baba

A rum baba or baba au rhum is a small yeast cake saturated in syrup made with hard liquor, usually rum, and sometimes filled with whipped cream or pastry cream. It is most typically made in individual servings (about a 5 cm tall, slightly tapered cylinder) but sometimes can be made in larger forms similar to those used for Bundt cakes.
The batter for baba includes eggs, milk and butter.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Familia isiyokuwa na mwanaume (baba) huwa inapwaya.

    Mwanaume ni kiongozi wa familia, hii ni kutokana na asili ya uumbaji. Kuna kipindi, mwanamke lazima amtegemee mwanaume, iwe ni kwenye kufikiria au kutoa maamuzi. Kwa wale ambao hawaishi na wanaume, wanalijua vizuri gepu lililopo hasa pale mwanaume asipokuwa katika maisha yao. Ndio maana...
  2. JamiiForums Tanzania Serengeti: Tabitha Mwise asimulia jinsi Polisi walivyovamia nyumbani na kuvuliwa nguo mbele ya baba yake na kulazimisha afanye naye Mapenzi

    Binti asimulia polisi alivyomvua nguo mbele ya baba yake Serengeti By Beldina Nyakeke Tabitha Mwise (22), binti wa Mwise Simon (54), mmoja wa watu watatu waliouwawa kwa kupigwa risasi na polisi wilayani Serengeti kwa tuhuma za ujambazi amesimulia tukio la polisi kuvamia nyumbani kwao kumtia...
  3. JamiiForums Tanzania Diamond na baba Levo kweli wametoka mbali si kwa mavazi haya

    🤣🤣🤣🤣🤣Sitii neno lolote hapa
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunayo ya kujifunza kwa Raila, baba wa demokrasia Kenya

    Kenya ni taifa katika mazingira halisi tuliyomo sisi. Hata hivyo taifa hili limepiga hatua kubwa sana kidemokrasia zenye kustahili kupigiwa mfano. Hizi tantarira za eti kuwa IEBC ni sawa tu na NEC yetu, kwamba ya Kenya tuwaachie wakenya wenyewe, nk nk, zote ni kelele za vyura tu. Nia na...
  5. JamiiForums Tanzania Dimpoz afunguka mazito kuhusu kumkana Baba yake

    Mwimbaji Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ amefunguka mengi kuhusu baba yake mzazi anayefahamika kwa jina la Mzee Omary Nyembo baada ya baadhi ya mashabiki zake kumbebesha lawama kuwa hamjali mzee wake huyo. Hayo yaliibuka juzi baada ya mzee huyo kuhojiwa na Kituo cha Clouds akiwa Sumbawanga akieleza...
  6. JamiiForums Tanzania Ommy Dimpoz amkana baba yake

    Ommy Dimpoz ameachia ujumbe baada ya baba yake kutengeneza headlines mitandaoni. Mwishoni mwa video ameeleza wazi baba yake hakumjali hivyo hana sababu ya kumfahamu kama baba ingawa anamheshimu. Full story ipo hapa:
  7. JamiiForums Tanzania Kwa hili la Ommy Dimpoz na Babake wee uliye biological mother/father ukimkataa/kumtelekeza mtoto wako ujue umemuumiza sana kisaikolojia na makuzi yake

    Mwenyewe Ommy anmeweka wazi kwamba anamheshimu baba yake lakini hana ukaribu nae Ila wanaume buana, yaani alijua kabisa amezaa, kwa hiari yake akamtelekeza mtoto, ila sasa kafanikiwa anamuombea asaidie wengine👀👀👀👀 Sijui kama Ommy angekua maskini, teja, mgonjwa asiyejiweza, au mlemavu huyu...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mwalimu aua mke na watoto wawili, naye ajiua kwa kunywa sumu

    Kitongoji cha kibumbe, kata ya Kiwira wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya mke, mume na watoto wawili wakutwa wamefariki ndani ya nyumba na miili yao ikiwa imeharibika. Mdogo wa marehemu (mke) kutoka Mbeya Mjini alisema zaidi ya wiki moja alikosa mawasiliano na familia hiyo ambao wote ni walimu, hivyo...
  9. JamiiForums Tanzania SoC02 Msimseme marehemu baba yenu

    Baada ya siku chache kupita toka kutokee kifo cha mzee Madodoso nimeamua kutembelea familia ya Mzee huyo ili niweze kuwafariji wafiwa na kuomboleza kwa pamoja Kwakuwa wamepoteza kichwa cha familia. Picha kutoka mtandaoni Ni wazi inafahamika kuwa familia yoyote inapopoteza kichwa cha familia...
  10. JamiiForums Tanzania Aliyejaribu kumhonga baba mtu baada ya kumpa mimba binti yake, akana kosa hilo mahakamani

    Mchimbaji wa madini ya Tanzanite wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Erick Peter (39) amefikishwa kwenye mahakama ya hakimu mkazi Simanjiro na kusomewa shitaka la kumpa mimba mwanafunzi wa shule ya sekondari Tanzanite. Peter amesomewa shitaka hilo na mwendesha mashitaka...
  11. JamiiForums Tanzania Baba mkwe Shahidi wa Yehova kakataa mahari ya pesa, anataka apelekewe magovi matano ya watu wazima

    Ukiusikia usemi wa watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa basi sasa ndio amini kuwa usemi huo upo na unafanya kazi. Jumapili iliyopita nilimsindikiza mpwa wangu ( mtoto wa dada yangu yangu) kwenda kujitambulisha na kupangiwa mahari huko kijijini kwa binti (Bibi harusi mtarajiwa) Kwa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Asante baba, RIP Magufuli

    Naanza kwa kusema mimi ni kijana mdogo pro. CCM chama Mama Tanzania, wengine wanavuma kwa msimu kwa kupokezana wanaondoka. Kitaasisi nakiona chama changu kikitawala miaka mia kadhaa mbele. Acha tu niseme ukweli baada ya kusoma sana elimu dunia hasa ya Mashariki hususani China na Japan...
  13. JamiiForums Tanzania Wanawake, kama huwezi mtunza mtoto pelekeni kwa Baba zao. Msisumbue watu kwa upuuzi wenu

    WANAWAKE KAMA HUWEZI KUMTUNZA MTOTO PELEKENI KWA BABA ZAO. MSISUMBUE WATU KWA UPUUZI WENU! Anaandika, Robert Heriel Unang'ang'ania kuishi na mtoto alafu huna uwezo wa kumtunza huo si upuuzi. Kama huwezi kumtunza Mtoto na unapenda kuishi naye basi kuwa na adabu, kuwa humble Kwa Baba WA mtoto...
  14. JamiiForums Tanzania Afrika ni ngumu mtoto wa maskini kuendeleza kipaji chake kwa support kutoka kwa baba yake

    Kipaji ni zawadi iliyopo ndani yako ambayo mungu mwenyewe kakupa kujua una kipaji gani hilo ni jukumu lako wewe mwenyewe tena. Lakini kiafrika afrika ni ngumu sana kipaji cha mtoto kuendelezwa na kupata support kutoka kwenye familia sio kwa sababu hawataki kipaji chako kiwe kikubwa ila tu "...
  15. JamiiForums Tanzania Dogodogo alivomuharibia baba mkubwa dakika za mwisho

    Nawasalimu nyote, Ni baba angu mkubwa kabisa, ni mstaafu mpya kutoka serikalini ana mwaka ivi na miezi kadhaa uraiani. Akiwa kazini alioa na kupata watoto wanne, mambo yalikuwa POA tu amani na furaha, watoto wamekuwa na washaolewa/kuoa Mwaka Jana mzee akamaliza mda wa utumishi wake na...
  16. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Baba yangu wa kike anataka kuniozesha ili kurudisha mahari yake

    Habari wanaJamiiForums, habari watanzania wenzangu. Naitwa suzana, kama mwandishi wa habari wa kujitegemea nimepata Fursa ya kuonana na kuzungumza na binti mmoja, muhanga wa mila potofu (nyumba ntobhu) ambaye amenisimulia mkasa wake. Hivyo nami nauleta kwenu kwani kuna mambo ya kujifunza...
  17. JamiiForums Tanzania Mtoto akutana na baba yake gesti baada ya kudanganya yupo shule anasoma! 😂

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa, wazazi walimpeleka mtoto wao kike kwenye shule ya bweni akasome huko ili asipate bugdha huko mtaani. Sasa siku ya siku mtoto huyo wa kike akiwa katika gesti alisikika akipiga kelele za furaha na mahaba ndindindi! Ndipo kelele hizo zilipoanza kuwa kero...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Hayati Baba Wa Taifa amewahi kusema kuwa Hatuna mjomba wa kuja kutujengea nchi yetu

    Ndugu zangu napenda niwaambie kuwa Tanzania itajengwa na sisi wenyewe watanzania, Hatuna mtu atakuja kutujengea nchi yetu, Katika kufikia ndoto ya Tanzania tuitakayo na kuwa Kama ulaya Ni lazima tufahamu kuwa Kuna kipindi Cha mpito. Lazima tupitie maumivu Kama walivyo pitia mataifa ya ulaya...
  19. JamiiForums Tanzania Binti wa Dos Santos akata rufaa kupinga mwili wa baba yake kuzikwa Angola, ataka azikwe Hispania

    Tchize dos Santos, mtoto wa aliyekuwa Rais wa Angola, Eduardo dos Santos amekata rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama ya Hispania iliyoagiza mwili wa Eduardo ukabidhiwe kwa mjane wake, Ana Paula ili urejeshwe Angola kwa maziko. Dos Santos aliyeshika madaraka 1979-2017 alifariki Julai 8, 2022...
  20. JamiiForums Tanzania Wamama wengi wa Afrika huwafundisha watoto kuwachukia ndugu wa upande wa baba. Mashangazi ni wachawi, bibi mzaa baba anaturoga ila MJOMBA NI MAMA

    Familia nyingi sana za ki Afrika zina mpasuko mkubwa. Ndugu wa mume wakitembelea familia hufanyiwa vitimbi na vibweka vya kila aina. Wakija dada wa baba wa mwenye nyumba watasimangwa kwa maneno mbalimbali kwamba wamekuja kuvunja ndoa, wameleta uchawi na mbaya zaidi inafikia wanakataliwa hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…