baba levo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Wanasema sijasoma siwezi kuwa mbunge , hizi hoja nazitoa wapi?

    Nimekaa na wagombea wa nafasi za udiwani na nimewaambia siwezi kuomba barabara alafu diwani anaenda kumpa Tarura barabara laini laini,huyo diwani hawezi kunifaa kwenye jimbo langu,na wanasema sijasoma sasa hizi hoja natoa wapi?
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwananchi ampiga dongo Baba Levo, ni darasa la saba awezi kuliongoza jimbo Kigoma Mjini, anayefaaa ni Zitto

    Mwananchi kaamua kujisema bila kuogopa kwamba jamaa anajuwi kusoma wala kuandika, na Jimbo la Kigoma Mjini ni jimbo lenye viwanda kwahiyo linamtaka mbunge msomi. Na akaukubali kupiga kura kwa Zitto Kabwe kwamba yeye ni msomi ================ Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Nataka kulifufua Soko la Ujiji ili nikiwa napita wanione kama Nyerere wao!

  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Kama nitashindwa kuleta barabara, 2030 nifukuzeni

    Mgombea Ubunge wa Kigoma Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Clayton Revocatus Chipando maarufu Baba Levo amesema, "Kama nitashindwa kuleta barabara hapa Ujiji, 2030 nikitokea mbele yenu nifukuzeni. Barabara zitakuja kivyovyote, iwe kwa Uchawa, kwa kufoka ama kubembeleza lazima nilete...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo afanyiwa maombi na Wachungaji 100 Kigoma

    Mgombea Ubunge wa Kigoma Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Clayton Revocatus Chipando maarufu Baba Levo, amefanyiwa maombi maalum na wachungaji zaidi ya 100 mkoani Kigoma.
  6. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nondo: Kigoma hatupeleki wagonga meza (Baba Levo), Tunapeleka Wapambanaji (Zitto)

    Abdul Nondo, Meneja wa Kampeni wa Zitto Kabwe na Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo, amecheza sauti za zamani za msanii Baba Levo mbele ya wananchi wa Kata ya Bangwe, zikionesha kauli zake za kumsifia Zitto Kabwe Akizungumza na wakazi hao, Nondo amesema “Zitto amekuwa sauti ya...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo akemea Siasa za Udini kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia CCM, Baba Levo, amekemea vikali siasa za udini katika kuomba ridhaa kwa wananchi, akisema kuwa siasa za aina hiyo hazina tija katika maendeleo ya jamii. Baba Levo alitoa kauli hiyo usiku wa kuamkia leo Septemba 21, wakati wa Mkesha wa Maulid Ujiji...
  8. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo awaapisha watu kwa Mungu kumchagua Samia

    Mgombea ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (#CCM) Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo awaapisha wananchi wa Kigoma mjini kumchagua Samia mgombea urais kupitia Chama hicho
  9. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia alivyokwepa kumrushia vijembe Zitto Kabwe kufuatia maneno ya Baba Levo

    Mgombea Urais kupitia CCM Samia Suluhu Hassan amesema kwa Jimbo la Kigoma Mjini Wagombea Ubunge wa mwaka huu wa CCM Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Babalevo na Zitto Zubeir Kabwe wa Chama cha ACT Wazalendo wote ni wanae na wananchi ndio watakaoamua nani awaongoze. Dkt. Samia ameyasema...
  10. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo asante kwa kushiriki. Kigoma mjini ni ya Zitto

    Ukweli mchungu. Hata Chipando mwenyewe anajua sasa, kuwa hali si shwari tena na sio mteremko baada ya kusikia kauli ya mgombea urais ccm. Kote kwingine alikuwa akisema anataka mafiga matatu ila alipofika Kigoma kauli yake ilibadilika. Kwamba wanakigoma wataamua. Huo ni ujumbe kwako Chipando kuwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Zitto ni gangue kwenye mitandao lakini huku mwepesi sana kama biskuti

    Mgombea Ubunge jimbo la Kigoma mjini kupitia CCM, Baba Levo ametamba kuwa atashinda mapema sana saa tano asubuhi kwani mpinzani wake ni dhaifu kama biskuti
  12. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Ubunge Kigoma Mjini (CCM), Baba Levo akijibu swali la Mwandishi wa habari 'Nani alikuambia Wabunge wanalipwa Mil. 18 kwa mwezi?'

    Mgombea Ubunge Kigoma Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Clayton Chipando (Baba Levo) akiwa kwenye Mahojiano katika kipindi cha one on one Wasafi TV aliulizwa swali na mwandishi wa habari Charles William akirejelea kauli ya Baba Levo kuwa Wabunge wanalipwa Milioni 18 kwa mwezi Soma pia...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Nitatumia milioni 80, kushinda ubunge jimbo la Kigoma mjini

    Ukomo wa matumizi ya fedha kwenye kampeni za ubunge kwa jimbo la Kigoma Mjini ni shilingi milioni 82, lakini mimi nitatumia milioni 80
  14. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Nawashangaa wanaomshabikia Polepole

  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Kazi ya kwanza kufanya Kigoma Mjini ni kufuta barabara za vumbi, yasipotokea mnifukuze kama mbwa

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Clayton Revocatus Chipando, maarufu kama Baba Levo amesema Moja ya ahadi zake kuu ni kufuta barabara za vumbi na kuboresha mazingira ya jimbo lake huku akisema anayoyaongea yasipotokea afukuzwe kama mbwa.
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Askari atakayewanyanyasa bodaboda na bajaji Kigoma Mjini atatafuta nyumba ya kwenda jimbo lingine

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Clayton Revocatus Chipando, maarufu kama Baba Levo, leo ameanza rasmi kampeni zake kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025-2030. Uzinduzi wa kampeni hizo ulifanyika katika Viwanja vya Mwanga Community Center, ambapo Baba...
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo aulizwa swali na mwananchi, 'Kiingereza haujui utaelewaje mikataba?'

    Mwananchi aliyehudhuria mkutano wa uzinduzi wa kampeni za Mgombea Ubunge wa jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi, Clayton Chipando (Baba Levo) uliofanyika Kigoma mjini, amamemuuliza swali mgombea huyo juu juu ya uelewa wake kwenye ligha ya Kingereza na atawezaje kujua usahihi wa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Niacheni nikafanye uchawa lakini Kigoma ipate Maendeleo

    Akizungumza wakati akizindua Kampeni za Chama cha Mapinduzi Kigoma Mjini leo Septema 9, 2025, Clayton Chipando Maarufu Baba Levo ambaye ni Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini amehusisha kutajwa kuwa chawa lakini yeye atatumia nafasi hiyo endapo wananchi watamchagua kuwa Mbunge wa Jimbo hilo...
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi Kigoma wamejitokeza kwenye ufunguzi wa kampeni za mgombea ubunge Baba Levo

    Hivi ndivyo wananchi wa Kigoma walivyojitokeza kwenye ufunguzi wa kampeni za mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma mjini. Soma Pia: - GE2025 - Clayton Chipando (Baba Levo) ateuliwa kugombea ubunge jimbo la Kigoma Mjini kupitia CCM
  20. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 7media ya Baba Levo wamepata ajari ya gari Morogoro wakitokea Kigoma

    Gari aina ya Alphard lililokuwa limebeba waandishi wa habari wa Kituo chetu cha 7 Media limepata ajali mkoani Morogoro, wakitokea Kigoma kwenye mapokezi ya mgombea ubunge wa Jimbo hilo, Clayton Revacatus Chipando (Baba Levo) ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kituo hicho. Kwa neema ya Mungu, watu wote...
Back
Top Bottom