bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tangu 2012 napambana ila bado bado

    Tangu 2012 Nimekuwa Nikijaribu Kusimama Tena — Changamoto Niliyonayo Sasa Wakuu, nimeona leo niandike kitu ambacho kwa muda nimekuwa nikikifikiria sana. Mwaka 2012 nilifeli masomo. Tangu wakati huo nimepitia vipindi mbalimbali vya maisha—wakati mwingine nikiwa na matumaini, wakati mwingine...
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mumias Sugar Bado Iko Supermarket - Lakini Sukari Hii Inatoka Wapi?

    Mkenya mmoja ameibua maswali kuhusu Mumias Sugar inayopatikana katika baadhi ya supermarkets, akitaka kujua ni nani hasa anayezalisha sukari inayouzwa chini ya brand hiyo. Swali lake ni rahisi: Ikiwa sukari hii haikuzalishwa na Mumias Sugar, kwa nini packet inabeba jina la Mumias? Swali hilo...
  3. JamiiForums Tanzania Kuiunganisha Tanganyika na Zanzibar kwa udongo bado haitoshi, kuna la kufanya zaidi

    Ili kuwakatisha tamaa wale viherehere waisoutakia mema muungano wetu ipo haja ya dhati na thabiti ya kuona ni jinsi gani tutafanya ili muungano huu,tuupigilie msumari wa mwisho ili nia na akili za wale wachache wasioutakia mema muungano,nia zao za hovyo zisiweze kufikirika kwa namna yoyote ile...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini bado unatafuta ajira wakati tayari una biashara au umejiajiri ?

    Kwanini unatafuta ajira wakati tayari unafanya biashara au umejiajiri? Si mlisema ajira ni utumwa, na kujiajiri ndio uhuru? 🤔 Sasa wewe mhitimu umejiajiri, una biashara yako, boss ni wewe mwenyewe… lakini kila siku uko kwenye magroup ya ajira na JF kwenye jukwaa la ajira ukitafuta nafasi za...
  5. JamiiForums Tanzania Ethiopia wameingia 2019, nikienda kule nakuwa bado mtoto sana ki umri, msinizeeshe, ebhoooo!

    Unaambiwa Ethiopia ndio WAMEINGIA 2019, kama una 30 bongo ukienda Ethiopia unakua na 23 ebwana ehhh huko ndo pakwenda kula pensheni, mi kuanzia sasa ni muethiopia
  6. JamiiForums Tanzania Hivi kuna mtu bado anazipuuzia English medium schools?

    Tundu lissu Alisha wahi kulalamika, mawakili Fulani kingereza chao hakikua vizuri, mwingine akaenda mbali kumbe zile international case zinatubwaga huenda lugha, ukiona mzazi anatoa mamilioni fedha ana maana yake Mtu anataaluma ya habari, lakini hawezi kuhoji Kwa kingereza lakin huyu mtu ana...
  7. JamiiForums Tanzania Mshana Jr umeokoka au bado upo kwenye hii fani, kuna jambo nataka tumfanyie mtu mmoja humu ndani

    MSHANA JR UMEOKA AU BADO UPO KWENYE HII FANI,KUNA JAMBO NATAKA TUMFANYIE MTU MMOJA UMU NDANI Mtu wa vizinga secretarybird Tumfute alafu tumchole Tena Kisha tumueke na tutitiii sa 6 palipo bak tuachie masela kumsumbua full approach aloo 😂😂😂😂😂🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️ Niachen jaman msinikalipie NALUD...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Haki ya "AKWILINA AKWILINI" na maswali ambayo bado yananiumiza kichwa

    Kuna mambo ambayo jamii inaweza kuyasahau kadri muda unavyopita, lakini kuna maumivu ambayo hayawezi kufutwa kwa kupita kwa miaka. Kisa cha Binti Akwilina ni miongoni mwa mambo hayo. Leo nimeona mjadala huu ukirudi tena baada ya Bwana Heche kuzungumzia suala hili. Imenifanya nitafakari tena...
  9. JamiiForums Tanzania Suala la Mabasi bado linahitaji mjadala tusipelekeshane kama misukule, kuna hoja zinahitaji majibu.

    Kwakuwa ni mambo ambayo yako wazi sina sababu ya kutumia energy nyingi kuelezea vitu ambavyo havihitaji rocket science kuvielewa. Kwanza nitaanza na kero mbili za mabasi wamiliki wa mabasi wafanyiekazi. 1. Huduma zinazotangazwa za mabasi ya luxury coach hazipatikani kwa ukamilifu hasa Wi-Fi...
  10. JamiiForums Tanzania Watu wengi wanadhani bado DSM, ARS na MWZ ndio sehemu pekee zenye maisha ghali sana TZ, mnakosea, joto lisha sambaa kote, mikoani napo ni expensive

    Kama unapata fursa yako dar, we endelea kuishi dar, usidanganyike kurudi nyumbani Kuna sehemu nyingi hapa tanzania, kujenga nyumba ni ghali kuliko anaejenga dsm Nyumba na vyumba vya kupanga vimepanda wilayani huku, hakuna mtu mjinga ajenge nyumba ya kupangisha 30-60m+ alafu umpatie laki moja...
  11. JamiiForums Tanzania Mungu bado hajapiga panapouma, tunamuomba Mungu apige kwenye mshono. Wamalawi hilo ndio ombi letu

    Haya ndio maombi ya Wamalawi wengi. Aguse lile kinda maarufu la kiume, watu washerehekee. Na yeye aonje uchungu wa wale wamama zaidi ya 10'000 wa Lilongwe, Blantyre, Karonga na Muzuzu waliopotelewa na wapenzi wao kwa amri ya Kiranja Mkuu
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania Nchi ya Ajabu?, Pamoja na Fursa Zote za Kidigiti, Mpaka Leo Bado Hatuna Sheria ya E-Commerce?!. Usikute Ndio Maana Tunachelewa Sana Kuendelea

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe, Jumapili ya leo nikiishangaa jinsi nchi yangu Tanzania tulivyo nchi ya ajabu!, pamoja na fursa zote za kidigiti, na biashara ya mtandaoni, lakini mpaka leo bado sisi Tanzania, kama nchi, hatuna Sheria ya biashara mtandao, E-Commerce...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ama kweli tunatofautiana , Mfanyabiashara umehaso hatimae una bilioni 10, unaendelea kuhaso kumfurahisha nani ? wengine tukizipata tunastaafu mapema

    Ama kweli tunatofautiana. 😂 Kuna watu tayari wamevuka utajiri wa bilioni 10 zisizo na minyororo ya madeni, lakini bado haziwatoshi. Wengine tukizipata hizo bilioni 10 tu, tunastaafu mapema kabisa. Biashara zenyewe hizi kwetu wabongo kama mnavyojua ukishatangulia warithi wanachowaza ni kuziuza...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo mpaka Leo tarehe 4.9.24 Kuna watu Bado wanaenda chumvini?!!!!

    Nauliza tu Ili nijue wakuu. Hii itaniwezesha kushangaa ya ulimwengu maana nilijua hilo jambo limeshakuwa historia Sasa hivi.
  15. W

    JamiiForums Tanzania Wasanii walioitwa na Katambi leo wamesamehewa bado Anko T na Niffer ambao hawakufika

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Katambi amesema wasanii na watu maarufu waliotikia wito wa kwenda kwenye kikao nae wamesamehewa makosa mbalimbali waliyokuwa nayo huku Jeniffer Jovin na Twalibu Bakari Anko T kutosamehewa kutokana na kutofika katika kikao hicho. Katambi amesema hayo...
  16. JamiiForums Tanzania Hii nchi kuna mambo wewe unajua yamebaki stori lakini kumbe kuna maeneo ukienda unakuta watu wanayaishi bado!

    Mtandao na internet Kuna maeneo Bado watu wanajitega kwa ajili ya kupiga simu na kuingia internet Tigo na kujimwambafai kote Kuna maeneo Bado ni bilabila Barabara na uchukuzi Kuna maeneo Tanzania hii hii kipindi cha mvua wanakata muingiliano/mawasiliano ya kutoka na kuingia mpaka mvua...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa ngazi za chini wa Tanzania Forest Services (TFS), Kanda ya Magharibi tunateseka sana

    Mimi ni mtumishi wa Tanzania Forest Services (TFS), Kanda ya Magharibi, nikiwa katika ngazi ya chini kabisa ya kuanza utumishi. Nimeamua kueleza changamoto zinazotukabili baadhi ya watumishi katika eneo letu la kazi. Kuna hali ambayo inaonekana kuwepo ya kutokuwepo kwa usawa katika malipo ya...
  18. JamiiForums Tanzania KAZI BADO IPO TENA KUBWA KWELI KWELI

    1-Vijijini na hata mijini bado kuna watu hata hawajui kama nafasi ya makamu wa rais imefanyiwa mabadaliko 2-bora hata wazee na miranial wengi wao wanajua kuhusu hizi habari .....utafiti usio kuwa rasmi umeonyesha Gen z ndo kabisa hawajui kinachoondelea wao wanasema bora liende hao viongozi...
  19. JamiiForums Tanzania Baraza kuu la CHADEMA linapigwa chenga huku linalishwa na hela za donation na ununuzi wa Gali la Lissu ulipigwa chenga mwisho wa siku hela zikagongwa

    Kipi kinachozuia mkutano wa baraza kuu la CHADEMA ili hali mkutano utaendeshwa kwa Hela za donation mlizowatapeli wajinga? Warudishieni watu hela zao. Mnazugazuga mwisho wa siku hakuna mkutano ili hali mna hela za watu kama ilivyokuwa kwenye donation ya kununua gari la LISSU mlizugazuga mwisho...
  20. JamiiForums Tanzania Je Wajua Kuwa Licha ya Kujiuzulu na Kufukuzwa CCM, Mpaka Sasa Dr.Nchimbi Bado ni VP Mpaka Tar. 4 Sept?. Kufutwa Uanachama CCM, Hakuathiri Mafao Yake!

    Wanabodi, Wakati wengi wengi bado tumepigwa shock na bumbuwazi kwa kilichotokea haswa hii double tragedy ya VP. Balozi Dr. Emmanuel Nchimbi, hili ni bandiko la kuwaelimisha watu na kuwasisitiza tuwe na heshima kwa viongozi wetu, kwasababu licha ya kujiuzulu mwenyewe na kufukuzwa CCM kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…