baba levo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Baba Levo amfungulia kesi Harmonize

    Baba Levo amemfungulia kesi msanii Harmonize na kumchukulia RB polisi. Baba levo amedai kuwa usiku wa kuamkia leo February 11,2024 msanii huyo wa muziki wa bongofleva alimshambulia. Ameandika ujumbe huu kupitia ukurasa wake wa Instagram:- "Hii Itakuwa Mara Yangu Ya Mwisho Kuwa Mnyonge Kuwa...
  2. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Baba Levo adai kushambuliwa na Harmonize

    Mwanamuziki na mtangazaji wa Wasafi Fm Babalevo adai kushambuliwa na mwanamuziki Harmonize. Baba Levo ametoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram. Pamoja na kutoa taarifa hiyo Baba Levo hajaweka wazi sababu ya kushambuliwa na mwanamuziki huyo.
  3. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Baba levo atabiri ajali ya ndege 2024

    Babalevo a.k.a B-levo Ba, a.k.a Fundi Majumba amekuja na utabiri wa ajali ya ndege 2024
Back
Top Bottom