Chama cha mapinduzi kipo kimya kuanzia juu mpaka chini, means wao kwao fikra za Mwenyekiti zidumu.
Nasema hivyo kwa Sababu naamini wao wenyewe mkataba wameona mitandaoni na tumesoma nao shule na vyuo hivihivi, walichobaki nacho nikusengenya nakutukana viongozi wao kwenye vijiwe.
Mara viongozi...
Watanzania wenzangu, tumedharauliwa kiasi cha kutosha, tumeonewa kiasi cha kutosha, na watanzania wenzetu huko Loliondo wamenyanyaswa kiasi cha kutosha.
Vijipesa vya mwarabu vimewatia upofu watawala wa CCM mpaka imefikia hatua wako radhi kufukuza wananchi katika maeneo yao ili kuipa familia za...
Ningependa kuuliza, ukiangalia Sheria za manunuzi zinamtaka mtu au kampuni za umma zinapotaka kufanya jambo lolote linalohusu manunuzi au ubinafishishaji lazima Sheria ya ushindanishaji wa makampuni Ili kimpata aliye Bora zaidi.
Je, zoezi juu ya bandari za Tanzania huyu mwekezaji...
Taarifa za uhakika kutoka Dodoma ndani ya Wabunge wa CCM ni kuwa kesho Ijumaa tarehe 09/6/2023 wametumiwa ujumbe wa wito wa kushiriki kikao cha Wabunge wa CCM - Party caucus Kwa ajili ya kuweka msimamo juu ya kupitisha azimio la mkataba wa Serikali na Dubai.
Kikao hiki kimeitwa siku moja kabla...
Bandari, viwanja vya ndege, electric power supply plants, reli na barabara ni maeneo mhimu sana kiuchumi na kiusalama wa taifa lo lote duniani. Hili halina ubishi. Hivyo umiliki na mamlaka ya uendeshaji yanapaswa kuwa ya taifa lenyewe kwa asilimia 100%. Mamlaka haya hayapaswi kuporwa na mtu...
Kifupi huo ndio ushauri wangu.
Tufanye nini? Najua shida yetu kubwa katika kila kitu hapa nchini ni uendeshaji mmbaya na sio kukosekana kwa fedha. Tumewahi kupokea fedha nyingi za misaada lakini tukaishia kuzitumia hovyo kwa kukosa good management na weledi.
Tunashindwa kwenye technical...
Walipoondolewa Wamasai kule Loliondo, kuna watu walitetea sana maamuzi yale wakidhani maamuzi kama yale yataishiwa kwa Wamasai tu, hawakujua yale maamuzi yalikuwa yanaweka precedence mbaya kwa siku zijazo.
Leo tunavuna tulichopanda halafu tunalialia!
Tumelaniwa!
Jamani hela tunazo, wasomi tunao. Tatizo ni nini? Na karne hii tuna uwezo kabisa wa kuangalia hizo Bandari kama Shangai, Singapore zimefanya nini hadi kuwa na ufanisi? Wachina, wasingapore wazungu wa Roterdam na Antwerp wamevanya fanya nini? Kulikuwa na Haja ya kumleta huyu katili Sheikh wa...
Maneno yamekuwa mengi ila sijafanikiwa kuona mtu anatuwekea huo mkataba tajwa humu au kokote ukiachilia mbali ya amakubaliano ya awali. Kwa aliyenao ingependeza akaupandisha hapa ili tuanzne uchambuzi wa kweli kweli
tutagombana sana. ninakiri kuamini kwamba, tungeruhusu wachina kujenga bandari ya bagamoyo, ingepunguza mzigo mwingi sana unaopitia dubai toka china, ndio maana waarabu wanasema hatutaruhusiwa kuendeleza bandari zingine. ninashauri, hawa DP WORLD wapewe tu bandari waiendeleze, ila kipengele cha...
BARAZA la Uongozi la Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) limeunda kamati maalum ya wataalamu kuchambua makubalino yaliyoainishwa katika mkataba wa uendeshaji bandari ya Dar es Salaam kati ya serikali ya Tanzania na Kampuni ya Dubai ya DP World.
Rais wa TLS, Wakili Harold Sungusia amesema kamati...
Plasduce Mbossa, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari, athibitisha kutokuwepo kwa mkataba wa miaka 100: "Upotoshaji ulioenezwa kuhusu mkataba wa miaka 100 ni wa kushtua, hakuna sehemu yoyote katika mkataba iliyotaja kipindi hicho kirefu.
Watu wanaosambaza taarifa hizo walikuwa na...
Plasduce Mkeli Mbossa, Mkurugenzi Mkuu TPA
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Plasduce Mkeli Mbossa akiwa katika Clubhouse ya Msemaji Mkuu wa Serikali Juni 7, 2023. Ametoa ufafanuzi wa mambo mbalimbali kuhusu Mkataba wa Bandari ambao umezua mijadala mingi.
Akioa...
bado
bandari
kutafuta
mashamba
miaka
miaka 100
mkataba
mkurugenzi tpa
muda
plasduce mbossa
sakata la bandari
shughuli
tpa
ufafanuzi
utekelezaji
wafanyakazi
Karibuni mikoa yote Tanzania bara.
1. Kundi la vijana wasio na ajira karibuni
2. Kundi na watumishi wa TPA
3. Kundi la vyama vya siasa na wasomi mbali mbali
3. Kundi la wafanyabiashara
4. Wananchi wote Tanganyika
Karibuni Dodoma Bungeni tarehe 10.6.2023 bila kukosa
Tunaenda kuongeza mapato, na kuongeza ufanisi kwa ujumla wake
Sasa kupinga bila sababu za msingi na kukazania na uzushi tuuu hii inaleta ukakasi,
Kama ni mapungufu si tuyarekebishe tu?
Kwanini kumkataa mwarabu moja kwa moja?
Angekuwa mzungu tungepinga?
Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson amesema azimio la Bunge kuhusu kuridhia ushirikiano wa uendelezaji na uboreshaji wa utendaji wa bandari Tanzania, litawasilishwa bungeni Juni 10, 2023 kwa ajili ya kujadiliwa na kupitishwa na wabunge.
Azimio hilo ni mapendekezo ya kuridhia makubaliano kati ya...
Heshima kwenu wanajamvi,
Kumekuwa na sintofahamu kila mara kiongozi mkuu wa nchi (Rais wa JMT) akitokea nchi ya Zanzibar jambo la kwanza ni kuuza ardhi ya Tanganyika.
Rais wa awamu ya pili Mzee Ally Hassan Mwinyi aliuza ardhi ya wamaasai huko Loliondo kwa waaarabu wa Dubai UAE.
Rais Samia...
MBUNGE, Rashid Shangazi anatajwa kuwa ndiye Dalali wa Kampuni ya DP World inayotaka kuuziwa bandari zote Tanzania isipokuwa za Zanzibar tu, Shangazi alianza kuipigia debe na baadaye kuwaleta nchini na kukamilisha hiyo dili ambalo limezua mgogoro mkubwa Tanzania.
Ushahidi wa ni SWALI NA 58 LA...
Kama kuna Watu nawapenda basi ni Watanzania kwani ni wepeei kuhamishwa Fikra na Mitazamo huku wakiridhishwa na Asali ya Timu zao Kubwa za Simba na Yanga kwa Kusaidiwa na Rais na Serikali.
Spika anasema wacheni kupotosha:
--
Spika wa Bunge, Dr Tulia Ackson ametoa ufafanuzi kuhusu taarifa zilizosambaa zikidai kuwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tayari limesharidhia Azimio la Bunge kuhusu pendekezo la mkataba wa bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.