baba levo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Nadhani Baba levo ni njia tu ya Zitto Kabwe kuingia bungeni , Safari ya Ukombozi bado ni ndefu sana .

    CCM ni chama chenye mizizi na matawi makubwa sana , nadhani kuna wana CCM wengi wako nje ya CCM kimkakati na tutawaona ndani ya Bunge lijalo . Saa ya ukombozi imekaribia ila ukweli ni kwamba safari bado ni ngumu sana . Tuendelee kuomba Mungu aingilie kati . #free TL
  2. GIRITA

    JamiiForums Tanzania Nani zaidi kati ya Zitto zuberi Kabwe a.k.a Mwami Ruyagwa na Revocutus cleyton chipande a.k.a Baba Levo?

    Hawa ni wagombea wa kiti Cha ubunge waliopitishwa na vyama vyao kugombea kuwakilisha Jimbo la kigoma mjini katika uchaguzi mkuu ujao wa uraisi,ubunge na udiwani utakao fanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Kwa ufatiliaji wako wa siasa unaona nani anafaa kuliwakilisha Jimbo la Kigoma mjini katika...
  3. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Siasa MCHEZO hatari, ni Zitto wa Chadema au Act wazalendo anapambana na Baba Levo ubunge?

    Mi nasema siasa MCHEZO konyo kabisa,🤣😂😆najiuliza ni Zitto yule wa Chadema au huyu wa Act Wazalendo anae kwenda KUPAMBANIA ubunge na Baba levo? Je angelikuwa wa chadema angeshindwa na Baba Levo? Je wa Act atamshinda Baba levo? Time will tel Niko pale
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Zitto akitaka kulinda kura tutampa zake azishike mkononi

    "Zitto alisema analinda kura, kura zake atachagua yeye akitaka tuwe tunampa anazishika kwasababu ni chache"
  5. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe ameyakanyaga kwa Baba Levo huko Kigoma Mjini

    KWa mdomo aliokuwa nao Baba Levo ambaye hachagui cha kuongea, Zitto Kabwe kazi unayo. Wapiga kura wa Tanzania wamebadilika, hawaangalii usomi tena ndio maana wako tayari kumpa ubunge Mr Two a.k.a Sugu au kama walivyompa Ramadhan Kihiyo mwaka 1995 akatenguliwa na mahakama. Zitto ni msomi sana...
  6. Arch Barrel

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Kigoma mjini na Clayton Revocatus Chipando (Baba Levo)

    Baada ya kuona Baba Levo ameteuliwa kuipeperusha bendera ya chama cha Mapinduzi kulitetea jimbo la Kigoma Mjini, hili limenifanya niamini kwa 100% kuwa kuna majimbo yameandaliwa kwa ajili ya ACT Wazalendo na CHAUMMA. Kwa akili ya kawaida sioni ni nini CCM wamekilenga kwa Baba Levo zaidi ya...
  7. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa kushangaza CCM, Ummy Mwalimu akitoswa, Baba Levo aula

    Chama tawala nchini Tanzania, CCM, kimehitimisha mchakato wa uteuzi wa wagombea wake wa ubunge kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, ambapo matokeo yake yameibua mshangao baada ya baadhi ya majina makubwa kuachwa nje na sura mpya kuteuliwa. Katika mabadiliko hayo, aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama Uchaguzi ukiwa fair fair Zitto Kabwe hatoboi dhidi ya Baba Levo Kigoma.Labda Serikali imbebe kwa kuzuga No reform kwamba upinzani nao wameshinda

    Jimbo la kigoma ni gumu sana kwa zitto kabwe kushinda kwa kura za fair fair Mgombea wa CCM Baba Levo ana nguvu sana kigoma
  9. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ingawa ni uchafuzi; kwa moto wa Chawa Pro Max (Baba Levo); Kijicho Upembe asipokimbia mpambano nipigwe ban ya milele JF!

    Historia imeandikwa, Revocatus Chiponda (Baba Levo aka Chawa Pro Max), amezipiga bao husda na hila za Maalhaji wa Ujiji! Kwanini namkubali Baba Levo? au ni kwanini anakubalika na wanakigoma? (Ukimuangalia kwa miwani ya uchawa huwezi kuona hizi sifa) 1. Pragmatic (ni mwalisia wa mandeleo)...
  10. P

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo VS Zitto Kabwe naomba qualification/CV zao

    Naomba qualification/CV zao. Bila Shaka kwenye Elimu na Uzoefu wa siasa, ZITTO atakuwa anamzidi Baba LEVO. Sifa zingine: Baba LEVO ni CHAWA ZITTO ni mnafiki na opportunist.
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Clayton Chipando (Baba Levo) ateuliwa kugombea ubunge jimbo la Kigoma Mjini kupitia CCM

    Msaanii wa muziki nchini Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo ameteuliwa kugombea ubunge jimbo la Kigoma Mjini kupitia CCM kuelekea uchaguzi mkuu 2025
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ugomvi baina ya Diamond, Mbosso na Baba Levo kisa wimbo wa Pawa

    DIAMOND: @Officialbabalevo WEWE KUANA MWENZANGU NA NAHESHIMU NAFASI YAKO ILA UNAPOELEKEA. UNANILAZIMISHA KUKAA MBALI NA WEWE MAANA UNAFANYA. NIHISI KUNA AGENDA. NISIOLJUA UNANITENGENEZEA. @mbosso_ UNAHAKI YA KUTOPENDEZWA, KUCHUKIA NA KUREACT KWA NAMNA YOYOTE UNAYOHISI NI SAHIHI UNAPOKOSEWA ILA...
  13. GemMaster II

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kutoka kwa mjumbe: Baba Levo kamwaga pesa sio chini ya Bilion moja na nusu

    Nipo natoka safari kutoka dom kwenda dar nimekutana na mjumbe kutoka kigoma,anasema Baba levo kwa kura alizopata baba levo tofauti ya 80+ alimwaga pesa sio chini ya bilioni moja point mbili. Nimekubaliana na mjumbe maana kwa zile kula ukizngatia ni mgeni CCM kweli alipambana kwa kuhonga hizo...
  14. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Baba Levo amerudi hewani baada ya matokeo

    Baba Levo amerudi kuzungumzia uchaguzi wa ndani baada ya matokeo Soma pia: Baba Levo achukua fomu jimbo la Kigoma mjini kupitia CCM
  15. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo akinukisha, ataka kura zihesabiwe upya

    Baba Levo agoma, anataka kura zihesabiwe upya Soma pia: Baba Levo achukua fomu jimbo la Kigoma mjini kupitia CCM Chanzo: Kitenge updates
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo aangukia pua, Ng’enda aibuka mshindi Kigoma Mjini kwa kura 2,168 dhidi ya 2,080

    Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini anayetetea nafasi yake, Shabani Ng’enda, ameibuka mshindi katika kura za maoni za Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa kupata kura 2,168. Clayton Revocatus Chipando maarudu kama BabaLevo ameshika nafasi ya pili kwa kupata kura 2,080, huku Mwandishi wa Habari Baruani...
  17. kavulata

    JamiiForums Tanzania Baba Levo ahutubia wajumbe akiwa na miwani ya giza, ni sawa?

    Ni sawa kuwahutubia wajumbe ukiwa umevaa miwana kama hii? https://youtu.be/JbhL8mwx67c?si=v0ogSQY26ydWrzV8
  18. Nucky Thompson

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo huenda akashinda kuwania Ubunge kwa kura za maoni Kigoma Mjini

    Baba Levo ameshinda kuwania Ubunge kwa kura za maoni Katika mchakato wa kura za maoni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya kumpata mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini. 1. Clayton Chipando (Baba Levo): 77 2. Kilumbe Shaban Ng'enda: 38 3. Dkt. Ahmad Sovu: 32 4. Baruan Muhuza: 20 5...
  19. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Ukilitaja Jina la Rais Samia wananchi wa Kigoma Mjini wanafurahia, wanajisikia raha sana

    Mtia nia nafasi ya Ubenge Kigoma Mjini kupitia CCM, Clayton Revocatus Chipando almaarufu kama Baba Levo amesema wananchi wa Kigoma Mjini wanajisikia raha sana linapotajwa jina la Rais Samia kwani kuna vitu vingi amewafanyia wananchi hao na kusema kuwa yupo tayari kumsemea kwa mambo...
  20. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vituko vya Aggrey Mwanri akiomba kura kwa Wajumbe CCM

    Vituko vya Aggrey Mwanri ambaye aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora wakati akiomba kura kwa wajumbe wa CCM kwa ajili ya kupata ridhaa ya kuwa mbunge wa Jimbo la Siha Wilaya ya Siha Mkoa wa Kilimanjaro Soma Pia: GE2025 - Aggrey Mwanri avunja wajumbe mbavu akiomba kura za maoni Chanzo: ITV...
Back
Top Bottom