baba

A rum baba or baba au rhum is a small yeast cake saturated in syrup made with hard liquor, usually rum, and sometimes filled with whipped cream or pastry cream. It is most typically made in individual servings (about a 5 cm tall, slightly tapered cylinder) but sometimes can be made in larger forms similar to those used for Bundt cakes.
The batter for baba includes eggs, milk and butter.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Madhara gani kwa mtoto baba akitembea na mwanamke mwingine?

    Ivi nikweli ukitembwa na mwanamke mwingine huruhusiwi kusika mwanao kwamba Atadhuruka.. na kuathiri ukuaji wake?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kwa mtoto baba akitembe na mwanamke mwingine

    Ivi nikweli ukitembwa na mwanamke mwingine huruhusiwi kusika mwanao kwamba Atadhuruka.. na kuathiri ukuaji wake?
  3. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete atabaki kuwa Baba wa Demokrasia bora Tanzania kupita Marais wote waliopita na wajao

    Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Nimefikilia sana leo juu ya uchaguzi ulivyo fanyika, kulinganisha na chaguzi zingine zilizo pita chini ya maraisi mbalilmbali Tanzania Nikabaini kuwa mh.kikwete miaka yake kumi alifanya bora zaidi ya katika kuruhusu democrasia ya kweli. - Watu wali...
  4. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Ukiona kijana yeyote ni kada mtiifu wa CCM jua baba yake alikuwa ana nafasi fulani ya uongozi

    Wadau Tusitishane, Tusipangiane na Tusilazimishane. Wengi wa vijana wa ccm {kada} watiifu wamekuwa hivyo kutokana na wazazi wao kuwa watendaji wa vijini/kata, wengine ni watoto wa waalimu hawa huwambii kitu kuhusu chama ma mapinduzi. wengine ni watoto wa mafisadi papa hawa sasa kaa nao mbali...
  5. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Watoto hawatelekezi baba mwenye nguvu ya kifedha na akili

    WATOTO HAWATELEKEZI BABA MWENYE NGUVU YA KIFEDHA NA AKILI Mara nyingi sana tunaona na kusikia visa na mikasa Ya jinsi wababa ambao wamesogea kiumri sana...🥸🥸🥸 Wakilalamika kukimbiwa na watoto pamoja na mke Yaani watoto wamejipata wanaungana na mama yao... Kukuweka wewe kando... Hata kama mko...
  6. Jobless_Billionaire

    JamiiForums Tanzania Ni kauli gani uliwahi kuambiwa na baba, mama au mlezi wako ambayo baadae kabisa ndio ulikuja kuielewa?

    Kwema wakuu? Binafsi nilikulia kwenye familia ambayo wazazi wanazingatia sana kuhusu watoto wao, nikimaanisha ni watu wenye kufuatilia Kwa ukaribu sana mienendo yetu, sio watu waliotuachaniza kufanya mambo Kwa kujiamulia. Kipindi nasoma nilikuwa na rafiki zangu ambao wazazi wao walikuwa...
  7. Bulelaa

    JamiiForums Tanzania Huwenda Chadema ndicho Chama kilichokataliwa na Baba wa Taifa kushika hatamu kama ilivyokuwa kwa Lowasa?

    Chadema ndicho chama Kikuu cha upinzani Tanzania licha ya misukosuko mingi inayopitia, hiki ndicho nafahamu na jambo hili liko wazi! Nimetafakari nikawaza na kuwazua mengi sana, na tafakari yangu ikanipa kuwaza hiki ninachouliza sasa Chadema kimepitia na kinaendelea kupitia kwenye wakati mgumu...
  8. kyagata

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba au mama mkwe akifariki unatakiwa kutoa mchango kiasi gani?

    Wakuu,hivi ikitokea mmoja kati ya baba au mama mkwe katangulia mbele za haki. Unatakiwa kutoa mchango kiasi gani?
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Akina Baba na Akina Mama Ichagueni CCM, Hamtajuta Kuichagua CCM

    MBUNGE AMINA MZEE & TAUHIDA GALLOS: DODOMA MJINI ICHAGUENI CCM, HAMTAJUTA KUICHAGUA CCM Wabunge wa Viti Maalum (CCM), Mhe. Amina Ali Mzee na Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo (MNEC) wamewasihi Wananchi wote wa Wilaya ya Dodoma Mjini kuchagua viongozi wanaotokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika...
  10. The Father of All

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wa kichaga kila mtu ni kaka yake japo nyuma ya pazia hawana kaka wala baba. mdogo bali wote halali?

    Samahani kwa mliiooa wanawake wa kichaga. Uzoefu wa wengi ni kwamba wanachukuana wao kwa wao. Kila anayekuja ni kaka wakati ni washikaji hata wengine wana ukoo wa damu kama mtoto wa baba mkubwa au mama mdogo au mkubwa. Je hii ni mila au?
  11. Magical power

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pole Baba angu mzuri na kazi

    Pole Baba angu mzuri na kazi, asante Mungu Baba kunirejeshea salama furaha hii ya moyo wangu akiwa salama. Nakupenda sana baba angu mzuri, nimefurahi sana kukuona ukiwa mwenye tabasamu 💕. Nikuondolee hizi uoge
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anastahili kuitwa Baba, na Simba, wa Tanzania.

    Huyu bwana alikuwa nje kwa masuala ya kesi yake. Na nchi ilikuwa imepoa utadhani imepigwa ganzi. Mh.Mchengerwa alikuwa katika harakati zake za kuvuruga uchaguzi, na hakuna yeyote aliyekuwa na ujasiri wa kukabiliana. Tundu Lissu aliporejea na hali aliyotukuta nayo Watanzania akatoa tamko kali...
  13. pet geo pet

    JamiiForums Tanzania Nimepewa kiwanja na Baba mkwe wangu naombeni ushauri nikijenge au nikiache kwa muda ila yeye amesema nijenge

    Wakuu habarini!! Nimeoa katika familia ya mzee mmoja msitafu,huyu mke wangu ni mtoto wa mwisho kwao... Leo nimeshangaa ameniita kwenda kuangalia kiwanja akasema kama nimekipenda nichukue. Ninachogopa ni kuwa kiwanja nilichopewaa na Baba mkwe wangu nitakosa nguvu kama kidume Cha familia...hata...
  14. TUKANA UONE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba yangu alipomuacha mama akatafuta mwanamke mwingine nilimchukia sana wakati ule,hivi Sasa ndiyo naelewa

    Nisamehe sana baba ,wakati ule nilikuwa bado mdogo sikujuwa jambo lolote! Wakati tunakuwa Mimi na ndugu zangu tulikuta mzee (baba) ameacha na mama,binafsi kwakuwa nilikuwa Nina shinda na mama yangu mara zote,alikuwa akiniambia mambo mengi ya ovyo kuhusu Baba yangu Baba yangu yeye hajawahi...
  15. Man Middo tz

    JamiiForums Tanzania Stori: Baba masikini hadi kuwa baba tajiri kwa kusomesha watoto wake

    Sikuwahi kuwambia watoto wangu kuwa nilikua nafanya kazi gani. Kamwe sikutaka wajihisi aibu kwasababu yangu, pindi binti yangu aliponiuliza nilikua naenda kufanya nini ninapotoka, nilitumia muda huo kumzuga na kumwambia kuwa mimi ni kibarua. Kila siku kabla sijarudi nyumbani nilitumia muda...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Nimemkumbuka Zacharia Hans Pope. Watoto wake Leo hii wanateseka na mali alizoacha baba yao

    Zacharia alizaliwa mwaka 1956 na kufariki mwaka 2021.apumzike nimemkumbuka kwa ushujaa wake 👉Harakati za uanajeshi tangu mwaka 1973-1982 👉Kifungo cha maisha jela 1982-1995 Baada ya jaribio la kutaka kumpindua Mwl. nyerere 👉Harakati za biashara hadi kuwa moja ya wadau muhimu wa club ya simba...
  17. Magical power

    JamiiForums Tanzania Mungu Baba asante kwa jumamosi mpya katika maisha yetu. Tukumbuke katika mengi tuyatamaniyo katika maisha yetu twaomba.

    Mungu Baba asante kwa jumamosi mpya katika maisha yetu. Tukumbuke katika mengi tuyatamaniyo katika maisha yetu twaomba Eee Mungu wetu, tutendee wema wako katika hatua zetu za maisha. Usitunyime tuombapo kwako, uzisikilize kwa wema sala na haja zetu. Baraka na neema zako ziwe pamoja nasi Bwana...
  18. Melki Wamatukio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama mwenye nyumba kanisamehe kodi mbele ya baba mwenye nyumba

    Kodi ilitakiwa iishe mwezi September. Nilimkusanyia mwenye nyumba 300k yake nikaiweka attention ili nikiskia "Puu" na mimi naitikia "Paaaaaaaaa", cha ajabu siku zikasonga hadi juzi 6 / 11 Baba mwenye nyumba huwa anafungasha safari kwa miezi mitatu mfululizo. Kaingia kwake majuzi kati, akawa...
  19. Melki Wamatukio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtoto wa kike akifikisha umri upi wewe kama baba hupaswi kumpakata?

  20. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania WanaJF mnasemaje, nikamwambie baba kuhusu "mama" ama nimwache yamkute?

    Iko hivi:- Mimi ni msichana, nimezaliwa peke yangu kwa baba na mama na nina miaka 23. Bahati mbaya mamangu allifariki miaka 4 iliyopita. Kwa muda wote huo babangu anaishi single na muda mwingi yuko peke yake, maana mm bado niko chuo. Miezi 8 iliyopita baba alinitambulisha mwanamke fulani (umri...
Back
Top Bottom