baba

A rum baba or baba au rhum is a small yeast cake saturated in syrup made with hard liquor, usually rum, and sometimes filled with whipped cream or pastry cream. It is most typically made in individual servings (about a 5 cm tall, slightly tapered cylinder) but sometimes can be made in larger forms similar to those used for Bundt cakes.
The batter for baba includes eggs, milk and butter.

View More On Wikipedia.org
  1. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka Luteni Urio anaenda kuharibu ushahidi dhidi ya Mbowe na wenzake 3. Fact hizi hapa

    1. Wakati akitoa ushahidi wake wote Mara kadhaa wakili aliyemuongoza alisita kuendelea kumuuliza na kuanza kuteta chini kwa chini ikionesha Kuna majibu Alitoa nje ya matarajio yao. 2. Kucheleweshwa ushaidi wake kwa siku moja ama kulikuwa na mashaka juu ya ushaidi wake kutoka kwa mawakili wa...
  2. Fall Army Worm

    JamiiForums Tanzania Baba Tunakukumbuka

    Ni usiku wa manane, na ndoto inanijia, Leo hii jumanne, ndio imenitokea, Katika kiza kinene, na wewe umenijia, Baba tunakukumbuka,ulale pema peponi, Ni mengi tumeongea, nilipokuwa ndotoni, Pia ukatuusia, ya kufaa maishani, Nami nikafurahia, pasi jua ni ndotoni, Baba tunakukumbuka, ulale pema...
  3. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Walter Elias Disney: Baba wa filamu za animation na mwanzilishi wa kampuni maarufu duniani ya 'Disney'

    Walter Elias Disney Alizaliwa Chicago 1901, Disney alianza mapema sana kuvutiwa na maswala ya uchoraji. Aliingia kwenye madarasa ya sanaa ya michoro waksti wa utoto wake na alipotimiza miaka 18 alifanikiwa kupata kazi aliyokuwa kama commercial illustrator. Alihamia California mapema miaka ya...
  4. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Baba mzazi wa Askari Polisi anayedaiwa kujinyonga Mtwara adai kutoridhishwa na taarifa ya mwanae kujiua

    Akiongea na Azam News, Baba mzazi wa askari aliyejinyonga anasema hajaridhishwa na taarifa za kifo cha mwanae! Anasema alipigiwa simu na kuambiwa mwanao tumpeleke akazikwe wapi? Akawaambia mleteni nyumbani kwangu Tabata, Dar Ea Salaam. Pia soma Mtwara: Askari Polisi mmoja kati watuhumiwa wa...
  5. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume, Karibu nyumbani kwenye Chama cha Baba na Babu yako. Huu ndio wakati wenyewe

    Kazi ambayo tulikutuma uifanye kwa asilimia kubwa umeifanikisha. Ni wakati wa kurudi home kabla hujachafuliwa na hao wenye wazimu na chuki. Tunajua kuna wakati unatamani waendelee kuamini kuwa una fanya harakati nao lakini dhamira ya moyoni inakushinda. Unajikuta unaandika au kuzungumza...
  6. anonymous_blue

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa baba kumnunulia mtoto wake wa kike PEDI?

    Jamani naombeni msaada juu ya hili swali. Baba mzazi kumnunulia binti wake pedi hii imekaa sawa kweli?
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mtoto ana haki ya kujua asili yake. Wamama msiwafiche Watoto Baba zao

    MTOTO ANAHAKI YA KUIJUA ASILI YAKE. Anaandika Robert Heriel. Hakuna sababu yoyote inayozuia na kumnyima Haki mtoto kuijua Asili yake. Mtoto lazima amjue Baba yake mzazi, Mtoto lazima ajulishwe mama yake Mzazi. Hiyo ni Haki ya Mtoto. Mtu ili ajitambue lazima atambue asili yake. Mtu ambaye...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Baba anataka kunidhulumu Nyumba yangu. Kesi bado inanguruma Mahakamani

    BABA ANATAKA KUNIDHULUMU NYUMBA YANGU. KESI BADO INAENDELEA MAHAKAMANI. Anaandika Robert Heriel. Namheshimu Kama Baba yangu, ni mzazi wangu. Nilikuwa nampenda lakini sasa naona chuki inamea nafsini mwangu. Kisa Mimi mtoto wake ndio anikandamize, anidhulumu Mali yangu. Ananinyang'anya Nyumba...
  9. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Wanasheria nisaidieni, Baba Mzazi anazidi kuuza mali

    Habarini za asubuhi, naomba niende moja kwa moja kwenye mada baada ya baba angu kuuza nyumba yake ya kwanza week 3 zilizopita na kubakisha nyumba moja maeneo ya huku Sinza Mori ambayo ndio tunakaa sasa hivi nayo anataka kuuza, wakati bado watoto wake sisi bado tupo hai tena ususani mtoto wake...
  10. Chris wood

    JamiiForums Tanzania Nifanyaje naona aibu, anamlazimisha mtoto wake aniite baba

    Msaada wa haraka unahitajika wakuu, Nifanyaje kuzuia hii hali. Hapa nilipopanga kuna Mwanamke nilimkuta anaishi. First time nilijua labda ni mwanafunzi maana umri wake unachezea 18~19 , Ila baada ya muda nilikuja gundua anamtoto umri unachezea kama mwaka na miezi 8. Shida ilipoanzia kuna siku...
  11. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Kata wanashirikiana na baba yangu mzazi kuninyima haki yangu ya mali

    Habarini ndugu zangu, pole na majukumu ya hapa na pale niende moja kwa moja kwenye maada usika, mimi ni Kijana mwenye umri wa miaka 42 (nimetimiza mwaka huu mwezi wa 1, tarehe 6 nashukuru Mungu nimeona mwaka na kuongeza mwaka), Yapata week 3 sasa tangu nilete uzi wangu hapa kuwa baba yangu...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Simanjiro: Mwanaume wa miaka 30 amuoa kwa nguvu binti wa miaka 14 kwa ridhaa ya baba

    Na John Walter-Manyara Jeshi la Polisi mkoani hapa linamshikilia Mwanaume mmoja mkazi wa kijiji cha Loswaki wilaya ya Simanjiro aliyejulikana kwa jina Lalahe Karoli (30) kwa tuhuma za kumtorosha na kwenda kuishi kinyumba na mtoto mwenye umri wa Miaka 14 kwa ridhaa ya Baba wa Mtoto. Kamanda wa...
  13. Poker

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Happy birthday baba Raila Odinga

    Mataga mjifunze kupitia siasa za kenya!
  14. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Baba alimuamini Mama?

    Ni maneno ya Bibi mmoja kwenye daladala~ alikuwa muuza mboga kwasasa ameacha. Wakati baba yupo inamaana mama alikuwa anaishi kwa kuigiza au mama alikuwa anaskilizia. Baba mama anageuka, amini siku zote tabia ya mama iliyojificha hutambulika baba akiwa hayupo. Hivi kwanini rasilimari zinaondoka...
  15. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Msaada: Baba yangu mzazi ameuza nyumba yake na hataki kunipatia pesa japo kidogo

    Habari zenu ndugu zangu, naombeni ushauri wenu kwenye ili naamini uku jukwaani kuna wenye ushauri bora zaidi na wenye experince na mambo mbalimbali, mimi ni kijana wa umri wa miaka 41, kwetu tumezaliwa 4 ila kwa sasa tumebaki 3 baada ya mmoja bahati mbaya kufariki miaka 6 iliyo pita, mimi ni...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Hongera Baba Askofu Shao wa Kanisa Katoliki Zanzibar

    Kiongozi wa dini ni kiungo cha jamii. Hapaswi kuwa mrengo wa kulia au kushoto (katika kujenga jamii moja). Hivyo ni muhimu mno kwa kiongozi wa dini atumie vema ulimi wake ili mwisho wa siku utoe matunda ya umoja, amani, utulivu, usalama na upendo katika jamii. Ndivyo alivyofanya Baba Askofu...
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Krismasi ni sikukuu ya wote, tutoe kwa wengine na tushereheke pamoja. Merry X-Mas!

    Wanabodi, Hizi ni salamu zangu za Makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa kwa ajili ya Krisimasi kwa Wanabodi wetu. Merry Christmas And Happy New Year!. Japo makala hizi ni za lugha yetu adhimu ya Kiswahili, kwa vile kesho ni sikukuu ya Krisimasi ni sikukuu ya kutoa, ili kuwezesha na wengine...
  18. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Askofu Dr. Stefano Moshi, mtoto wake Eng. Zebedayo Moshi ateuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini ya KKKT

    Sasa nirudi kwenye mada. Kumekuwa na kupeana nafasi kwa watoto wa maaskofu huko Dayosisi ya kaskazini , nafasi kubwa za kikazi ,kanisa limejenga ngome ambayo watoto wa waumini wengine ambao baba zao sio maaskofu nafasi hutapewa na nafasi za kaxi hazitangazwi. Mifano ni mingi ila nieleze...
  19. Jerry santonga

    JamiiForums Tanzania Hajui baba wa mtoto ni nani! Je, ni kweli?

    Habari za muda huu wajumbe? Je ni kweli mwanamke anashindwa kujua baba wa mtoto? Ashtukie mimba ina miezi mitano?? Kweli au kuna upigaji wa wazi wazi... Je inawezekana kabisa usimjue baba wa mtoto kati ya mtu mbili ulizotembea nazo? Wa kwanza kakataa wa pili hana taarifa. Hawa watoto wetu wa...
  20. Pastory Kimaryo

    JamiiForums Tanzania Jeff Bezos akiwa mdogo alikataliwa na baba yake mzazi na akamrithisha kwa baba mwinginekisheria" leo ndiye tajiri namba moja duniani

    Imeandikwa na Ngusa john kutoka Facebook Ted Jorgensen, alipokuwa na umri wa miaka 17, alikutana na binti mrembo aliyekuwa akisoma naye shule moja, Jackyn Gise, aliyekuwa na umri wa miaka 16. Wakapendana. Wakaanza safari ya mapenzi. Jacklyn akanasa ujauzito. Wakati Jacklyn anashika mimba...
Back
Top Bottom