baba levo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Maandamano ni haki ya Kikatiba. Watu wabaya wallingia kwenye yale maandamano kuanza kupeleka chuki

    Wakuu, Akiwa anazungumza hivi karibuni kuhusu maandamano yaliyofanyika wiki iliyopita, mwanasiasa aliyetezwa na Tume kuwa Mbunge wa Kigoma Mjini Baba Levo amesema "Maaandamano ni haki ya Kikatiba lakini nadhani watu waliyatumia yale maandamano vibaya. Watu wabaya waliingia kwenye yale...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Chipando 'Baba Levo' akiwa nje ya Bunge

    Wakuu... Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Chipando (Baba Levo) kupitia instagram yake amepost video akiwa nje ya Bunge akionyesha sehemu yake mpya ya kazi. Unadhani atakuwa mbunge wa aina gani?
  3. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Je Diamond atakuwa chawa rasmi wa Baba Levo ikiwa Baba Levo atapewa Uwaziri wa Michezo?

    Ninakiri na wengi mnajua namna nilivyokuwa ninamsapoti Diamond Platnumz, Ila kutokana na maujinga yake nilipunguza rasmi ushabiki wangu kwake labda baadaye sana kama itatokea atabadirika na kujitambua kama ilivyokuwa hapo awali. Ninakiri pia mwaka huu hapa Tanzania hakukuwa na uchaguzi bali...
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kumbukizi: Kabla Baba Levo hajalamba asali, Wasanii wengi wanakimbilia chama tawala kwa sababu ni waoga

    "Wasanii wengi wanakimbilia chama tawala; wasanii wengi ni waoga. Wasanii wengi hawapendi bughudha; wasanii wengi wanapenda vitu vya mteremko, vitu rahisi rahisi; hawapendi ‘fighting’". Clayton Revocatus Chipando 'Baba Levo', akizungumza katika kipindi cha Salama Na, Julai 26, 2020.Ambaye kwa...
  5. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Naahidi vitu vichache ambavyo naweza kuvipata

    Miongoni mwa wagombea ubunge wa CCM walinivutia na hoja zake moja wake ni huyu jamaa Babalevo licha ya uchawa lakini unaona hoja zake zinaweza kutekelezeka kabisa. ================ Mgombea ubunge jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Baba Levo amesema kuwa yeye ataahidi vitu...
  6. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Wasomi wameshindwa kutusaidia tutajisadia wenyewe, nipelekeni bungeni

    Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma ,jini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Clayton Chipando Maarufu Baba Levo akizungumza Oktoba 19, 2025 kwenye mkutano wa kampeni na wananchi wa Businde namna Mchakato wa yeye kuchaguliwa kuwa Mgombea wa Jimbo hilo kutokana na kiwango chake cha Elimu licha ya...
  7. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo atoa milioni 5 kwa ajili ya kusaidia shughuli za kwaya Kanisa la FPC Majengo

    Wamemaliza kwa vyombo vya habari sasa wanaingia kwenye nyumba za Ibada kusambaza bahasha. Kwanini siku zote asichangie? Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia CCM, Baba Levo leo Oktoba 19, ameshiriki Ibada ya Jumapili katika Kanisa la FPC Majengo, ambapo alihudhuria kama mgeni rasmi...
  8. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo ajibu ombi la mwananchi 'Nimesikia kilio cha watu wangu Kagera'

    Baada ya mwananchi wa Jimbo la Kigoma Mjini Kata ya Kagera kueleza kero wanazokumbana nazo akimuomba Mgombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Clayton Chipando Maarufu Baba Levo kuwa endapo atapata ridhaa ya nafasi hiyo basi awasaidie Miongoni mwa Kero alizoeleza ni Kodi...
  9. H

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wagombea wa Vyama Vyote mmesahau kuiweka bima ya afya kama kipaumbele

    Maendeleo ya watu siyo mabarabara au majumba ya serikali bali maendeleo ni kuwawezesha watu ili waweze kuboresha maisha yao na hasa katika kipengele cha ustawi wa afya za watu ili waweze kuwa na afya njema na kuweza kufanya kazi za uzalishaji. Ukiwezesha hili basi kodi zitaongezeka kwa watu...
  10. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Mnaohoji mtoto wa Rais ana gari zuri, mnataka atembelee Bajaji?

    “Wanataka tuandamane tar. 29 Oktoba ila watuambie sababu zenye msingi wa kuandamana,sio kusema mtoto wa rais anaendesha gari zuri,je walitaka atumie bajaj”
  11. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Oktoba 28 hakutakuwa na Kampeni naoa, nitauliza serikali kama watu wangu kula wali na nyama siku ya harusi yangu ni Rushwa?

    Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Clayton Revocatus Chipando maarufu Baba Levo amesema kuwa Oktoba 28, 2025 siku kabla ya Uchaguzi atafunga ndoa na Mkewe hivyo hakutakuwa na Mkutano wa Kampeni na kudai atauliza Serikali kama watu wake wa Jimbo hilo kula wali...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Wafuasi wa ACT wameiba mali za CCM, wameharibu bendera, mabango na kuwashambulia Wanachama kwa Mawe

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Baba Levo, amekishutumu chama cha ACT Wazalendo kwa kuonyesha dalili za kushindwa katika uchaguzi, na kujaribu kuvuruga mchakato wa uchaguzi. Katika andiko lake, Baba Levo amedai kwamba wafuasi wa ACT wameiba mali za CCM, kuharibu bendera na mabango ya...
  13. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Inasikitisha sana kumuona kiongozi tuliyemuamini kuwa ni mpinzani anavizia wanaCCM kupiganao picha

    Mgombea Ubunge jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi Baba Levo amesikitishwa na Mpinzani wake kutoka Chama cha ACT Wazalendo, kuomba kupiga picha na baadhi ya Wanachama wa CCM Kwenye Mkutano Mkuu wa Chama hicho uliofanyika Mkoani Mwanza. "Inasikitisha sana kumuona kiongozi...
  14. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwananchi Kigoma: Kuna viongozi walipita na elimu zao na hatukufaidika, Tunamtaka Baba Levo

    Kigoma kunazidi kuchangamka leo wananchi wanataka kumpeleka chawa bungeni baadae watalia hela zote za miradi zikipelekwa kwenye kujenga Maghorofa ya Baba Levo :Alien: :Alien: :Alien: :Alien: ------------ "Kuna watu wamekaa kwenye madaraka zaidi ya miaka 10 hadi 15 na wamesoma lakini...
  15. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Madaktari bingwa zaidi ya 100 kutoa huduma bure Kigoma Mjini, ni wazi wameona Rais Samia anavyopambania afya za watanzania

    Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Clayton Chipando Maarufu Baba Levo ametoa ufafanuzi kuwa siku ya tarehe 11 na tarehe 12 Oktoba 2025 Jimbo la Kigoma Mjini linatarajia kupokea Ugeni Mkubwa wa madaktari Bingwa ambao watatoa huduma ya matibabu Madaktari hao...
  16. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Naenda Dubai kuzungumza na taasisi, kufufua soko la ujiji

    Mtu unakwenda kwaajili ya Starehe zake anasingizia kutafuta wafadhili:3Heading: hata ubunge ujaupata =============== Miongoni mwa sababu kubwa zinazo mpeleka Dubai ni pamoja na kuzungumza na baadhi ya Taasisi kwa ajili ya uwekezaji mkubwa katika Soko la Ujiji liliopo Jimbo la Kigoma Mjini...
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwananchi: Nyumba yangu inauzwa na bank naomba Baba Levo anisaidie

    Mama mjane anayedai kudaiwa pesa na kampuni ya benk ya nmb amezungumza na seven media akimuomba baba levo anusuru nyumba yake iliyopangwa kuuzwa kaajili ya kufiidia deni ambalo anadaiwa katika benki hiyo. Christina alikopa Tsh milioni 50 kwenye bank hiyo na kuiingiza kwenye biashara lakini...
  18. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Tuwe Makini na watu wanaokuja kuomba kura Nyumba kwa nyumba, wanaweza kuwa wezi

    Kupitia ukurusa wake wa Mtandao wa Instagram Mgombea nafasi ya Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Kigoma Mjini, Clayton Chipando Maarufu Baba Levo ameelezea sakata lililotokea la mama kudai kuibiwa simu baada ya kutembelewa na wanachama wa ACT-Wazalendo kuomba kura nyumba kwa...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwananchi: Zitto ni mbinafsi wa juu lakini Baba Levo ni mtumishi wa wananchi

    Vita ya siasa inazidi kuwa tamu huko jimbo la Kigoma Mjini ======================= Kutoka vijiweni hii ni baadhi ya mijadala ambayo inaendelea kujadiliwa na wananchi wa jimbo la kigoma mjini, kwa kupembua uwezo wa wahombea wao kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Katika mjadala huu amesikika...
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Sitaki kuahidi vitu ambavyo ni ngumu kutekelezeka

    Mgombea ubunge jimbo la Kigoma Mjini Clayton Revocatus Chipando maarufu Baba Levo amesema “Sisi hatutaki kuahidi vitu ambavyo havitekelezeki ndio na kama vibanda hivyo havitajengwa basi nikija tena mnifukuze” Pia Soma: Baba Levo: Kama nitashindwa kuleta barabara, 2030 nifukuzeni
Back
Top Bottom