baba

A rum baba or baba au rhum is a small yeast cake saturated in syrup made with hard liquor, usually rum, and sometimes filled with whipped cream or pastry cream. It is most typically made in individual servings (about a 5 cm tall, slightly tapered cylinder) but sometimes can be made in larger forms similar to those used for Bundt cakes.
The batter for baba includes eggs, milk and butter.

View More On Wikipedia.org
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Wanawake Singo Mama, wanawachukulia Wanaume wenye watoto (Singo Baba) kama wanaoendana .!

    Ushawahi Jiuliza kwann Mwanamke mwenye mtoto au watoto, akiwa anatafuta Mume ,kigezo chake Cha kwanza ni 'Mwanaume awe pia na mtoto au watoto'?. Hiyo mbinu inaitwa Kusahihisha kosa Kwa Kumfanya MTU naye ajihisi alifanya makosa . Yaan hapo mnakua mko Kwa mizani sawa !! Mwanamke mwenye mtoto...
  2. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Bwawa la Umwagiliaji Mkomazi.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametimiza ndoto ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kwa kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Bwawa la Umwagiliaji Mkomazi. Mradi huo unatarajiwa kuwanufaisha Wananchi zaidi ya 20,000 Wilayani Korogwe. Mradi huo...
  3. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Kwann wanawake wanavumilia umasikini wa baba zao na sio wa waume zao.

    Ni wanawake wachache sana wenye kuweza kuvumilia umasikini wa mme wake akifulia kwa sababu pesa ni kama maji ya mto kujaa,kupungua,kukauka,kujaa tena ni kitu cha kawaida kwa 3D eyes. Ukiangalia mahusiano mengi yamejengwa kwenye pesa ukitaka kuthibitisha ili check wanaume wastaafu wanayopitia...
  4. L

    JamiiForums Tanzania TANZIA Waziri wa TAMISEMI Mohammedi Mchengerwa Amefiwa na Baba Yake Mzazi Akiwa Ibadani Makka Na Atazikwa hukohuko Makka

    Ndugu zangu watanzania, Nawaleteeni taarifa ya majonzi na masikitiko makubwa sana juu ya kifo cha Baba mzazi wa Waziri wetu wa TAMISEMI Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa ambaye Amefiwa na Baba yake Mzazi mzee Omary Mchengerwa akiwa katika ibada huko Makka. Ambapo taarifa inasema ya kuwa atazikwa...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe hapa kwa Kumjengea Nyumba Mama yako ili aishi na siyo Waishi sote na Baba yako umechemka vibaya mno

    Kuna Kasisi Mmoja nilimsikia (pamoja na Sheikh fulani) wakisema kuwa Watoto wengi tunapoteza Baraka zetu kwa Kukosana na Baba zetu kwa Kuwadharau na Kutowajali tukidhani (kwa Kudanganywa) kuwa Mama zetu ndiyo hasa wenye Baraka nasi kwakuwa tu wametubeba Matumboni mwao kwa Miezi Kenda (Tisa) na...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wako na ndugu zako wa baba upo sawa ?

    Mimi niwe mkweli tu hakuna ndugu upande wa baba amenikosea lakini hatuna mazoea. Sehemu pekee tunayoweza kujuliana hali ni kwenye misiba tu. Nipo karibu zaidi na upande wa mama. hawa wajomba, kina mama mdogo, watoto zao, n.k. tupo karibu sana. What's your story?
  7. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Nimeamini upendo wa baba una nguvu ya ajabu, nimekuwa nikionyeshwa chuki ya ajabu sana kwa sababu nina wapenda watoto wangu

    Kwa sababu nawaonyesha upendo. I take care of them etc, wa Swahili wamekuwa wakinionyesha chuki ya ajabu sana. Plus kuwachukia wanangu pia. Kuna muda niliwahi kuiacha nyumba niliyo Jenga ( uswahilini nje ya jiji) nikarudi kupanga town ili nikae mbali na wa Swahili. Kwa sababu ambacho kilikuwa...
  8. excel

    JamiiForums Tanzania Baba Yako alipokuwa anakwambia Hana Ulimuona Mchoyo, vipi sasa unaionaje Hali?

    Ndiyo! Nakukumbusha wewe, ulipokuwa mdogo uliona kama baba yako anakunyima Hela😅😅 sasa ni zamu yako kuzitafuta, Unaionaje Hali? Ukiombwa Hela Unaitoa Kirahisi?
  9. Zirconium

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyorudisha tabasamu la baba wa miaka 65 kutoka JF

    İlikuwa February 12 nilipokea simu kutoka kwa mtu aliyejitambulisha kuwa ameniona JF. Mzee: “ Samahani nimeona post zako hivi JF Nina Shida ya Kinywa na meno nimepoteza meno yangu yangu nikiwa na Miaka 48 hivyo nahitaji Huduma ya meno bandia ya Kudumu, si Nita we za Kutafuna!? “ Mimi :”Ndyo...
  10. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Kipi kilichokufanya ukashtuka kujua kumbe ulikuwa unafanyiwa ushirikina na hatua gani ulichukua?

    Karibuni wakuu, Watu wamefanyiwa ndumba sana hadi kufanya mambo yao yaharibike, wengine walishtuka ila wengine ndio hivyo mazima walipotea katika giza waliloletewa
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara laki 8 ili upate maendeleo inatakiwa watoto wasome shule za serikali. Tazama huyu baba anavyoteseka

    kama huna njia nyingne za kujipatia pesa hata ujifunge mkanda hutakaa hujenge had watoto wamalize shule
  12. B

    JamiiForums Tanzania Bwege: Samia sio Mungu / baba mkwe wa Mchengerwa atalipwa pensheni / hajajenga barabarani kodi zetu

    15 February 2025 Ikwiriri, Rufiji Tanzania BWEGE : SAMIA SIO MUNGU / BABA MKWE WA MCHENGERWA ATALIPWA PENSHENI/ HAJAJENGA BARABARA NI KODI ZETU https://m.youtube.com/watch?v=XUXq98MwL5E Kiongozi wa ACT Wazalendo mzee Selemani Saidi Ally Bungara almaarufu kwa jina, Bwege ametoa hotuba ya...
  13. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Errol Musk, baba wa Elon Musk asema yeye ni mtu wa Totoz na hajawahi kuona ama kukutana na mwanaume yoyote Duniani hapa ambae sio wa Totoz.

    Errol Musk, baba wa Elon Musk amefichua siri kwamba yeye ni mtu wa totozi. Mzee Musk ameenda mbali zaidi na kusema yeye amekula kuku na mayai yake na wala hakuna ubaya kula mayai kwa maana kwamba ametembea na kuzaa na binti yake wa kambo. Mzee Musk alimuoa Heide, mkewe mwingine ambae walioana...
  14. S

    JamiiForums Tanzania SOWAH: Kucheza Yanga ni jambo la muda tu!

    Mshambuliaji wa @singidablackstarssc akiri wazi kutamani kucheza @yangasc kutokana na mapenzi aliyokuwa nayo na Rais wa @yangasc @caamil_88 "Yanga ni nyumbani kwangu Rais wa Yanga ni kama Baba kwa yote aliyonifanyia naamini siku moja nitacheza Yanga kwa mafanikio zaidi. Yanga ni nyumbani, hata...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Papa anasema Trump kufanya deportation ni kuwafanyia mateso wahamiaji. Basi sawa baba, tuanze na wewe, waruhusu maelfu waje kwenye haya majengo yako

    Baba mwenyewe anapoishi pamezungushiwa ukuta
  16. Damaso

    JamiiForums Tanzania Kagame you got guts mzee baba

    "DRC haiwezi tu kutuambia tunyamaze wakati wanaongeza tatizo la usalama dhidi ya nchi yetu. Hakuna anayeweza kutuambia tunyamaze" "Tumekuwa tukiiomba sana DRC na viongozi wake kwa muda mrefu, tumeshirikiana masuala yetu na kuwataka DRC wayashughulikie, wakakataa" - Rais wa Rwanda.
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kijana: "Baba huyu ndie binti naetaka kumuoa" Baba: "Hapana usimuoe!"

  18. W

    JamiiForums Tanzania Baba anayepata Mtoto Njiti kupata Likizo ya Siku 7

    Bunge la Tanzania limepitisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria za Kazi (NA.13) wa Mwaka 2024 ambao umeongeza likizo ya uzazi kwa wanaojifungua Watoto njiti ambapo itaanza kuhesabiwa wiki 40 baada ya Mama kujifungua huku Baba wa Mtoto njiti akipewa likizo ya siku saba badala ya likizo...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Baba Levo atangaza Mbosso kuondoka WCB Wasafi na uamuzi wa Diamond

    Wakuu Mtangazaji na mtu wa karibu na Diamond Platnumz, Baba Levo amesema Mbosso amepata baraka zote sasa ni ruksa kuondoka WCB Wasafi na hatolipa gharama yoyote kama ilivyokuwa kwa Harmonize, Rayvanny
  20. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Hii picha ya mzee baba huwa inanifikirisha sana!

    Alafu huyo aliyekuwa anamsikiliza aliyekunja viganja sijui alikuwa anamletea umbeya gani? 😏
Back
Top Bottom