baba

A rum baba or baba au rhum is a small yeast cake saturated in syrup made with hard liquor, usually rum, and sometimes filled with whipped cream or pastry cream. It is most typically made in individual servings (about a 5 cm tall, slightly tapered cylinder) but sometimes can be made in larger forms similar to those used for Bundt cakes.
The batter for baba includes eggs, milk and butter.

View More On Wikipedia.org
  1. Introver

    JamiiForums Tanzania Kila mtu na amche baba yake na mama yake

    (Mafunzo maalumu kwa watoto na walezi). Kama wewe ni mtoto basi jifunze haya, na kama ni mzazi basi pia jifunze haya na pia mfunze mwanao… Biblia imetumia neno “kumcha” kuonyesha msisitizo wa jambo hilo, jinsi lilivyo la msingi. “Kumcha mzazi” sio “kumwabudu” bali ni kumpa heshima ya hali ya...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kesho Tar 1 Baba Mwenye Nyumba nimpe Hadithi Gani? mbele ya Kodi yake!?

    Nipo Nawaza na kutafakari kila siku namkimbia na kuponyoka na story kibao, Leo naskia wapangaji wanaongea kwamba kaja ameshararuka na kuwa mkali na kesho hataki kuskia story za abunuasi kwa mpangaji mwenye deni!? Hapa napiga nimfate Nyumbani kwake nikalia maana yupo yeye na mke wake tu...
  3. Madwari Madwari

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa Oya group (kampuni baba ya oya microfinance Tanzania) ajinunulia buggati na ndege

    Richard Nii-Armah Quaye (Raia wa Ghana)mmiliki wa Bills Micro Credit au Quick Credit ambayo ni kampuni Baba ya OYA Microfinance amejinunulia private Jet na Buggati. ☝️ ☝️ ☝️ Akipokea ndege yake nchini Ghana. ☝️☝️☝️Post ikionesha maandalizi ya Bugatti yake kubebwa na ndege mpaka Ghana...
  4. Mike Moe

    JamiiForums Tanzania Baba huko CAS hilo shauri linasemaje?

    •Tumemshtaki KARIA? •Tumeishtaki TFF? •Tumeishtaki Bodi ya ligi? •Tumeishtaki Simba SC? Naona uchambuzi wa tetesi ni mwingi kuliko uhalisia, hatusikii shauri linavyosema na uainisho wa vifungu vya kanuni/sheria Vilivyovunjwa. Soma Pia: Yanga Yafungua malalamiko CAS dhidi ya bodi ya ligi Uzuri...
  5. Tindikali

    JamiiForums Tanzania Diaspora watatu wa Mzee Sarungi hawakuja kumzika baba yao

    Tumewekewa sauti zao wanatoa salamu msibani Mmoja wa kike yuko Hungary Mmoja wa kiume hajasema aliko Mwingine Maria, ye akasema ameshindwa kuja kwa sababu za kiusalama ----------------------- Wengine sijui wamevurugwa? Yule wa Kiume kaanza kwa kusema these are my last words! Wait. What ...
  6. Knock life

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli mtu mweusi alipata laana badala ya kuchungulia utupu wa Baba yake ?

    Je ni kweli mtu mweusi alipata laana baada ya kuchungulia utupu wa Baba yake ? Ukweli ni upi maana duniani kote mtu mweusi anachapika hatari.
  7. O

    JamiiForums Tanzania Bado ni baba yangu daima!!

    Katika maisha yapo mengi ya kujifunza kila uchao. Ni ijumaa moja napata rafiki kupitia instagram ambae ni rafiki wa rafiki yangu mkubwa na kwa kuona kwamba mimi ni rafiki wa rafiki yake pia anakua nwepesi katika kujibu na kutoa mawasiliano ya simu. Sio kitu chepesi kwa upande wangu kutoa...
  8. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi ashindwa kuja kumzika baba yake kwa kuhofia usalama wake

    Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema Godbless Lema amemfariji Maria Sarungi kupitia ukurasa wake wa X kutokana na Maria kushindwa kufika katika msiba wa baba yake “Nimekusikiliza ukiongea kwa njia ya mtandao wakati wa salamu za rambi rambi ukiwa mbali na halaiki iliyokuja kumuaga baba yako Prof...
  9. ragin

    JamiiForums Tanzania Mchumba, mpenzi na baba wa baadae

    Wanawake huwa tunatongozwa, ila tu niseme ukweli hata sisi tunavigezo vyetu ambapo familia huwa inaanza kutufundisha pindi tunapo balehe. Bila hivyo vigezo, inakuwa kazi sana, na ndio unajikuta unakuwa na mtu mradi tu upo nae, ila moyoni unamawazo na sonono. Kila ukimuangalia uliye nae...
  10. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Baba agoma kumuozesha mwane kwa mahari ya laki tatu kisa ana degree

    Wakuu zengwe hili limetokea Leo hapa mtaani Binti kamaliza chuo anataka kuoelewa na mwanaachuo mwenzie Ambae ndio kwanza ananijitafuta. Baba amekataa kuonesha😂akidai ni dharau binti ameahidi kutoroka sijui itakuwaje Wazazi mahari ni sawa na kumuuza binti badilikeni
  11. U

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Papa amesema kuwa Wakatoliki wale chochote wanachokitaka wakati wa Kwaresima kwa kuwa dhabihu haipo tumboni bali moyoni

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: “Eat whatever you want during Holy Week, the sacrifice is not in the stomach but in the heart. People abstain from eating meat, but they do not talk to their siblings and/or relatives, they do not visit their parents and do not...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Je, Maria Sarungi atathubutu kuingia Tanzania kumzika Baba yake?

    Maria Sarungi ni mkosoaji wa muda mrefu wa juhudi za chama na serikali iliyopo madarakani. Ni mwasisi wa mijadala mikali ya X toka kipindi cha JPM. Je, kwa ukosoaji huo anaoufanya akiwa nje ataweza kuingia Tanzania kuja kushiriki mazishi ya baba yake aliyefariki leo? Nauliza kwa sababu hadi...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mtu kumsikiliza mchungaji au sheikh zaidi ni dalili ya kukosa baba au kuwa na baba dhaifu

    MTU KUMSIKILIZA MCHUNGAJI AU SHEIKHE ZAIDI NI DALILI YA KUKOSA BABA AU KUWA NA BABA DHAIFU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hii ndio sababu wewe kijana wa kiume unatakiwa upambane Sana sio kiuchumi tuu Bali Kimwili, Kiroho na kiakili. Kama Baba unahitajika ujue mambo mengi Sana. Mambo...
  14. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Baba mdogo analoga hataree tumsaidieje na sasa yanamrudia

    HABARINI wapendwa Tuna mzee wetu aliamua kuwa msimamizi WA MIRATHI ya kaka yake Sasa KIKAO wakamua WAGAWANE mali zote sawa... Kilichofwata mzee akaandika yule WA Nje amepewa mali zaidi ya wenzie Kukawa na mfarakanoo TUKAENDA kwenye mavikao Mwisho wajukuu tukajipanga JAMAN huyu WA kumwondoa...
  15. Mkunazi Njiwa

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Mfano wa "REFORM" ya Rais Samia ni kama hivi anavyowahusisha "PPP" katika ujenzi wa barabara ya Kiberashi mpaka Singida(340kms)

    4R's za mh.Rais Samia zina mawanda mapana sana. REFORM: Huko nyuma hatukuona ujenzi wa barabara zetu wakipewa "PPP-ubia wa sekta binafsi na serikali" zaidi ya hatua za wizara ya uchukuzi(ujenzi)pekee. Mh.Rais Samia amekuja na mikakati hii mipya akiichagiza "REFORM" kwa kuihusisha "PPP" na...
  16. RingaRinga

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu picha hii ilipigwa katika tukio gani?

    Naomba kufahamu picha hii ilipigwa katika tukio gani
  17. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Hasara za kuwa baba wa kambo

    1. Daima mama mtoto atakuona fala. Usidanganyike na ngozi ya kondoo aliyojivika kwa nje, ukweli ni kwamba kwenye akili yake anakutafsiri tofauti. Anakuona simp mmoja mjinga jinga. Hata hivyo ukweli wewe ni mjinga na mama mtoto analijua ilo ndio maana hata yeye hawezi kuruhusu/kufurahia kaka au...
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua Japo Baba ni Kichwa cha Nyumba, Mama Anaweza Kugeuka Kichwa Akawa Baba? Wajua Rais Samia ni Kichwa kama Baba?

    Wanabodi, Nawasalimu kwa jina la JF. Angalizo la uchangiaji, hili ni moja ya mabandiko yangu ya kuwaanda Watanzani kisaikolojia kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu, nakushauri, ukiusoma uzi huu, ukijiona kama huuelewi elewi, jipitie zako tuu kwa amani, usiparamie kuchangia vitu usivyo elewa...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Balozi Dkt. Emmanueli Nchimbi Aongoza Ujumbe wa CCM katika mazishi ya Baba wa Taifa la Namibia

    Ndugu zangu Watanzania, CCM inaendelea kuonyesha ni kwanini ni chama kiongozi Barani Afrika, inaendelea kuonyesha ni kwanini imeendelea kuwa chama cha mfano na cha kuigwa Barani Afrika, inaendelea kuonyesha ni kwanini inapendwa na kukubalika ndani na nje ya mipaka ya Tanzania, inaendelea...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Dini na ukabila ni sumu kwa Taifa by Hayati Baba wa Taifa

    https://m.youtube.com/watch?v=6QHH07X5m28
Back
Top Bottom