baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. Baada ya suala la Ngorongoro, Tundu Lissu ameenda Belgium & USA

    Je Tundu Lisu Ameenda kutoa ripoti na mrejesho Kwa Wanaomfadhili? Huyu bwana huwa anakuja Tanzania kuchochea chuki na kisha kuondoka, akirudi tena anakuja tena kuchochea vurugu. Je, Serikali haioni ni wakati muafaka sasa kumdhibiti huyu kibaraka kabla ya kutuletea balaa na yeye kukimbilia Kwa...
  2. Baada ya kuhitimu elimu ya msingi, wanafunzi wasikae nyumbani

    Habari, naitwa mwalimu HERMAN LAMECK MANYILIZU, naomba kushare nanyi wazo hili. TUMLINDE MTOTO WA KIKE BAADA YA KUHITIMU ELIMU YA MSINGI Kama mjuavyo, wanafunzi wa Darasa la Saba wanahitimu elimu ya msingi leo tarehe 14 Septemba. Nashauri wanafunzi hawa wasikae nyumbani kusubili matokeo na...
  3. Arusha: Wananchi wakosa madaraja, washangazwa pesa za madaraja zilizotoka halmashauri kurudishwa tena halmashauri

    Wananchi wa kata mbili za Sinoni na Lemara wameshikwa na mchangao wa aina yake baada ya halmashauri ya jiji la Arusha kurudisha pesa walizokuwa wametoa kwa ajili ya ujenzi wa madaraja mawili ambalo ni kiunganishi kati ya kata hizo mbili. Awali baada ya pesa hizo kupatikana kutoka halmashauri...
  4. L

    Mwizi analalamika baada ya kuibiwa: mnachochea hisia ya utaifa!

    “Ndugu yangu, nimekuwa nikizurura nje kwa muda mrefu...mnaweza kunipeleka nyumbani kwetu China?” Siku hizi, tamthilia fupi ya “Kutoroka kwenye Jumba la Makumbusho la Uingereza” iliyotengenezwa na mwanablogu wa China iliibua mjadala mkali ndani na nje ya nchi. Tamthilia hiyo inaelezea jinsi...
  5. Janga lingine laikumba Libya, mafuriko yaua Watu 6,000, wengine 10,000 hawajulikani walipo

    Mamia ya watu tayari wameshakufa huko nchini Libya karibu tu na Morocco ambako maelfu nako wamekufa kutokana na tetemeko la ardhi. Vifo vilivyoripotiwa Libya ni upande wa Benghazi ambako kumetokea maporomoko ya bwawa baada ya kimbunga kiitwacho Daniel kuikumba nchi hiyo ya kaskazini ya Afrika...
  6. Hili Vibe la Wanaosafiri kwenda Pele Stadium Kigali Rwanda liwepo hata mkirejea Dar baada ya Kufungwa na Msudani

    Ndugu yangu Haruna Fadhil Hakizimana Niyonzima (Fabregas) kawajazeni Upepo ( Kawasifieni ) nanyi mlivyo Mapimbi na Maboya mmejaa na Kujiamini mkidhania Msudani ni Mjibuti mliyemuonea kwakuwa Kwao kuna Utapiamlo na Wachezaji wao Wote walikuwa na Njaa + huo Utapiamlo. Mwanamume ws Shoka ( Mumewe...
  7. Baada ya kuzuiliwa kuingia Ngorongoro Tundu Lissu kuhutubia Taifa na Dunia mchana huu

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu , ambaye yuko Ngorongoro kwa ziara ya kikazi , na ambaye amezuiliwa kuendelea na ziara hiyo kinyume cha sheria za nchi , kwa lengo la kuwalinda Waarabu ili waendelee kutesa Wamasai , Mchana huu ATAHUTUBIA TAIFA NA DUNIA ILI KUELEZA KILA KITU KUHUSU MKASA...
  8. T

    Nimeamua Kumshtaki Mahakamani Mke Wangu Siku 5 Baada ya Harusi

    Habari za zenu wana MMU, Leo asubuhi nilileta bandiko, kwa mke wangu alinidanganya yeye ni bikra, lakini baada ya ndoa nilikuta hana bikra ni shimo lenye dilatation ya 4cm yani kama ni mjamzito aliyeko kwenye labor unafungua partograph kabisa! Nimeamua jumatatu ya wiki ijayo naende kumfungulia...
  9. Uganda: Barabara kufungwa kupisha Sherehe za Siku ya kuzaliwa Rais Museveni

    Askari wa Usalama Barabarani wametangaza kufunga barabara jijini Kampala kwa ajili ya sherehe za kuadhimisha Miaka 79 ya kuzaliwa kwa Rais Yoweri Museveni, Septemba 8, 2023, zitakazofanyika katika Uwanja wa Uhuru na kutarajiwa kuhudhuriwa na watu zaidi ya 100,000 kutoka Nchi mbalimbali Sherehe...
  10. Mwamba alivyojimaliza mwenyewe baada ya kugundua kuwa watoto aliezaa na mkewe sio wa kwake

    Aloo dunia ina mengi! Mwamba alianza kwa kunyanyua vyuma, mwili ukawa jumba na mtaani akawa anatisha. Vijana wakamuogopa na vichuchu vikampenda. Kazi alikuwa nayo nzuri tu, hivyo kila mchuchu alieingia chumbani kwake alihitaji aishi nae. Anyway jamaa kwa vile umri umesogea, ikabidi ateue...
  11. Video: Rich Mavoko namna alivyoishiwa mpaka anapiga show za kimaskini

    Dah nmeona video ikimuonyesha Rich Mavoko namna alivyoishiwa mpaka anapiga show za kimaskini Kuna wanaosema atakuwa anapata pesa Sababu alipofanya show sjui ni mgodini Lakini Kama kuna pesa wasanii wenzake siwangeenda Pia Dah inauma sana ,bora wajitokeze watu wamsaidie TABLE TURNS...
  12. NADHARIA Kevin Carter alijiua baada picha ya kusikitisha aliyompiga mtoto akiwindwa na Tai kumpatia tuzo ya Picha bora (Pulitzer Prize)

    Kevin Carter alikuwa ni mpiga picha, sasa katika kazi zake alifanikiwa kufika Sudan na alikuta eneo fulani nchini Sudan likikabiliwa na njaa kali sana. Wakati anaendelea kuchukua matukio katika picha, alikutana na mtoto dhoofu mwenye utapiamlo aliyekuwa akikabiliwa na njaa kali pamoja na kiu...
  13. Kama mafuta yatapatikana kesho au keshokutwa Baada ya bei kupanda ntaidharau sana serikali hii

    Nilikuwa na mafuta kidogo kwenye gari. Nimezunguka vituo kibao mafuta hakuna, nimeahirisha safari muhimu. Afadhali mzuge zuge mafuta yapatikane wiki ijayo. Kama endapo mafuta yatapatika kesho Baada ya bei kupanda for sure tutajua Serikali imeshatekwa.
  14. W

    Hali ya Mwili wa Binadamu baada ya kufariki

    Suala la kumkuta marehemu akiwa na atokwa na damu puani baada ya kulala mortuari kwa masaa 16 na je inakuaje mwili wa binadamu kukaa kwa masaa yote hayo bila ya kukakamaa yaani mwili unakuwa uso umevimba lakini viungo vyote viko laini havijakakamaa kwa masaa hayo yote mpaka anazikwa?
  15. Vitu atakavyokosa Dkt. Slaa baada ya kuvuliwa Ubalozi

    Baada ya Dkt. Wilbroad Slaa kuvuliwa hadhi ya Ubalozi Septemba 01, mwaka huu na Rais Samia Suluhu Hassan, wengi wamejiuliza juu ya vitu gani ambavyo Dkt. Slaa atavipoteza baada ya hadhi hiyo kuondolewa. Mhadhiri kutoka Chuo cha Diplomasia Dar es Salaam, Godwin Gonde ambaye amefafanua kuwa hadhi...
  16. Moscow, Urusi ndege 23 zasitishwa safari baada ya tishio la mashambulizi

    Mji mkuu wa supapawa ni tafrani kote, walianzisha shughuli ambayo imekua kero..... About 23 flights were cancelled and 19 were delayed in Moscow on Sunday night, passengers at the Kiyevsky railways station were also evacuated due to reports of a bomb threat. Source: Russian state-owned news...
  17. Baada ya kutua mwezini, India sasa yaelekea Juani

    India ndio nchi ya mwanzo kufanikiwa kutua kwenye ncha ya kusini ya mwezi ambako ndiko kwenye matumaini zaidi ya kuwepo kwa maji yatakayorahisisha kupiga kambi huko kwa ajili ya tafiti zaidi kuhusu ulimwengu. Baada ya mafanikio hayo wiki kadhaa zilizopita kwa kutumia chombo cha Chandrayaan sasa...
  18. Kenya: Bunge laambiwa kuna Wananchi wamepata shida za Kiafya baada ya kuchukuliwa Taarifa Binafsi na Worldcoin

    Ni taarifa kutoka kwa Mbunge wa Kisumu Mashariki, Shakeel Shabbir ambaye amelieleza Bunge kuwa amepokea Malalamiko ya Wananchi 5 waliodai kupata shida za Kiafya ikiwemo maumivu ya Macho. Akijibu hoja hiyo, Waziri wa Afya, Susan Nakhumicha amekiri Kifaa hicho hakikufanyiwa majaribio ya uchunguzi...
  19. Fundi Kushona auawa baada ya kumsaidia mtuhumiwa chakula

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia mwanaume mmoja mkazi wa kijiji cha Kwalakamu wilayani Rombo kwa madai ya kuhusika na mauaji ya fundi nguo, mkazi wa Kijiji cha Ngaseni, Anord Tarimo (30). Agosti 29, mwaka huu fundi huyo, anadaiwa kucharangwa mapanga sehemu mbalimbali za mwili...
  20. Mwanasheria aliyepelekwa mstari wa mbele Kharkiv baada ya kunusurika kifo asema harudi tena kupigana.

    Mwanasheria Ihor ambaye alichomolewa kutoka maisha ya kiraia na kupewa mafunzo ya wiki tatu kutoka vikosi vya NATO amesimulia kilichompata na kuweka msimamo harudi tena kupigana dhidi ya Urusi. Anasema siku hiyo mwanzoni mwa mwezi Agosti iliyopita ghafla alijikuta yupo katika ya mashambulizi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…