bandari

  1. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam ni Kiarabu maana yake Bandari!

    Kazi kwenu si mlikataa kubadiliaha jina sasa “wenyewe” wamekuja kuchukuwa Bandari yao, jina letu la Mji wetu ni Mzizima na siyo Dar es salaam kwanza (Dar es slaam) jina baya hata kulitamka ni shida, …
  2. Mr Q

    JamiiForums Tanzania UZEMBE; Kwa nini Makame Mbarawa alikosea sehemu ya kutia saini kwenye makubaliano ya Mkataba wa bandari? Aliusoma kweli?

    Inanipa kuamini ya kwamba huyu Makame Mbarawa hakusoma au alilazimishwa au alikuwa amechoka na ya kwamba ni uzembe tu na mazoea ya wanaojiitaa wasomi wetu wakati wankusaini mikataba ambayo unaweza kuliingiza taifa pabaya. Tizama screenshot ifuatayo uone uzembe mkubwa wakati wa kutia saini...
  3. Dan Zwangendaba

    JamiiForums Tanzania Serikali Iachane na Uwekezaji Unaotarajiwa Kufanywa na DP World Kwenye Bandari Yetu

    Binafsi nikiri kwamba sijauona huo unaoitwa Mkataba au MOU (Intergovernmental Agreement, IGA) hivyo siwezi kutoa hoja zozote za kitaalam ikiwa mkataba au hiyo MOU ni nzuri au mbaya. Hata hivyo, kwa kuzingatia watanzania hawa wa leo, ambao walikaa miaka 10 chini ya uongozi wa Mhe. Jakaya Kikwete...
  4. covid 19

    JamiiForums Tanzania Tuchuguzeni kwa makini hizi kelele zinazopigwa kuhusu Ubinafsishaji Bandari, mbona kama kuna Vigogo wawili wanapigania Maslahi yao binafsi?

    Hivi, 1. Kama bandari inabinafsishwa gati na 5 hadi 8 na kuachwa gati namba 9 hadi 11 kwanini kelele ziwe nyingi kiasi kwamba ni bandari yote inauzwa? 2. Kama huyo anayekuja anakuja kuboresha miundominu na utoaji huduma sasa mbona wafanyabiashara ndio wanapiga kelele hawataki kabisa kwani si...
  5. R

    JamiiForums Tanzania CCM bado awajatoa msimamo wao kwenye huu mkataba, maana yake wanasema Bandari ziuzwe

    Chama cha mapinduzi kipo kimya kuanzia juu mpaka chini, means wao kwao fikra za Mwenyekiti zidumu. Nasema hivyo kwa Sababu naamini wao wenyewe mkataba wameona mitandaoni na tumesoma nao shule na vyuo hivihivi, walichobaki nacho nikusengenya nakutukana viongozi wao kwenye vijiwe. Mara viongozi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania tusiishie bandari tu, huu ni muda wa kuidai na Loliondo pia

    Watanzania wenzangu, tumedharauliwa kiasi cha kutosha, tumeonewa kiasi cha kutosha, na watanzania wenzetu huko Loliondo wamenyanyaswa kiasi cha kutosha. Vijipesa vya mwarabu vimewatia upofu watawala wa CCM mpaka imefikia hatua wako radhi kufukuza wananchi katika maeneo yao ili kuipa familia za...
  7. Evody kamgisha

    JamiiForums Tanzania Hivi Kulikuwepo na ushindanishaji wa Makampuni ya Uwekezaji katika Bandari zetu?

    Ningependa kuuliza, ukiangalia Sheria za manunuzi zinamtaka mtu au kampuni za umma zinapotaka kufanya jambo lolote linalohusu manunuzi au ubinafishishaji lazima Sheria ya ushindanishaji wa makampuni Ili kimpata aliye Bora zaidi. Je, zoezi juu ya bandari za Tanzania huyu mwekezaji...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mkataba wa Bandari: Wabunge wa CCM waitwa kikaoni kesho Mchana, Juni 9, 2023

    Taarifa za uhakika kutoka Dodoma ndani ya Wabunge wa CCM ni kuwa kesho Ijumaa tarehe 09/6/2023 wametumiwa ujumbe wa wito wa kushiriki kikao cha Wabunge wa CCM - Party caucus Kwa ajili ya kuweka msimamo juu ya kupitisha azimio la mkataba wa Serikali na Dubai. Kikao hiki kimeitwa siku moja kabla...
  9. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Bandari zetu: Hii ni Kandrasi, Ukodishaji, Upangishaji, Uuzaji, Uwekezaji, Ubinafishaji, Ubia ni PPP au tumetapeliwa?

    Bandari, viwanja vya ndege, electric power supply plants, reli na barabara ni maeneo mhimu sana kiuchumi na kiusalama wa taifa lo lote duniani. Hili halina ubishi. Hivyo umiliki na mamlaka ya uendeshaji yanapaswa kuwa ya taifa lenyewe kwa asilimia 100%. Mamlaka haya hayapaswi kuporwa na mtu...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali tafuteni kampuni ya kufanya management (uendeshaji) tu kwenye bandari zetu na sio kubinafsisha bandari

    Kifupi huo ndio ushauri wangu. Tufanye nini? Najua shida yetu kubwa katika kila kitu hapa nchini ni uendeshaji mmbaya na sio kukosekana kwa fedha. Tumewahi kupokea fedha nyingi za misaada lakini tukaishia kuzitumia hovyo kwa kukosa good management na weledi. Tunashindwa kwenye technical...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mlifikiri yataishia kwa Wamasai wa Loliondo tu?

    Walipoondolewa Wamasai kule Loliondo, kuna watu walitetea sana maamuzi yale wakidhani maamuzi kama yale yataishiwa kwa Wamasai tu, hawakujua yale maamuzi yalikuwa yanaweka precedence mbaya kwa siku zijazo. Leo tunavuna tulichopanda halafu tunalialia! Tumelaniwa!
  12. Victoire

    JamiiForums Tanzania Population ya Dubai ni milioni 3.5M na Tanzania ni milioni 63, ina maana hakuna kabisa watu wa ku-design Bandari?

    Jamani hela tunazo, wasomi tunao. Tatizo ni nini? Na karne hii tuna uwezo kabisa wa kuangalia hizo Bandari kama Shangai, Singapore zimefanya nini hadi kuwa na ufanisi? Wachina, wasingapore wazungu wa Roterdam na Antwerp wamevanya fanya nini? Kulikuwa na Haja ya kumleta huyu katili Sheikh wa...
  13. comte

    JamiiForums Tanzania Mwenye mkataba kati ya JMT na Dubai kuhusu bandari atuwekee humu

    Maneno yamekuwa mengi ila sijafanikiwa kuona mtu anatuwekea huo mkataba tajwa humu au kokote ukiachilia mbali ya amakubaliano ya awali. Kwa aliyenao ingependeza akaupandisha hapa ili tuanzne uchambuzi wa kweli kweli
  14. Kitchener

    JamiiForums Tanzania DP WORLD wapewe ila turuhusiwe kuendezela bandari zingine

    tutagombana sana. ninakiri kuamini kwamba, tungeruhusu wachina kujenga bandari ya bagamoyo, ingepunguza mzigo mwingi sana unaopitia dubai toka china, ndio maana waarabu wanasema hatutaruhusiwa kuendeleza bandari zingine. ninashauri, hawa DP WORLD wapewe tu bandari waiendeleze, ila kipengele cha...
  15. comte

    JamiiForums Tanzania Kamati maalum ya TLS kuchunguza Mkataba wa uendeshaji bandari ya Dar

    BARAZA la Uongozi la Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) limeunda kamati maalum ya wataalamu kuchambua makubalino yaliyoainishwa katika mkataba wa uendeshaji bandari ya Dar es Salaam kati ya serikali ya Tanzania na Kampuni ya Dubai ya DP World. Rais wa TLS, Wakili Harold Sungusia amesema kamati...
  16. N

    JamiiForums Tanzania "Plasduce Mbossa: Hakuna Mkataba wa Miaka 100 katika Bandari ya Dar es Salaam"

    Plasduce Mbossa, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari, athibitisha kutokuwepo kwa mkataba wa miaka 100: "Upotoshaji ulioenezwa kuhusu mkataba wa miaka 100 ni wa kushtua, hakuna sehemu yoyote katika mkataba iliyotaja kipindi hicho kirefu. Watu wanaosambaza taarifa hizo walikuwa na...
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu (TPA): Mkataba hauna miaka 100, muda bado haujaamuliwa. Tumemchagua DP World kwakuwa tuna uhakika tutakwenda kutatua changamoto zetu

    Plasduce Mkeli Mbossa, Mkurugenzi Mkuu TPA Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Plasduce Mkeli Mbossa akiwa katika Clubhouse ya Msemaji Mkuu wa Serikali Juni 7, 2023. Ametoa ufafanuzi wa mambo mbalimbali kuhusu Mkataba wa Bandari ambao umezua mijadala mingi. Akioa...
  18. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Watanganyika wanaohitaji kwenda Dodoma tar 10.6.2023 kushuhudia bunge likipisha Mkataba wa Bandari tukutane hapa !

    Karibuni mikoa yote Tanzania bara. 1. Kundi la vijana wasio na ajira karibuni 2. Kundi na watumishi wa TPA 3. Kundi la vyama vya siasa na wasomi mbali mbali 3. Kundi la wafanyabiashara 4. Wananchi wote Tanganyika Karibuni Dodoma Bungeni tarehe 10.6.2023 bila kukosa
  19. mahindi hayaoti mjini

    JamiiForums Tanzania Wanaopinga bandari kubinafsishwa ni mafisadi wanaogopa mirija kuzibwa na kukatwa au ni wadini?

    Tunaenda kuongeza mapato, na kuongeza ufanisi kwa ujumla wake Sasa kupinga bila sababu za msingi na kukazania na uzushi tuuu hii inaleta ukakasi, Kama ni mapungufu si tuyarekebishe tu? Kwanini kumkataa mwarabu moja kwa moja? Angekuwa mzungu tungepinga?
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia: Bunge litajadili ushirikiano wa DP World na Bandari

    Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson amesema azimio la Bunge kuhusu kuridhia ushirikiano wa uendelezaji na uboreshaji wa utendaji wa bandari Tanzania, litawasilishwa bungeni Juni 10, 2023 kwa ajili ya kujadiliwa na kupitishwa na wabunge. Azimio hilo ni mapendekezo ya kuridhia makubaliano kati ya...
Back
Top Bottom