baba

A rum baba or baba au rhum is a small yeast cake saturated in syrup made with hard liquor, usually rum, and sometimes filled with whipped cream or pastry cream. It is most typically made in individual servings (about a 5 cm tall, slightly tapered cylinder) but sometimes can be made in larger forms similar to those used for Bundt cakes.
The batter for baba includes eggs, milk and butter.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Binti mtoro wa shule baba yake alimfunza funzo wala si kwa fimbo

    Huyu binti ni mtoro wa shule, baba yake ilibidi awe ana mburuza shuleni. Siku hii baba akiwa amechoka aliamua kuvaa gauni la mkewe na kumpeleka mtoto shuleni. Mtoto akilia kwa fedheha aliyoifanya baba yake. Baba alimwambia alirudia tena utoro tukio hili litajirudia.
  2. JamiiForums Tanzania Baba abaka mwanaye wa umri wa miaka 11 mkoani Manyara

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara limesema linamtafuta mkazi wa Kata ya Magugu wilayani Babati, Frednand Yohana ambaye anatuhumiwa kumbaka mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka 11. Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo, Benjamin Kuzaga ameyasema hayo leo Jumatatu Desemba 13, 2021 mjini Babati wakati...
  3. JamiiForums Tanzania "Wakati wa Baba na Wakati wa Mama"

    Imeandikwa unapokuwa na Warumi (Waroma), ishi na endana na tabia za Warumi. Lakini pia imesemwa yeye apendaye amani wakati wa vita basi dalili zi wazi kuwa atakufa au kujeruhiwa mapema. Kuna wale ambao leo wamebatizwa jina la "wahuni" ambao pengine hawakuwa wakionekana kuwa "wahuni" wakati wa...
  4. JamiiForums Tanzania Ni wakati wa WanaCCM kuwakataa wahuni wanaoleta matabaka ndani ya Chama

    Kwa wana CCM wasio na “baba walezi” kataeni matabaka kwenye Chama chetu maana ndio msingi wa Usawa wa Binadamu ambayo ni Imani ya Kwanza ya Chama chetu na wanachama. Matabaka ni mbinu moja ya wahuni kukidhoofisha Chama chetu kwa maslahi yao, tuikatae tabia hiyo #kataawahuni.
  5. JamiiForums Tanzania Dunia tambara bovu, sugar daddy wa enzi za chuo anapokua baba mkwe

    Haya mambo hutokea hasa kwa wadada wanaopenda mambo makubwa kuliko uwezo wao. Dada yuko chuo anataka kwenda shopping Dubai, kuendesha gari japo hata iwe IST, aishi kwenye apartment na iPhone 13 pro. Hapa duniani kuna wazee wana pesa hawajui la kuifanyia. Kumtimizia binti yote haya ni madogo...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akiwa na kitukuu cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere

    SSH amemtembelea Mama Maria Nyerere leo nyumbani kwake leo December 6,2021
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dar needs 25 years to catch up with Nairobi - Says Baba Levo

    Sio mimi niliyesema bali Mtanzania aliyetembelea na kuishi miji yote miwili. https://www.tuko.co.ke/entertainment/celebrities/435788-diamond-platnumzs-signee-baba-levo-dar-es-salaam-25-years-nairobi-development/ Kwa doubting Thomases. Video ndio hii.............
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba amshtaki Mtoto wake akitaka akatwe 20% ya mshahara na apewe yeye ili kutunza familia

    Mzee Gideon Kisira Cherowo (73) Mkazi wa Birunda nchini Kenya amemfungulia kesi Mtoto wake aitwaye Washington Chepkombe akitaka akatwe asilimia 20 ya mshahara wake ili apewe Mzee huyo kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya Familia kwakuwa Mtoto wake huyo hampi msaada licha ya kuwa na kazi nzuri na...
  9. JamiiForums Tanzania Natabiri miaka 50 ijayo watoto wengi hawatawapenda Mama zao. Upendo utarudi Kwa Baba

    Bila Shaka muwazima! Kama kichwa kinavyoeleza hapo. Natabiri miaka 50 ijayo wamama wengi watachukiwa na watoto wao wa kuwazaa. Ule upendo wa mtoto Kwa mama utafutika. Chuki itatawala. Upendo watauhamishia Kwa Baba zao ambao hata hivyo Kwa bahati mbaya hawatakuwa Baba wazazi isipokuwa Baba...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa mwajiri kutoa mkono wa pole(rambirambi) kwa mtumishi wa serikali baada ya kufiwa na mama au baba upoje?

    Viongozi naombeni kujua utaratibu wa kupatia pole(rambirambi) na mwajiri(serikali) baada ya kufiwa na mzazi. Na kama upo huwa ni shilingi ngapi? Documents zipi zinahitajika ili mtumishi aweze kulipwa? Naombeni msaada viongozi.
  11. JamiiForums Tanzania Baba mzazi wa Diamond Platnumz Mzee Abdul Juma ametoa wito kwa mwanawe kuelewana na Harmonize

    Baba mzazi ya Diamond Platnumz, Mzee Abdul Juma ametoa wito kwa mwanawe kuelewana na mwenzake wa zamani Rajab Abdul Kahali almaarufu kama Harmonize. Alipokuwa kwenye mahojiano na Mbengo TV hivi majuzi, mzee Abdul alimsihi Diamond ashiriki kikao na Harmonize wazungumzie tofauti zao na...
  12. JamiiForums Tanzania Wakina Mama kuweni makini na kuchangia simu zenu na Binti zenu, akina Baba kuweni na utu

    Nilikuwa sehemu kwa mafundi umeme wa magari Kinondoni, nimesikitika kumsikia baba mmoja akimsimulia rafiki yake kuwa anatembea na mama mmoja wa binti waliyeshindana kimahusiano in other words amechanganya mama na mwana kimapenzi. Kisa ni kwamba siku moja binti alimpigia simu mwanaume wake kwa...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Napendekeza iundwe Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Hayati Magufuli

    Habari Watanzania, lengo langu la kuanzisha huu uzi si kwa nia mbaya ila nikutaka tu kumaliza Maswali ya Watanzania wengi wanaoshuku kuwa Hayati Magufuli kafanyiwa hujuma. Baada ya kuona mambo mengi yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii na mitaani, ni wazi kabisa baadhi ya watanzania walio...
  14. JamiiForums Tanzania Jacqueline Wolper: Naapa kutokumuacha salama Baba P endapo atazingua

    Staa wa filamu Bongo Jacqueline Wolper anasema hawezi kumuacha salama mpenzi wake Rich Mitindo 'Baba P' kama atamuumiza na kumpiga matukio kwenye mahusiano. Jacqueline Wolper ameongeza kusema endapo Rich Mitindo akimzingua hataweza kumvumilia, atatoa taarifa kwa kinachoendelea kupitia akaunti...
  15. JamiiForums Tanzania Mapenzi: Dogo katendwa na Baba Mkwe, anahitaji msaada wa kisaikolojia zaidi kuliko Vitisho vya Polisi

    Siku zote natamani sana sana nchi yetu ingekua na vitengo vya wanasihi, sio kila kitu kinahitaji polisi na kutumia nguvu. Mfaano mzuri ni huyu kijana ambaye kwa majibu wake ni kwamba Baba mkwe kavunja ndoa yake iliyodumu tangu 2012-2021. Miaka Tisa ya mahusiano si michache. Katika kutafuta...
  16. JamiiForums Tanzania Mufti sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua

    Kiongozi mkuu wa waislamu Mufti Sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua yenye heri kuanzia kesho Alhamisi. Maaskofu wakristo naona wanashindana tu kuvaa barakoa hawaitishi maombi kulikoni?
  17. M

    JamiiForums Tanzania CCM ya Baba na Mama kumbukeni hili

    Wakuu, Tusameheane tu nimekulia nyumba ambayo baba, Mama, Bibi na Babu wote kwa ujumla na rejareja ni CCM. Ukweli mchungu CCM HAIJADHAMIRIA kutuletea maendeleo ya kweli watu wa kusini, ukiangalia nguvu inayotumika awamu hii kuwekeza Kanda Kanda ya ziwa na kaskazini ni dhahiri mmetuona watu wa...
  18. JamiiForums Tanzania Baba enzi zake alikuwa na mikwara

    Hapa alikuwa Mbeya, kuna jamaa kapanda juu ya gari kuhakikisha baba yuko salama! Baba tumemiss sana hizi swaga, wengine wakisema hao jamaa zetu ni wakutoka kwa jirani yako Tolu
  19. JamiiForums Tanzania Baba tafuta muda uwe unakaa na mtoto/watoto wako

    Mawasalimu kwa jina la JMT. Nalishuhudia hili jambo. Kumbuka ewe baba umri unaenda itafika kipindi hauna nguvu za kufanya kazi, utakuwa umestaafu na utakuta haukujenga ukaribu na wanao. Watoto ni faraja ya uzeeni kaa nae vizuri. Tunajua Majukumu ya baba ni kutafuta riziki ya familia lakin...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Mama bila Baba asingeitwa mama

    Wakuu habari natumai muwazuma wa afya Nimekuta hii kitu inataka kutake over kila sehemu kila siku eti mama ni mama jaman sote tunajua mama bila baba asingeitwa mama. Ila nakuta siku hizi mama amekua special kuliko baba wakati wote wanaumuhim. Baba naye anaumuhimu wake sio mama tu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…