Andrew akimbia Butiama baada ya wanakijiji wenye hasira kutishia kumcharaza mapanga

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,102
2,717
Sasa,sijui Kuna tatizo gani. Lakini sasa I am on the road again. Nipo Kiabakari nasubiri gari la Mwanza.
Baada ya Mkuu wa Wilaya kushindwa kunifukuza naona wanakijiji wamekuja kivingine.
Naambiwa nionfoke kijijini upesi kama sitaki kucharazwa mapangwa na wanakijiji wenye ghadhabu.
I wish a Happy Christmas to everyone.
For me it will be Christmas in Dar.
Basi hili hapa.
 
Hahaha Andrew kiboko sasa umewakosea nini wana nzengo ? Au ulevi na vurugu...kijijini
 
Sasa,sijui Kuna tatizo gani. Lakini sasa I am on the road again. Nipo Kiabakari nasubiri gari la Mwanza.
Baada ya Mkuu wa Wilaya kushindwa kunifukuza naona wanakijiji wamekuja kivingine.
Naambiwa nionfoke kijijini upesi kama sitaki kucharazwa mapangwa na wanakijiji wenye ghadhabu.
I wish a Happy Christmas to everyone.
For me it will be Christmas in Dar.
Basi hili hapa.
Hivi ni kweli kuwa mna kichaa cha ukoo? Maana husomeki kabisa
 
Sasa,sijui Kuna tatizo gani. Lakini sasa I am on the road again. Nipo Kiabakari nasubiri gari la Mwanza.
Baada ya Mkuu wa Wilaya kushindwa kunifukuza naona wanakijiji wamekuja kivingine.
Naambiwa nionfoke kijijini upesi kama sitaki kucharazwa mapangwa na wanakijiji wenye ghadhabu.
I wish a Happy Christmas to everyone.
For me it will be Christmas in Dar.
Basi hili hapa.
Hahahaha hawawezi hao wanatishia nyau….yani mjukuu wa baba wa Taifa acharangwe mapanga?😂😂😂😂😂
 
Nyerere alikuwa mbinafsi sana. Yani kalostisha familia yake. Angalia kama huyu hopeless na helpless. Nyerere asingekuwa mchoyo na mbinafsi sasa hivi huyu Andy angekuwa huko ufukweni Bahamas ama hawaii kaning'iniza poumbou tu huku akilishwa zabibu kwa kudondoshewa mdomoni na madem wakaliiii.
 
Nipo Mwanza sasa.
Wale watu wa ajabu sana.
Walikuwa wana kikao chao pale wanamsema Sagini( huyu wa Mambo ya Ndani).
Wanaelezena,"Huyu Sagini firauni sana" Hiyo ndiyo ilikuwa theme of the discussion,kwamba Sagini ni firauni.
Basi wameongea on and on,kwamba huyu Sagini ni firauni. Mi nimekaa pale,mpaka nasinzia,naamka, nasinzia,naamka nasinzia,bado tu wanaendelea,Sagini ni firauni.
Halafu hawa watu ndio wanasema wanaweza kupata genge la watu kunicharaza mapanga?
 
Hapa umeandika kama mwalimu alivyokuwa akiongea. Nikawa nasoma huku naflow kwa kuiga sauti ya mwalimu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom