Mahakama ya Usuluhishi ya Kimataifa.
Amesema DP World wanataka kupata haki ya...
Mkataba Kati ya Serikali ya Tanzania na kampuni ya DPW ya Emirates Dubai umeacha maswali mengi na kuamsha hisia za kudai Katiba mpya kwa nguvu zote.
Ni mkataba ambao ulisainiwa kwa mwendokasi bila kuchukua tahadhari juu ya madhara yake yaliyo dhahiri. Mkataba huu haukubaliki kwa sababu nyingi...
Kama tumesikia visiwa vinauzwa wageni, mbuga nazo zinabebwa, madini huko nako ni kichomi kingine, bandari imekuja kuongeza msumari wa moto kwenye kidonda halafu wanakuja kukanisha sio miaka 100 ni miezi 12!
Uwekezaji tu uliofanywa ni zaidi ya miezi hiyo, hapo hujaagalia utekelezaji, faida na...
Mnamo mwaka wa 2019, DP World, mwendeshaji wa bandari inayomilikiwa na Dubai, chini ya uangalizi wa Sultan Bin Sulayem, kwa msaada kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa Uchukuzi, Willem Goeimann alipanga mpango wa kupata udhibiti wa kituo kipya cha kontena cha Walvis Bay kilichojengwa cha...
Mwendeshaji huyo mkuu wa Feri za nchini Uingereza, aliwafuta kazi wafanyakazi 800 katika Meli zote baada ya kusimamisha safari zake zote. Vyama vya wafanyakazi viliitosha mgomo na maandamano na kuitaka serikali kusitisha kile ilichokiita "usaliti wa kashfa", huku P&O ikipanga kutumia wafanyikazi...
Wandugu me naungana na serikali Kwa 100% kwenye hili Jambo la bandari
Jamani kuna mambo lazima tukubali kusaidiwa because Sisi wenyewe tumefeli huo ni ukweli na sio dhambi
Mara zote bandari ilikuwa chini yetu, wizi ni mwingi, ubadhirifu ni mwingi, huduma mbovu ela hakuna
Sasa Leo anakuja mtu...
Bandari ya Fujairah na DP World ambaye ni mmoja wa waendeshaji wakuu wa bandari duniani, walikubaliana na kusitisha Mkataba wa Uendeshaji uliosainiwa mwaka 2005 kwa lengo la kujenga, kuendesha na kuhamisha (BOT) kupanua na kuendeleza Kituo cha Kontena cha Fujairah bandarini kwa ajili ya kubeba...
Agosti 26, 2012, Mtandao wa Reuters uliripoti kuwa Wizara ya Uchukuzi kupitia Serikali ya Yemen ilianza mawasiliano na Wakala Mwendeshaji wa Bandari anayemilikiwa na Serikali ya Dubai (DP World) ili kuvunja mkataba wa kuendesha Bandari ya Aden.
"Bodi ya Ghuba ya Aden Ports Corp imeamua kufuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.