baba levo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Baba Levo: Majengo ya Kariakoo hayavutii kuwepo mjini, panatakiwa pabaki peupe pyee

    Wakuu Baba Levo anaiota Times Square huku! Mtangazaji wa Wasafi Media, Baba Levo, ametoa maoni yake kuhusu majengo ya eneo maarufu la Kariakoo jijini Dar es Salaam, akisema kuwa hayafai kuwepo katikati ya jiji. "Majengo ya Kariakoo, asilimia kubwa, kama kweli tunataka haki, eneo hilo...
  2. M

    Content Za Baba Levo Marekani ni Bora sana Kuliko Za Mwijaku hadi unahisi Baba Levo ndio Msomi ,

    Katika mjadala wa utofauti wa elimu nchini Tanzania, kuna dhahiri kwamba safari ya Baba Levo Marekani inaonyesha tofauti kubwa kati ya wasomi na wale wasio na elimu rasmi. Baba Levo anatumia mbinu nzuri katika kutangaza makampuni yaliyompa udhamini, na anajulikana kwa ufanisi wake. Kwa upande...
  3. Waufukweni

    Fred Vunjabei amchana Mwijaku, ampa onyo la mwisho

    Mfanyabiashara maarufu, Fred Vunjabei amemtolea uvivu Mwijaku na kumtaka aache kumhusisha na ishu za utajiri, baada ya Mwijaku kudai kuwa Fred ana utajiri mkubwa kuliko Diamond Platnumz, wakati akipinga ndoto ya Diamond ya kuwa tajiri namba moja duniani. Fred, mmiliki wa kampuni maarufu ya...
  4. GENTAMYCINE

    Baba Levo: Mimi ni Mtu wa 'Kiki' na mambo mengi ninayoyafanya huwa Nadanganya tu, kwani 'Kiki' inalipa Tanzania

    Haya leo nadhani mmejua kuwa hawa Watu wenu Mitandaoni huko Maisha yao tunayoyaona huwa siyo Uhalisia Oky? Nendeni Wasafi FM huko mkamsikie Mwenyewe.
  5. GENTAMYCINE

    Baba Levo: Diamond Platinumz alitaka apewe Milioni 300 na Yanga SC aende Siku ya Wananchi, ila Yanga SC hawana Hela na wakashindwana hapo

    Tusichoshane nendeni Wasafi FM huko mkamsikie Wenyewe. Mnajifanya mna Hela zisizo na Kazi kumbe ni Masikini tu.
  6. P

    Serikali imchukulie hatua Baba Levo kwa Kuwadhalilisha Walimu

    Wasalamu wakuu. Kuna video naona inazunguka kwenye mitandao ya kijamii ikimuonyesha mtu anayejiita baba levo akidhihaki na kuwafedhehesha walimu wetu wa Tanzania. Maneno aliyozungumza kupitia chombo cha habari achofanyia kazi si maneno mazuri hata kama yana kweli au si kweli kwani hayana...
  7. Meja Jenerali Isamuhyo

    Baba Levo: Huwezi kuwa tajiri kwa kazi ya Ualimu

    Mtangazaji wa kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi Fm, Baba Levo amenukuliwa akisema huwezi kuwa tajiri kwa kazi ya ualimu kwasababu kazi hiyo ni ya kipato cha chini sana kwenye mishahara na posho zao ni ndogo. Kujenga hata nyumba ya kisasa kwa kazi ya ualimu ni changamoto sana sahau kuhusu...
  8. D

    Baba Levo: Zitto ni muoga, akiona vita anayokwenda kuingia atashindwa hatii mguu

    Ikiwi Zitto ataamua kuacha kugombea Ubunge Kigomo Mjini Kuna vita kubwa ya nani atakuwa mrithi wake, huku ikionekanwa kuwa tayari Zitto ameshamuanda kipenzi chake.
  9. Mjanja M1

    Baba Levo: Nitahakikisha Ugomvi kati ya Baba yangu (Diamond) na Mama yangu (Zuchu) unaisha

    Baada ya Msanii Zuchu kuandika ujumbe wa kutengana kimapenzi na msanii Diamond platnumz, anaejiita mtoto wao Baba Levo amesema atahakikisha ugomvi wao unaisha. Ameandika Baba Levo kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii, "Nitahakikisha Ugomvi wa Baba na Mama yangu unaisha sitaki kubaki...
  10. Mjanja M1

    Baba Levo: Kama nikifa leo au kesho basi mjue Harmonize ndio ameniua

    Baba Levo bado anaugulia maumivu makali ya shingo baada ya kula kichapo kutoka kwa Harmonize. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Babalevo amesema, "Shingo linaniuma, kama nikifa leo au kesho kwa tatizo hili basi mjue Harmo ndio ameniua" - Baba Levo Ikumbukwe kuwa Baba levo ameshachukua RB na...
  11. Mjanja M1

    Baba Levo amfungulia kesi Harmonize

    Baba Levo amemfungulia kesi msanii Harmonize na kumchukulia RB polisi. Baba levo amedai kuwa usiku wa kuamkia leo February 11,2024 msanii huyo wa muziki wa bongofleva alimshambulia. Ameandika ujumbe huu kupitia ukurasa wake wa Instagram:- "Hii Itakuwa Mara Yangu Ya Mwisho Kuwa Mnyonge Kuwa...
  12. Mjanja M1

    Baba Levo adai kushambuliwa na Harmonize

    Mwanamuziki na mtangazaji wa Wasafi Fm Babalevo adai kushambuliwa na mwanamuziki Harmonize. Baba Levo ametoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram. Pamoja na kutoa taarifa hiyo Baba Levo hajaweka wazi sababu ya kushambuliwa na mwanamuziki huyo.
  13. Mhaya

    Baba levo atabiri ajali ya ndege 2024

    Babalevo a.k.a B-levo Ba, a.k.a Fundi Majumba amekuja na utabiri wa ajali ya ndege 2024
Back
Top Bottom