The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.
https://youtu.be/rVoMmXxnrwc?si=3yJq9L7mgZsH9xe8
Asema:
1. MSIOGOPE. Jaji Hamidu Mwanga ni Jaji wa CCM. Aliwekwa ktk kesi hii kwa maslahi ya CCM. Huyu alikuwa mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) chini ya uenyekiti wa Jecha Jecha iliyofuta matokeo ya ushindi wa CUF ya Maalim Shariff Hamadi...
Hii ya Mwenyekiti wa Bodi ya ligi kuwasilisha barua ya kujiuzulu na kusimamishwa kazi kwa Almas Kasongo ni geresha tu kwa Yanga ili waone hoja zao zimezingatiwa. Ninaamini baada ya game mbili za Yanga Vs Simba na Yanga Vs Singida hao jamaa watarejea kwenye majukumu yao tu.
Nimekaa paleeee
Baada ya Israel kufanya mashambulizi kwenye mji mkuu wa Tehran na watawasilisha siraha za maangamizi kuisadia kutokana na mapatano waliyofanya awali.
AMbapo IRAN alipeleka teknolojia ya drone za Shaheed, na makombora kumsaidia Urusi vita ya Ukraine.
Alienipa taarifa za ndani kabisa, ni...
Kwanza nampongeza Jaji Masaju kwa kuaminiwa na Mhe. Rais na kumteua kuwa Jaji Mkuu mpya wa Tanzania.
Mara baada ya kula kiapo tunashauri aanze na mambo yafuatayo;_
1. Ondoa uonevu na upendeleo ndani ya muhimili wenyewe, jenga umoja na mshikamano. tenda haki kwa watumishi wote bila upendeleo...
Kwa wanawake wengi hujikuta wanapoteza hisia za mapenzi kwa mwanaume ambaye ni mwema sana,mpole sana, mstaarabu,hapendi ugomvi wala migogoro,mwanaume mwenye kuomba msamaha mara kwa mara hata kama makosa amefanya mwanamke,mwanaume mwenye kujitoa mhanga sana kubadilisha maisha ya mwanamke,mwanaume...
Baada wiki iliyopita Dogo Shukuru kumtandika goli 4 kwa michezo 24 waliyocheza dhidi ya Dogo Sisco,
Dogo Shukuru ametamba kumtaka kucheza na Noel Namaloe ila Noel kama kamkimbia dogo kimtindo anataka awekewe dau la milioni moja ndio acheze na dogo Shukuru.
Ikumbukwe wiki chache zilizopita...
Baada ya Mapinduzi ya kiislamu ya mwaka 1979 vijana wa Iran walisema mapinduzi hayatokuwa salama mpaka mtandao wa kijasusi wa CIA ndani ya Iran utunduliwe.
Vijana kwa kufahamu kuwa Msingi mkuu wa ujasusi wa marekani katika nchi nyingi duniani cordination hufanywa katika balozi za nchi hizo, basi...
Haya CRDB wamemwaga mboga Baada ya Ally kamwe kumwaga ugali
TFF na Bodi ya Ligi kuna changamoto Kubwa sana, haya njooni miwape majibu Yanga SC pesa mmepeleka wapi?
Pia soma > Ali Kamwe: Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu uliopita
---
TAARIFA KWA...
baada
bodi
bodi ya ligi
crdb
crdb federation cup
federation
katika
kuhusu
kutoka
ligi
madai
mashindano
msemaji
msemaji wa yanga
msimu
pesa
taarifa
tff
ubingwa
ufafanuzi
umma
yanga
yanga sc
Katika utafiti wangu nimegundua kuwa kwenye maisha ya kujitafuta/utafutaji/kufanya uamuzi, watu wamegawanyika katika makundi matatu.
1. Watu ambao wana kipawa cha kugundua hasara/madhara kabla ya kufanya uamuzi....
Hawa ni watu ambao wanapata majibu ya uamuzi kabla ya kufanya uamuzi. Kwa mfano...
Mwanaume mmoja aitwaye Albert Ojwang alifariki saa chache baada ya kukamatwa na maafisa wa Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) kutokana na chapisho alilodaiwa kuchapisha kwenye mtandao wa kijamii wa X.
Ojwang alikamatwa Jumamosi mchana na polisi katika eneo la Kakot, Kaunti ya Homa Bay...
Ukiwasikiliza hata wanaotoa maoni ya kushauri nini kifanyike utawasikia wakisema Yanga ni kubwa Simba ni kubwa.Hapa tayari ndio mzizi mkuu wa tatizo.
Kama Watu wana hofu kuwa Yanga wakipokwa pointi patachimbika ni nini litaleta utofauti huko siku za usoni iwapo moja ya timu hizi itafikia kupewa...
Serikali ya CCM haipoi na haijawahi kupoa. Ndivyo unavyoweza kusema. Baada ya serikali kulifuta kanisa la Gwajima kwa kuhoji kuhusu utekaji na mauaji yanayoendelea hapa nchini kila kukicha, kanisa la KKKT nalo limeanza kuleta chokochoko kwa kutetea usawa, haki na uwazi kwenye uchaguzi, kutungwa...
Wakuu hii style ambayo CCM wamebuni ya kupakana rangi vidoleni ilianzishwa na Nani?
Ni aibu kubwa Sana kama taifa linaloji nasibu kuwa Lina uchumi wa Kati kuendelea kutumia mbinu ya wakoloni..
Mimi kama mwanaume nakataa hii na siwezi tena kurudia kufanya UJINGA huu wa kupiga kura, nawakumbusha...
Habari
Nimekua na muda mrefu sana pasipo kuhudhuria Misa takatifu ya roman Catholic kulingana na shughuli mbalimbali ambazo nimekua nafanya pengine kukosa muda wa kwenda kanisani kutokana na uchovu wa kazi au mambo mengi ya kidunia.
Lakini baada ya Jana kukaa na kutafakari mambo mengi nikasikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.