baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. Sigonella Island

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna ulazima gani wa kumpa mwanamke pesa baada ya tendo

    Kumekua na wimbi la utapeli wa akina dada ambao wanajiweza na wasio jiweza kiuchumi.. Mbinu wanazo tumia akihisi we hauwezi kukosa chochote cha kumpa atakutafuta kwa hila za kujifanya amekumis kwamba umemtenga na ukijaribu kupeana nae ahadi ya kuonana hata ukijifanya unakausha anakuendea hewani...
  2. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali mara baada ya hafla ya uapisho wa Rais Mteule wa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali mara baada ya hafla ya uapisho wa Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah iliyofanyika katika Ikulu ya nchi hiyo Windhoek tarehe 21 Machi, 2025. Mhe. Rais Nandi-Ndaitwah...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Huu ndio ukweli mchungu! Usimba na Uyanga ukiwekwa pembeni, Eng. Hersi anafaa kuwa Rais wa TFF baada ya Karia kumaliza muda wake

    Wakuu Huu ndio ukweli mchungu! Usimba na Uyanga ukiwekwa pembeni, Eng. Hersi anafaa kuwa Rais wa TFF baada ya Karia kumaliza muda wake Eng. Hersi ana sifa na uzoefu mkubwa katika uongozi wa soka, hasa kupitia nafasi yake ndani ya Yanga SC, tangu amechukua nafasi hiyo kubwa katika ngazi ya...
  4. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Kilichonitokea jana baada ya kuamka kula daku saa10, sitakuja kurudia

    Mliofunga kama mimi poleni na mfungo muda si mrefu tunafuturu, tuendelee kuwa wavumilivu. Juzi usiku nilikuwa nimepika futari nikala mida ya nne usiku nikasema ntaamka saa10 kula daku, nikaweka alarm ya saa kumi na nusu, kweli ilivyolia nikaamka kula. Hadi kufikia saa11 nikaingia kulala...
  5. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Baada ya kukosa usingizi nikaona nijisomee kidogo na kuwaza

    Kwa Nini SoMo la bible knowledge liwe kiingereza na dini ya kiislamu liwe kiswahili!? Kwa nni yote yasiwe kiswahili ili kuweka usawa!? Ukiangalia hili SoMo sio gumu sana ila kwa sababu ya lugha linakuwa gumu na kuzuia watoto wengi wa kikristo kulisoma mashuleni huku lile la kiislamu kutokana na...
  6. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waasi wa Houthi waandamana Yemen kupinga shambulizi la Marekani la hivi karibuni

    Maandamano makubwa yalizuka katika miji kadhaa ya Yemen, ikiwemo Sana’a, Saada, Dhamar, Hodeida na Amran, baada ya mashambulizi ya Marekani dhidi ya waasi wa Houthi. Waandamanaji, wengi wakibeba bunduki, visu na Quran, walipaza sauti wakisema, “Kifo kwa Amerika, kifo kwa Israel!” Katika mji...
  7. Webabu

    JamiiForums Tanzania VOA na US AID nyenzo zilizofanya Marekani ionekane taifa kubwa, Trump azifuta baada ya kutoa matokeo hasi

    Moja ya taifa lililofurahia kwa kuvunjwa kwa sauti ya Marekani (VOA) ni China ambayo imesema redio hiyo kwa lugha zote kubwa duniani ilikuwa ni kiwanda cha hadhithi za uongo. Katika hatua za hivi karibuni alizochukua raisi Trump ni kufukuza kazi wafanyakazi wote wa VOA na kuifanya taasisi hiyo...
  8. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Dr Chamuriho nusura aukwae Umakamu baada ya kifo cha Shujaa

    1. Mara baada ya kifo cha Magufuli. Dr Chamuriho (Waziri wakati huo) ndio alitajwa Sana kuwa angekua Makamu ila kama mnavyojua siasa zetu za fitna. 2. Mwamba akanyang'anywa hata uwaziri wenyewe. 2025-2030 itabid arudi kwenye chaki upya kule Jalalani
  9. Now and then

    JamiiForums Tanzania Nilianza kuamini uwepo wa Mungu baada ya kifo cha Magufuli

    Nilianza kuamini uwepo wa Mungu baada ya kifo cha Magufuli. Maana watu walilalamika juu ya utawala mbovu Ila baadae Mungu aliamua kujibu Ahsante Mungu
  10. Lamomy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namtamani nikiwa na hamu naye lakini baada ya hapo namchukia

    Hebu tusaidiane kujua tatizo hili linalonisumbua wapendwa. Nina mwanaume yupo vizuri. (Ana sifa zote za mwanaume) Tatizo linakuja nampenda pindi nikiwa na hamu naye ya kukutana kimwili. Baada ya tendo namchukia namuona wa ajabu inafikia hatua sms zake sijibu wala simu zake sipokei…!! Kila...
  11. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Magaidi wa Houthi huko Yemen usiku kuamkia leo wamechezea kichapo cha mbwa-koko baada ya ndege-vita za Marekani kuwashambulia usiku kucha

    Baada ya Magaidi wa Houth huko Yemen kutishia kuanza kuzishambulia Meli za ki raia zinazopita kwenye bahati nyukundu mara tu Israel ilipozuia misafara ya magari ya misaada kuelekea Gaza usiku wa kuamkia leo Magaidi hao wamechezea kichapo cha mbwa-Koko baada ya ndege-vita za Marekani kuwapa...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania VIDEO: RC Makonda anamtafuta huyu kijana baada ya kuguswa na mapito yake

    RC Makonda anamtafuta huyu kijana baada ya kuguswa na mapito yake, ambapo kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram ameandika; "Maisha yako ya kila siku ni ndoto ya watu wengi sana mtaani. Nimefuatilia historia ya huyu kijana, si tu kwamba inaumiza bali ni uhalisia wa maisha ya vijana wengi, hasa...
  13. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Video: Dodoma Jiji Wasusia mchezo dhidi ya Simba baada ya kuzuiwa mazoezi getini

    Wakuu Siku ya jana Dodoma Jiji walisikika wakisema kesho (ambayo ni leo) hawapeleki timu uwanjani baada ya kuzuiliwa katika geti la Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam kufanya mazoezi ya mwisho. Mchezo wa Dodoma Jiji dhidi ya Simba unapigwa leo Machi 14,2025 saa kumi jioni na itakuwa LIVE...
  14. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Baada ya Vyama vya Ukombozi kuziharibu nchi zao kwa kuingiza siasa kwenye Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Kagame avifundisha nini maana ya Uongozi!

    Kwa wataalam wa masuala ya Ulinzi na Usalama aibu waliyoipata SADC baada ya Mission yao kufeli nchini Congo DRC, sio jambo lililotokea kwa bahati mbaya. Baada ya kuingia siasa za ushindani kusini mwa Bara la Afrika, Vyama vinavyofahamika kama vyama vya ukombozi ambavyo vingi vinatawala nchi za...
  15. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Nimeshtuka sana baada ya kugundua wimbo wa Hunifahamu wa Dully Sykes umetimiza miaka 20, kweli nimezeeka sasa

    Nilikuwa youtube hapa nasikiliza ngoma mbalimbali zilizopendwa. Ukaingia wimbo wa Hunifahamu ulioimbwa na Dully Sykes, mwishoni Dully anataja mwaka 2005 ambao ametoa wimbo huo . Nikashtuka leo ni mwaka 2005 takribani miaka 20 imetimia, hakika sasa mimi ni mzee. Yuko wapi aliyesema uzee...
  16. Webabu

    JamiiForums Tanzania Baada ya kushindikana kuwahamisha wapalestina, Gaza sasa kujengewa uwanja mpya wa ndege

    Jumuiya ya nchi za kiislamu OIC hapo juzi ilipitisha mpango wa kuijenga upya Gaza uliasisiwa na mawaziri wa nchi za kiarabu wiki mbilli zilizopita, Katika mpango huo jumla ya dola za Marekani bilioni 53 zitatumika kufanya ujenzi huo awamu kwa awamu. Miongoni mwa miradi ya ujenzi huo ni pamoja...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya Degree 100 zimefutwa baada ya vyuo 15 kufanya kazi kinyume na Sheria Kenya

    Nimewaza tu kwa sauti kwamba mtu umepigika zako miaka mitatu ya kutafuta digrii alafu unakuja kufutiwa kwamba ni feki. =================================== Tume ya Elimu ya Vyuo Vikuu imetaja vyuo 15 vinavyofanya kazi kinyume cha sheria nchini Kenya na kuwaonya Wakenya kwamba vyeti vya kimasomo...
  18. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Baada ya Liverpool kutolewa jana, leo ni zamu ya Real Madrid kuaga mashindano

    Jana kulikuwa na mechi nzuri sana kati ya Liverpool dhidi ya PSG katika usiku wa Ulaya. Mechi ikaisha kwa PSG kushinda kwa matuta huku wakiubonda sana mpira mwingi. Ikawashtua mashabiki wengi wa soka ambao hawakutarajia kama Liverpool ingeondolewa hasa katika uwanja wake wa nyumbani. Leo ni...
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya kifo, dini, filosofia na sayansi vinasemaje?

    Swali kuhusu "maisha baada ya kifo" ni swali la kifalsafa na kidini ambalo limekuwa likijadiliwa kwa karne nyingi. Jibu linategemea sana imani na msimamo wa kila mtu. Hapa kuna baadhi ya mitazamo kuu: 1. Dini za Kikristo: Zinasisitiza kuwa kuna maisha baada ya kifo, ambapo watu wanaweza kuishi...
  20. ngara23

    JamiiForums Tanzania Zamelek Apewa points 3 na magoli 3 baada ya Ahly kugomea Cairo Derby

    Ahly wamegomea kuleta timu uwanjani kwakuwa FA ya Egypt walikataa ombi la Ahly ya kuleta waamzi kutoka Ulaya Ahly waliwaomba FA ya Egypt ilete waamzi kutoka Ulaya kuchezesha Cairo Derby Kwakuwa Ahly hawana Imani na waamzi wa ndani Lakini wenzao Zamalek walikuwa tayari kuleta timu uwanjani na...
Back
Top Bottom