babu

Babù real name Anderson Rodney de Oliveira (born 23 December 1980, in São Paulo) is a Brazilian football forward.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Babu nitetee

    Andiko hili linahusu ELIMU YA MAZINGIRA. Na hayo Ni mazungumzo baina ya wahusika wawili; Kao : Mzee shikamoo, Oka : Marhaba mjukuu, unaitwa nani?  Kao : Naitwa oka, naomba kuuliza mzee wangu, Oka : Uliza tu Mjukuu. Kao : Tupo wawili tu hapa maana sioni wengine wakufanana na sisi? Oka : Mjukuu...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa dunia ya leo na ijayo, malezi ya babu na bibi hayana tija kwa future ya mtoto

    Ni ukweli usiosemwa! Wazee wetu ambao tumekuwa tukiaminishwa kuwa ni visima vya hekima na busara, kwamba tuwasikilize na kujifunza kwao. Kiuhalisia hawana mchango wowote kwenye dunia ya leo ya sayansi na teknolojia. Malezi yao hujikita kwenye kile wanachokiita maadili na mila, na kwa wachache...
  3. JamiiForums Tanzania Tabia ya wazazi kutelekeza watoto kwa babu, bibi yashika kasi Mkoani Njombe

    Tabia ya Watoto kutelekezwa kwa babu na bibi bila kujaliwa na wazazi wao imeonekana kushamiri Mkoani Njombe. Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto, Willfred Willa anasema watoto wengi wanaopata madhara ni wale ambao wanalelewa na bibi na babu zao huku wazazi wengi wakiwa na migogoro, majukumu...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Bungeni ni lazima kila mbunge achangie hoja? Babu Tale anatia aibu Sana

    2020 kulikuwa na uchaguzi mkuu (hapana, uchafuzi mkuu ) uliowaingiza bungeni watu wasiofaa kuwa hata mabalozi wa nyumba kumi. Hawatambui hadhi yao, Hawatambui majukumu yao, Hawajui chochote. Miongoni mwa watu hao ni Babu Tale. Akisimama bungeni ili atoe mchango wake mimi huwa naanza kuona...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Biden wa Marekani adondoka akiendesha baiskeli, anamuiga Rais Putin

    Huyu ni Biden alidondoka akiwa anaendesha baiskeli Huyu ni jemedari Putin akiendesha farasi
  6. JamiiForums Tanzania Kwa hoja za Babu Tale bungeni, ninakiri kuna ulazima wa marekebisho ya Katiba kwa sifa za mtu kuwa Mbunge

    Ninawasalimu kwa jina la Chama Pendwa CCM. Ninaandika nikiwa nina hasira kali sana dhidi ya mbunge aitwae Babu Tale kutokana na hoja zake zilizokosa weledi huko bungeni wakati akichangia bajeti ya wizara inayohusika na sanaa. Huyu babu kwa kukosa weledi alitaja majina ya wasanii katika hali...
  7. JamiiForums Tanzania Kwako Babu Mpendwa 💕

    Leo ni Alhamisi alfajiri... Nikiwa na akili zangu timamu, natumia safu hii kuutarifu uma wa JF kuwa.... Kasinde ni chombo halali ya Babu kuanzia mwezi Mei 2022. Baada ya hicho kibwagizo sasa acha niendelee na salamu zangu kwa Babu. Babu.... Kwanza kabisa nakupenda, najua wajua hilo...
  8. JamiiForums Tanzania Babu zetu waliwakataza wanawake kula mayai na nyama wakiwa na mimba kuzuia mtoto kuwa mkubwa, wengi wamekiuka hujifungua kwa upasuaji

    Wahenga zetu kwa namna moja au nyingine walikuwa na akili sana. Zamani haya mambo ya upasuaji yalikuwa bado sana na mtoto alikuwa anazaliwa nyumbani kwa msaada wa wakunga ila kazi ya kumtoa mtoto kwa kiasi kikubwa ilikuwa kwa mwanamke kumsukuma mtoto atoke, hakukuwa na shortcut ya upasuaji kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Wadau wa burudani yupo wapi Mc Babu Ayubu

    Wadau wa burudani nadhani mnamkumbuka uyu mtu nimesikiaa wimbo wa kikao cha dharula wa prof jay nikakumbuka hiki kipaji kilichojizolea umarufu kwa kuiga sauti za watu mashuhuri mbali mbali hapa mjini hasa sauti ya mzee wetu afande tibaigana Kajificha wapi uyu mtanzania mwenzetu.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kama hii ni Mvua ya Babu tumuombeni aipunguze, ila kama ni ya Mungu basi Magodoro ya Kunyonya Maji kwa Mkapa Kesho yatayarishwe

    Msichukulie mzaha kwa hiki nilichokiandika hapa tafadhali bali naomba kichukuliwe Kiumakini mno kwani wengine Kuona mbali ni Tunu ( Shani ) tuliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu. Yasije yakatokea yale ya Ismailia Dar.
  11. JamiiForums Tanzania Changamoto za kupata mtoto mchanga ukiwa umri wa kustaafu, unakuwa ni Baba Babu. Dawa ni kujipanga kabla, vinginevyo ni kubebesha watu mizigo yako

    Leo Ijumaa ya Tarehe 8 April, ni siku yangu ya kuzaliwa, nikiwa nimeipiga mingi nikikaribia 60! ambao ndio umri rasmi wa kustaafu, nikiwa tayari ni father of 8 +1= 9, Grand Pa of 6, and about to retire!. Sababu ya makala hii ya leo sio kusherehekea siku yangu ya kuzaliwa, bali kutoa mbinu za...
  12. JamiiForums Tanzania Pande za moshi: Yule babu muhindi muuza juisi bado yupo?

    Habari za pande zote. Naomba kuuliza watu wa kipande hiyo(mo-town) Yule babu muhindi pale dabo rodi alikuwa anauza juisi bado yupo?? Nilikuwa nikipita mitaa hiyo lazma niende kunywa juisi pale zilikuwa tamm sana. Nilikuwa napenda ukifika pale ukataka juisi,basi anafungua friji anatoka na...
  13. JamiiForums Tanzania Tuliokulia vijijini tukafanikiwa kusoma soma kisha babu au bibi zetu wakatuasa tusipendelee kurudi vijijini tukutane hapa

    Kama unavyojua buana, ukizaliwa kijijini enzi hizo, ni shida sana kufaulu kwenda Sekondari miaka hiyo ya 2000 mwanzoni mwanzoni maana enzi hizo shule za kata zilikuwa bado hazijaanza. Sasa ukifanikiwa kufaulu lazima kijiji kizima kijue. Mungu ni mwema buana, akatujalia na akina sisi wa...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Ukiwasikiliza wasanii wanataka watu kama Babu Tale, Salam n.k kwenye shirikisho

    Niwapongeze wasanii wachache wenye upeo wa kutambua kuwa wao wanafanya kazi za sanaa lakini wanahitaji watu makini wa kusimamia shughuli zao. watu ambao watawaletea mabadiriko ya kimaendeleo. Wapo wasanii wachache wenye upeo wanaotaka kutafuta watu wa ku " compliment" madhaifu nayo na...
  15. JamiiForums Tanzania Kikosi Kazi: Tanzania ianze mchakato wa kupata Katiba Mpya baada ya Uchaguzi Mkuu 2025

    Kikosi kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa kilichoundwa na Rais Samia Suluhu leo kinawasilisha taarifa ya yake na mapendezo kwa Rais Ikulu, Dar es Salaam. Kikosi kazi chini ya mwenyekiti wake, Rewakaza Mkandala kimependekeza Tanzania ianze mchakato wa kupata...
  16. JamiiForums Tanzania Mbeya: Babu wa miaka 60 atupwa jela miaka 30 baada ya kukutwa na bangi

    AFUNGWA JELA MIAKA 30 KWA KOSA LA KUPATIKANA NA MICHE YA BANGI Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limefanikiwa kumkamata mtuhumiwa ANOSISYE AMOS MWAKITEGA [60] Mkazi wa Kyimo halmashauri ya Rungwe Mkoa wa Mbeya kwa kosa la kupatikana na miche ya bhangi 192 kinyume na kifungu cha sheria namba 11 (1)...
  17. JamiiForums Tanzania Babu zake na mwanamuziki Prince Dully sykes

    Picha hapo chini: kutoka kulia ni abdhullwahid Sykes na mdogo wake ally Kleist Sykes, wamevaa gwanda za kijeshi za king's African rifles, waliposhiki vita vya pili vya Dunia. Na hawa ndio waanzilishi wa TANU
  18. JamiiForums Tanzania Fatma Karume, Karibu nyumbani kwenye Chama cha Baba na Babu yako. Huu ndio wakati wenyewe

    Kazi ambayo tulikutuma uifanye kwa asilimia kubwa umeifanikisha. Ni wakati wa kurudi home kabla hujachafuliwa na hao wenye wazimu na chuki. Tunajua kuna wakati unatamani waendelee kuamini kuwa una fanya harakati nao lakini dhamira ya moyoni inakushinda. Unajikuta unaandika au kuzungumza...
  19. JamiiForums Tanzania Babu akasema: Pesa ina maadui wawili mjukuu wangu

    BABU AKASEMA; PESA INAMAADUI WAWILI, JE WAWAJUA? Anaandika , Robert Heriel. © Maandishi ya Robert Heriel Kwa lugha ya Kiswahili. TAIKON Anawasilisha. " Upepo unapotoka hatuuoni na wala unakoelekea hatupajui, ndivyo ninyi Vijana wa Zama hizi mlivyo, mmejigeuza upepo, hamtaki kujua wapi...
  20. JamiiForums Tanzania Watoto wetu wa Siku hizi 'mnapotupiga' Wazazi wenu Pesa kwa 'Kutudanganya' msidhani huwa hatujui ila tunakausha kwakuwa nasi 'tuliwapiga' Babu zenu

    Na kama tukiamua 'Kuwakazia' tutaishia Kuwachapeni sana 'Bakora' na huenda hata hizi Pesa zenyewe tusiwe tunawapeni vile vile na hakuna cha Kutufanya. Haiingii Akilini Mtoto umeenda Kumtembelea Wiki Mbili tu zimepita Leo hii anakupigia Simu na Kukuambia sijui kaishiwa Vitabu mara sijui kaibiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…