baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Reaction ya Mzee wangu baada ya kusikia naishi na single mother.

    Nimekuwa inspired na Jesca Magufuli jinsi alivyoshare moments za baba yake enzi za uhai wake kwangu imenipa fundisho kuwa uwepo wa baba una maana kubwa kwenye ukuaji regardless financial status ana pesa ama hana ila guidance yake ni muhimu. Reaction ya marehemu mzee wangu alipopata taarifa kuwa...
  2. Isenye

    JamiiForums Tanzania Kwenye haya mashirika ya umma huwa inachukua muda gani kuitwa kazini baada ya kufanya oral interview?

    Mko poa wajumbe wa jukwaa hili? Nipo hapa kuwauliza wanaofahamu utaratibu wa mashirika ya umma huwa wanachukua muda gani kuita watu kazini baada ya kufanya oral interview? Interview husika ilisimamiwa na taasisi husika na sio psrs. Nb:ni mashirika ya umma sio psrs,so mtu asichanganye
  3. M

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya kufa

    Kuna pepo na kuna moto Maisha ya Watu wa Peponi (Ahli Jannah) Sifa Kuu za Peponi: Neema zisizoisha: Kuna mito ya asali, maziwa, mvinyo usioharamisha, na maji safi (Qur’an 47:15). Makazi bora: Nyumba za dhahabu na fedha, zenye mito inapita chini yake (Qur’an 18:31). Chakula na matunda...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Baada ya Yanga kupoteza Kesi CAS, Mwanasheria Simon Patrick ajiuzulu rasmi

    Baada ya klabu ya Yanga Sc kuangukia pua kwenye kesi yake dhidi ya Shirikisho la soka Tanzania TFF, Bodi ya Ligi na klabu ya Simba Sc, Mkuu wa Kitengo cha Sheria klabuni hapo, Simon Patrick ametangaza kuachia ngazi kama Mwanasheria wa Mabingwa hao wa kombe la Muungano 2025. Kupitia ukurasa...
  5. kimara Kimara

    JamiiForums Tanzania Waliopaulia mabati ya Sunda, yanapauka baada ya muda gani? Hayavuji ?

    Mambo vipi maboss, natumai mko poa. Naomba kufahamu kuhusu ubora wa mabati ya Sunda gauge 30. Kwa wale waliopaua wakitumia bati hizi, je, zimekuwa na matatizo kama kupauka rangi au kuvuja baada ya muda mfupi? Au kama kuna jirani yako alizitumia, unaweza kunishirikisha uzoefu wake. Nataka...
  6. and 100 others

    JamiiForums Tanzania VIDEO: IDF wakishambuliwa na Hamas baada ya kuvamia nyumba Gaza.

    Askari wa IDF wakipiga kelele za kuomba msaada baada ya kuona maji yamezidi unga. https://www.youtube.com/watch?v=n2ktmJgcZ78 Hii video inaonyesha uwezo wa IDF kwenye uwanja wa mapambano.
  7. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Muhamad alimuoa Safiya Myahudi baada ya kumuua Mume wake kwa Mahari ya Tende na Samli

    Naendelea kutoa masomo kuhusiana na Muhamad na Quran ili watu waufahamu Uisilamu. Watu wengi wakiwemo waisilamu wenyewe wamekuwa hawamfahamu Muhamad na hawaufahamu Uisilamu ulivyoanzishwa. Hawamfahamu vizuri Muhamad na matendo yake ambayo ndo msingi wa Uisilamu. Tunaenda kwa maandiko hakuna...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Al Ahly yamtimua kocha siku moja baada ya Mamelodi kuwatibulia CAFCL

    Klabu ya Al Ahly imemtimua kocha wake, Marcel Koller siku moja baada ya timu hiyo kutupwa nje ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini. Katika taarifa iliyotolewa leo Jumamosi Aprili 26, 2025 uongozi wa Al Ahly umethibitisha kuwa umefikia makubaliano ya kuvunja mkataba...
  9. Zemanda

    JamiiForums Tanzania Kwanini mwanaume anayeamua kuwa na single mother anajitengenezea sintofahamu siku za baadae

    Hii ni ujumbe wenu M'simp a.k.a second hand handler, a.k.a Step fathers, a.k.a ma'sponsors, a.k.a mubaba almaarufu Mabushoke. Awali ya yote kwa utangulizi, niseme kwamba "a modern woman is loyal to her feelings only", yaani kwa kiswahili ni kwamba ni sawa na kusema, "Mwanamke wa kisasa...
  10. nipo online

    JamiiForums Tanzania Nimefanya mapenzi na mwanamke aliye siku zake. Je, kuna madhara?

    Yaani dushe Lina rangi nyekundu ipi madhara yake? nisaidien wakuu Nimefanya mapenzi na mwanamke aliye siku zak. Je kuna madhara
  11. Equation x

    JamiiForums Tanzania Baada ya kugundua hutoishi milele, umechukua hatua zipi?

    Chochote chenye mwanzo huwa kina mwisho. Na wewe kama ulizaliwa, hutofikisha miaka 100 ya kuishi hapa duniani. Ni muhimu kufahamu ya kuwa, na wewe una mwisho wako. Kwa upande wangu, baada ya kuligundua hilo; nimekuwa nikiishi kwa kutenda wema sana bila kuwakwaza wengine. Nimeacha mambo ya...
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini serikali ya Tanzania bado inapenda kufuatilia kila kitu hatua ya raia miaka 40 hata baada ya kuachana na Ukomunisti?

  13. Shark

    JamiiForums Tanzania Ni Nani amewahi kushinda kesi baada ya kupelekwa kamati ya maadili haki na Madaraka ya bunge?

    Toka hii kamati imeanzishwa imekua kama ya kulisafisha bunge na upande wa Serikali tu. Wameshawai kupelekwa wengi mpaka Pasco, Luhaga na wengineo chungu mzima lkn wote imeonekana Wana makosa hata katika kesi ambazo ni wazi kabisa bunge limekosea. Hivyo basi sijashangaa kuona mbunge Mrisho Gambo...
  14. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Facebook wamvaa mwana FA baada ya kupost stegi hii

    Kama wananchi wa Facebook wameanza kuwa na Akili hii ukombozi hauko mbali Sasa baada ya hiyo post soma Comment za baadhi ya wadau
  15. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufuatilia sana Nimegundua Mungu yupo ,ila hakuna dini wala dhehebu lililo bora kuliko lingine .Mungu ni mmoja tu

    https://youtube.com/shorts/WWmBwoKcRi4?si=MXTAzBwxQMUNtmyg Kwanza kabisa Mungu atusamehe kwa yale yote mabaya tunayoyafanya . Lakini ifahamike mitume na manabii wanajaribu tu kumuelezea tu huyu Mungu mkuu ambae hakuna anaemjua wala kuwahi muona . Kwa kifupi hata dini zetu za asili zilikuwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mbona CHADEMA baada ya uchaguzi walimtenga Kibatala? Hapa wamekosea

    Mkurugenzi na mwanasheria wa chama kwa sasa hawana mvuto ndani ya nje ya chama. Licha ya mwanasheria kuwa Phd from Havard University lakini ukweli katika kesi za kisiasa haziwezi. Uwasiliwashaji wake mbele ya jamii sio mzuri Sijui kwanini walimtenga kibatala ktk uongozi wa CHADEMA Kibatala...
  17. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Rangi za moshi hutokeaje baada ya Papa (Pope) mpya kuchaguliwa?

    Vatikan huweka kemikali ya inayotoa moshi mweupe au mweusi wakati wa kuchoma karatasi za kura katika uchaguzi wa Papa mpya. Mfano: MOSHI MWEUSI (ishara kwamba hakuna Papa mpya amechaguliwa bado) hutokana na kuchoma karatasi za kura zilizochanganywa na kemikali kama perchlorate, potassium...
  18. gallow bird

    JamiiForums Tanzania Houthi wadai uss truman haifanyi kazi baada ya shambulio la mwanzo

    Mkuu wa houthi,jana,alitoa taarifa ya uss truman kutofanya kazi na kupoteza uongozi wake baada ya shambulio lao la awali dhidi ya meli vita hiyo,jambo lililopelekea marekani kutuma meli nyingine
  19. Inside10

    JamiiForums Tanzania Alichoandika MwanaHistoria Mohamed Said, Baada Tamko La Askofu Rais Wa TEC

    Ni facebook huku akinakili video ya tamko la Askofu Wolfang Pissa Ambaye Pia Ni Rais Wa Baraza La Maaskofu Katoliki Tanzania. -------------------------- ASKOFU ANAIJUA HISTORIA YA KANISA KATOLIKI LINDI TANU ILIPOINGIA SOUTHERN PROVINCE 1955? N miaka mingi sasa toka nilipofika kuliona Kanisa...
  20. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Je nichukue wheel ya pxn v10 baada ya kushidwa bei wheel ya logitech g29

    Habari wakuu Logitech g29 bei yake inakaribia kua mara mbili ya hii pxn v10 maana kwenye box la logitech g29 kuna wheel na pedal tu ukitata kirungu inabidi uongeze kama 250k lakini pxn v10 ndani ya box lake kuna kilakitu
Back
Top Bottom