bandari

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Bandari nipo 'Neutral' kwa mtazamo ufuatao

    Mtazamo Chanya... 1. Bandari itaboreshwa 2. Ufanisi Kuongezeka 3. Biashara Kuimarika 4. Maslahi juu kwa Wafanyakazi 5. Huduma yao itavutia nchi nyingi Jirani 6. Mapato Kuongezeka 7. Urasimu Kupungua Mtazamo Hasi 1. Mkataba kutokuwa na Ukomo ni Hatari kwa wenye Bandari 2. Vipengele...
  2. USSR

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Bandari nasimama na Rais Samia, tubinafsishe hata Halmashauri zetu

    Wakuu tunaibiwa Sana hiwezekani hata Rwanda na kibandari kikavu Chaowakusanye nusu yetu huu ni wizi wa miaka mingi sana tumeibiwa. Tunaibiwa ruzuku za vyama, kilimo, ukusanyaji wa mapato tena na halmashauri zetu kila kona. Mhe. Rais Samia tubinafsishe hata halmashauri zetu maana huko wizi ni...
  3. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Wabunge wetu: Kesho huyo mpendwa wetu DP World mpeni tu bandari kavu zetu zote. Hizo bandari maji aachane nazo, tutaziendeleza kwa pesa yetu

    Huyo DP World ni gwiji sana wa bandari kavu. Huko Rwanda kawafanyia maajabu hadi inasemekana wamezipita baadhi ya bandari maji barani Afrika. Mpeni exclusive ownership za bandari kavu zetu zote. Masharti mengine ya mkataba yanaweza baki kama yalivyo isipokuwa pale inaposomeka bandari maji...
  4. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na CCM wameungana kupinga suala la bandari kubinafsishwa?

    Wezi na wanufaika wa wizi bandarini walio ndani ya CCM tayari washajitikeza na kubwabwaja kwa kujificha kwenye mwavuli wa uzalendo. Eti wanasema kubinafsisha bandari siyo uzalendo!!! Haa??!!! Hayana haya majizi haya. Kwahiyo wao wanavyoiba hapo bandarini ndiyo uzalendo? Kinachonishangaza ni...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mkesha wa maombi JF kuinusuru Bandari yetu isiuzwe

    Ngugu wana JF kama mnavyojua kesho ndio kesho, kama wabunge wataridhia mapendekezo ya Mkataba kati ya TZD na Dubai kuhusu ustawishaji wa bandari, maziwa etc. basi hiyo ndio rasilimali zetu hizo ndio hazitorudi tena mpaka mwisho wa ulimwengu huu. Yaani miaka elfu moja baadae sisi tutakaojulikana...
  6. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, suala ka Bandari umeteleza. Hekima ni kulisahihisha

    Huu ni ushauri wa bure kwa mpendwa wetu Mama Samia.Siyo siri hili suala la ubinafsishwaji Bandari zote za nchi hii iitwayo Tanzania, lina ukakasi wa kutisha. Huu upinzani mkubwa kwa ubinafsishaji, unatoka kwa wananchi, wenye nchi hii. Suala la muhimu si kutazama tulipoanguka, bali...
  7. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Majeshi yetu yana Maoni gani kwenye Sakata la Bandari?

    Tupo katika kipindi ambacho ugaidi unakua na kusambaa na kushika taswira ya janga la kidunia. Ni dhahiri kuwa ubinafsishwaji wa bandari unaweza kuwa na athari za Kiulinzi na za kiusalama kwa nchi yetu kwani itapunguza mamlaka za bandari hivyo hata uwezo wa ukaguzi wa shehena huwenda utapunguwa...
  8. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Mkazi wa Songea amuandikia barua Spika wa Bunge kupinga bandari kuuzwa

    BRAHIM JEREMIAH S.L.P 602 SONGEA 06/06/2023 KATIBU WA BUNGE, OFISI YA BUNGE 10 BARABARA YA MOROGORO S.L.P 941, 40490 TAMBUKARELI DODOMA YAH. KUPINGA AZIMIO LA UBINAFSISHWAJI WA BANDARI KWA KAMPUNI YA DP WORLD Ndugu Husika na Kichwa cha barua hapo Juu, Mimi ni Mtanzania ambaye nimeguswa na...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi kaeni neutral kipindi cha uchaguzi ili wananchi wachague viongozi wao kwa uwazi na uhuru 2025 ili haya ya bandari yasitokee

    Kumekuwa na matukio mengi yanatokea kipindi cha hivi sasa. Mara punde taarifa ya kuhusu Bandari na DP world nk. Wananchi wamekuwa wanajilaumu kuwa japo uchaguzi ungekuwa wa haki basi wabunge wa upinzani wangekuwa bungeni na wangepambana na mambo haya yanayoendelea nchini kwetu. Lakini hivi...
  10. Replica

    JamiiForums Tanzania Musukuma ashangaa kuwaona mitaani wanaoeneza taharuki sakata la bandari, ataka hatua zichukuliwe

    Mbunge Musukuma ameshangazwa kuendelea kukutana mitaani na watu walioneza propaganda kuhusu miaka 100 kwenye mkataba wa Bandari kati ya Serikali ya Tanzania na kampuni ya DP World. Musukuma amedai vyombo vya ulinzi na usalama wamekuwa wapole na haiwezekani kwenda kwa namna hiyo bila hatua...
  11. Ileje

    JamiiForums Tanzania Busara ya Baba Askofu Bagonza kuhusu mkataba wa bandari

    BANDARI IMEUZWA au IMEKODISHWA? Suala la Bandari limekuwa gumzo. Hata Bubu wanaongea na woga unajaa ujasiri. Waliozoea kuongea wamekuwa bubu. Kwanini? 1. Je, imeuzwa au imekodishwa? 2. Je, imeuzwa au tumekodi mwendeshaji? 3. Je, ni kweli tayari imeuzwa, imekodishwa au kuajiri hiyo...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Spika na Wabunge kumbukeni maneno haya ya Dua ya kuiombea nchi na kuliombea Bunge mnapokwenda kuuza Bandari

    Dua ya kuiombea nchi na kuliombea Bunge “Ewe MWENYEZI MUNGU Mtukufu, Muumba Mbingu naDunia, umeweka katika Dunia Serikali za Wanadamu naMabunge ya Mataifa ili haki yako itendeke. Twakuomba, uibariki nchi yetu idumishe uhuru, umoja, haki na amani, umjalie Rais wetu hekima, afya njema na maisha...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Bunge halitakuwa LIVE Juni 10 kupitia mkataba wa bandari

    Kuna tetesi kuwa wabunge wa CCM wametoa shinikizo kwa Spika, Dk. Tulia kuhakikisha kikao cha kesho cha kupitisha azimio la kuuza bandari zote za Tanzania bara kwa Mwarabu hakionyeshwi LIVE kwenye Tv ili kuwanusuru kwa wananchi ambao wako kwenye taharuki kubwa. Wabunge hao inasemekana...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Musukuma afunguka Mazito Mkataba wa Bandari/Sijajongwa Gari, Nina Hela

    Kutokana na kile kinachoendelea kwenye mitandao ya Kijamii kuhusu bandari ya Tanzania imeuzwa, Mbunge wa Geita vijijini Joseph Musukuma leo amezungumza na wanahabari akiwa Jijini Dodoma
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari waliotembelea bandari Dubai

    Na Bashir Yakub, WAKILI 1.. WAANDISHI WA HABARI WALIOTEMBELEA BANDARI DUBAI. Watanzania wapuuzeni sana hawa. Mtu ambaye amelipiwa tiketi ya ndege, amelipiwa malazi ya karibia wiki mbili Dubai, ametembezwa bandari za Dubai, amelipwa na posho juu mpaka anarudi hawezi kuwa na akili yake. Sio...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria nguli wa masuala ya Uwekezaji aeleza jinsi Tanzania ilivyopigwa katika mkataba wa Bandari

    Mwanasheria huyo, amedadavua mambo mengi sana namna nchi itakavyopata hasara kutokana na mkataba huu. Anasema mambo yafuatayo 1. Mosi mkataba ni kama umeback date, kuiwezesha kampuni kuwa na haki ya kisheria juu ya miradi yote inayoendelea bandarini kabla hata ya mkataba huo kusainiwa 2. Pili...
  17. Mag3

    JamiiForums Tanzania Je, CCM kama chama tawala kiliridhia na kubariki Mkataba wa Makubaliano na DP World?

    Mkataba wa Makubaliano (Mkataba wa awali) kati ya Serikali ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai tayari ulishapata baraka za Rais Dr. Samia Suluhu Hassan. Kwa baraka hizo Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) iliingia katika Makubaliano ya awali na kampuni ya DP World (DPW) ya...
  18. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Mkisikia kuna kikundi cha Watanganyika wanataka kuandamana kwa ajili ya bandari yao nipeni taarifa nami niungane nao

    Watu wanaingia Mkataba ambao unasema hata kukiwa na Material breach still party to the Contract can't tarminate the same. Mmhhh hii si hatar sana. If I were in a position to do something watu wote waliohusika na huu uharamia wangefilisiwa ili kwanza wajue nchi ina wenye nayo nao ni sisi...
  19. Baba jayaron

    JamiiForums Tanzania Wajua MSIMAMO wa Rais Samia kwenye sakata la bandari? Huu hapa ushahidi

    Habari wanajamvi, Kama kichwa cha somo kinavosema.... Msimamo wa mama samia kwenye maamuzi yake mengi ni kwamba WATANZANIA WENGI NI WAONGEAJI TUU LAKINI MWISHO WA SIKU HUKUBALI NA KUTULIA KIMYA NA KUZOEA. Kauli hii aliitoa alipokua ana shoot film ya Royal tour akiwa maeneo ya Tegeta...
  20. The real Daniel

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji elimu kabla ya kutoa maoni kuhusu mkataba mpya wa bandari

Back
Top Bottom