Habaini ndugu zangu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 42, kama mnakumbuka nilileta mkasa ulio nitokea mwezi ulio pita kuhusu mzee wangu baada ya kuuza nyumba yake kwa shilingi milion 165 amegoma kabisa kunipa mgao mimi mtoto wake, baada ya kugoma nikafata utaratibu wa kisheria kumfikisha...