baba levo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Siwaoni majimboni baada ya Bunge kuahirishwa. Mikutano ya shukrani mmemtuma Baba Levo?

    Bandugu mnawaona wabunge waliochaguliwa tarehe 29 Uko majimboni? Wamerudi kimya kimya na kuingia makwao usiku wa MANANE na hawaongei lolote? Wameshindwa hata kuitisha mikutano ya shukurani au bunge lote walimwagiza Baba Levo akafanyie Kigoma kwa niaba Yao? Kwa hiyo Baba Levo ni mbunge wa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 ACT Wazalendo, Kigoma: Baba Levo na Zitto waliongezewa kura ili zishabiiane na kura alizopata Samia

    Wananchama wa ACT Wazalendo jimbo la Kigoma Mjini wamefungua kesi kupinga matokeo yaliyompa ushindi Baba Levo, moja ya sababu ya kufungua shauri hilo ni ubabaishaji wa kutangaza matokeo mara mbili. Awali Baba Levo alitangazwa kupata kura 35, 725 naZitto Kabwe kupata kura 16,619, baadaye baada...
  3. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Baba Levo awakabidhi pikipiki vijana waliojiandika jina lake kwa rangi wakati wa kampeni

    Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Chipando Maarufu Baba Levo ametimiza ahadi yake ya kuwakabidhi pikipiki vijana wawili waliojitolea kumsaidia kwenye kampeni kwa kujipaka rangi kama ishara ya sapoti. Ahadi hiyo imetekelezwa rasmi jana wakati wa Mkutano wake wa Shukrani, ambapo vijana hao walipokea...
  4. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Baba Levo: Kuna watu walileta vurugu kwenye nchi yetu. Mama ameamua kuachia vijana warudi mtaani

    Wakuu, Kuhusu maandamano ya MO29 huyu wa kuitwa Baba Lebo kampongeza Samia "Kuna watu walileta machafuko lkwenye nchi yetu, walileta vurugu kwenye nchi yetu na akachungulia, kuna baadhi ya vijana walifata mkumbo kwenye maandamano. Maandamano yalikuwa na vurugu ndani yake. Mama ameamua kuachia...
  5. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Nitakuwa mbunge tofauti na waliyozoea

    Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo, amesema Watanzania watashuhudia aina ya ubunge tofauti na waliyozoea. Chipando amesema watu wengi huamini kuwa wabunge hubadilika wanapopata madaraka na kujiona kama “mabosi”, lakini kwake itakuwa tofauti, kwani...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Diamond ahudhuria bunge kushuhudia Baba Levo akila kiapo

    Mbunge mteule wa Jimbo la Kigoma Mjini Kupitia CCM, Clayton Revocatus Chipando Maarufu Baba Levo akieleza furaha yake Siku yake ya kwanza Bungeni ambapo leo Novemba 11. 2025 amekula kiapo rasmi kuanza kuwatumikia Wananchi wa Jimbo la Kigoma Mjini Msanii Diamond Platnumz alihudhuria mkutano huo...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo ajitambulisha Bungeni, atamba, "niliangusha Mbuyu"

    Mbunge mteule wa Jimbo la Kigoma Mjini Kupitia CCM, Clayton Revocatus Chipando maarufu Baba Levo alivyojitambulisha Bungeni leo Novemba 11, 2025.
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Akiwa bungeni ameanza na ujinga wake! Ajirekodi video na kusema Tunatesti mitambo

    Huyu jamaa vituko vyake visivyo vya maana kabisa! Sijuwi atazingumza nini huko Bungeni. Bila shaka anamtambia Bw Zitto Kabwe! Nasubiri kuona ! =============== Mbunge mteule wa wananchi wa Kigoma Mjini, Revocatus Chipando, ameibua mjadala mitandaoni baada ya kuandika ujumbe mfupi kwenye ukurasa...
  9. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Nitamtafuta Zitto kuna mambo mazuri anayo kwa maendeleo ya Kigoma Mjini

    Mbunge mteule wa Kigoma Mjini, Clayton Revocatus (Baba Levo), amesema kuwa alitumia kila aina ya mbinu ili kushinda uchaguzi kutokana na nguvu na uzoefu aliokuwa nao mpinzani wake Zitto Kabwe katika jimbo hilo. Mbubge huyo Mteule ameyazungumza hayo jijini Dodoma, ambapo ameeleza kuwa ushindi...
  10. McLaren

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Maandamano ni haki ya Kikatiba. Watu wabaya wallingia kwenye yale maandamano kuanza kupeleka chuki

    Wakuu, Akiwa anazungumza hivi karibuni kuhusu maandamano yaliyofanyika wiki iliyopita, mwanasiasa aliyetezwa na Tume kuwa Mbunge wa Kigoma Mjini Baba Levo amesema "Maaandamano ni haki ya Kikatiba lakini nadhani watu waliyatumia yale maandamano vibaya. Watu wabaya waliingia kwenye yale...
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Chipando 'Baba Levo' akiwa nje ya Bunge

    Wakuu... Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Chipando (Baba Levo) kupitia instagram yake amepost video akiwa nje ya Bunge akionyesha sehemu yake mpya ya kazi. Unadhani atakuwa mbunge wa aina gani?
  12. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Je Diamond atakuwa chawa rasmi wa Baba Levo ikiwa Baba Levo atapewa Uwaziri wa Michezo?

    Ninakiri na wengi mnajua namna nilivyokuwa ninamsapoti Diamond Platnumz, Ila kutokana na maujinga yake nilipunguza rasmi ushabiki wangu kwake labda baadaye sana kama itatokea atabadirika na kujitambua kama ilivyokuwa hapo awali. Ninakiri pia mwaka huu hapa Tanzania hakukuwa na uchaguzi bali...
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kumbukizi: Kabla Baba Levo hajalamba asali, Wasanii wengi wanakimbilia chama tawala kwa sababu ni waoga

    "Wasanii wengi wanakimbilia chama tawala; wasanii wengi ni waoga. Wasanii wengi hawapendi bughudha; wasanii wengi wanapenda vitu vya mteremko, vitu rahisi rahisi; hawapendi ‘fighting’". Clayton Revocatus Chipando 'Baba Levo', akizungumza katika kipindi cha Salama Na, Julai 26, 2020.Ambaye kwa...
  14. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Naahidi vitu vichache ambavyo naweza kuvipata

    Miongoni mwa wagombea ubunge wa CCM walinivutia na hoja zake moja wake ni huyu jamaa Babalevo licha ya uchawa lakini unaona hoja zake zinaweza kutekelezeka kabisa. ================ Mgombea ubunge jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Baba Levo amesema kuwa yeye ataahidi vitu...
  15. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Wasomi wameshindwa kutusaidia tutajisadia wenyewe, nipelekeni bungeni

    Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma ,jini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Clayton Chipando Maarufu Baba Levo akizungumza Oktoba 19, 2025 kwenye mkutano wa kampeni na wananchi wa Businde namna Mchakato wa yeye kuchaguliwa kuwa Mgombea wa Jimbo hilo kutokana na kiwango chake cha Elimu licha ya...
  16. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo atoa milioni 5 kwa ajili ya kusaidia shughuli za kwaya Kanisa la FPC Majengo

    Wamemaliza kwa vyombo vya habari sasa wanaingia kwenye nyumba za Ibada kusambaza bahasha. Kwanini siku zote asichangie? Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia CCM, Baba Levo leo Oktoba 19, ameshiriki Ibada ya Jumapili katika Kanisa la FPC Majengo, ambapo alihudhuria kama mgeni rasmi...
  17. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo ajibu ombi la mwananchi 'Nimesikia kilio cha watu wangu Kagera'

    Baada ya mwananchi wa Jimbo la Kigoma Mjini Kata ya Kagera kueleza kero wanazokumbana nazo akimuomba Mgombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Clayton Chipando Maarufu Baba Levo kuwa endapo atapata ridhaa ya nafasi hiyo basi awasaidie Miongoni mwa Kero alizoeleza ni Kodi...
  18. H

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wagombea wa Vyama Vyote mmesahau kuiweka bima ya afya kama kipaumbele

    Maendeleo ya watu siyo mabarabara au majumba ya serikali bali maendeleo ni kuwawezesha watu ili waweze kuboresha maisha yao na hasa katika kipengele cha ustawi wa afya za watu ili waweze kuwa na afya njema na kuweza kufanya kazi za uzalishaji. Ukiwezesha hili basi kodi zitaongezeka kwa watu...
  19. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Mnaohoji mtoto wa Rais ana gari zuri, mnataka atembelee Bajaji?

    “Wanataka tuandamane tar. 29 Oktoba ila watuambie sababu zenye msingi wa kuandamana,sio kusema mtoto wa rais anaendesha gari zuri,je walitaka atumie bajaj”
  20. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Oktoba 28 hakutakuwa na Kampeni naoa, nitauliza serikali kama watu wangu kula wali na nyama siku ya harusi yangu ni Rushwa?

    Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Clayton Revocatus Chipando maarufu Baba Levo amesema kuwa Oktoba 28, 2025 siku kabla ya Uchaguzi atafunga ndoa na Mkewe hivyo hakutakuwa na Mkutano wa Kampeni na kudai atauliza Serikali kama watu wake wa Jimbo hilo kula wali...
Back
Top Bottom