baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu: Tutafufua vilivyotelekezwa baada ya kubinafsishwa

  2. W

    JamiiForums Tanzania Samia Suluhu: Tutafufua vilivyotelekezwa baada ya kubinafsishwa

  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuiba uchaguzi ilianza mdogo mdogo kudokoa hawakuanza tu kuua watu kwa siku moja pia na hii ni baada ya kuona vyombo vya usalama ni dhaifu

    Kuiba uchaguzi ilianza mdogo mdogo kudokoa hawakuanza tu kuuwa watu kwa siku moja pia na hii ni baada ya kuona vyombo vya usalama ni dhaifu. Mtu kwasasa anafanya mapinduzi ya nchi kwa kuiba uchaguzi alafu vyombo vya usalama vinajioa akili na kumpigia saluti kuwa ni rais. Wananchi tutachukua...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Wananchi wazika nguo na viatu mara baada ya mwili wa marehemu aliyeuawa na polisi kutopatikana

    Wananchi, wakiwa na huzuni na mshikamano, walizika nguo za marehemu aliyeuawa na polisi baada ya mwili wake kutokupatikana ishara ya kuenzi utu na kupaza sauti ya haki.
  5. JamiiForums Tanzania Frank Olson: Afisa wa CIA aliyekufa baada ya kuonjeshwa sumu yake Mwenyewe

    Wakati vita baridi ikianza kupamba moto miaka ile ya 1950s na 1960s, shirika la kijasusi la CIA lilianzisha program kadhaa zilizohusisha utengenezaji wa silaha za kibayolojia au tuseme silaha za sumu. Silaha hizi za sumu zilijumuisha utengenezaji na utumiaji wa kemikali za kudhibiti akili za...
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Vitu viliyokufa baada ya MO29

    GT Baadhi ya mambo yaliyokufa 1. Vyombo vya habari Tanzania 2. Machawa na uchawa 3. Watu wasiojulikana. 4. Simba na yanga 5. Jina la Lake oil (Loading)
  7. JamiiForums Tanzania Mussa Azzan Zungu awa Spika wa Bunge la 13. Achaguliwa kwa kura 378 kati ya kura 380 halali

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo limefanya uchaguzi wa kumchagua Spika wa Bunge la 13. Kikao hicho kinaendeshwa na Spika wa muda William Lukuvi, akisaidiwa na Katibu wa Bunge Baraka Leonard. Jumla ya Wabunge 383 wanapiga kura. Katika uchaguzi huu tutakumbuka kuwa Spika wa Bunge...
  8. JamiiForums Tanzania Baada ya October 29 tusitarajie Nchi kuwa Sawa tena.

    Naandika huku nikiwa na huzuni kubwa kwa Taifa letu kupoteza nguvu kazi kubwa (vijana), inakadiriwa zaidi ya vijana elfu 20+ waliuawa kwenye kile kilichoitwa Uchaguzi. Itakuwa nikujidanganya kwa kudhani mambo ni shwari kama ilivyokuwa kabla ya hicho kilichoitwa Uchaguzi, ukweli nikwamba Taifa...
  9. JamiiForums Tanzania Viongozi wa upinzani wawe makini baada ya kuachiwa wanaweza wakawa wamepanga wawateke

    Viongozi wa upinzani wawe makini baada ya kuachiwa wanaweza wakawa wamepanga wawateke. Imarisheni ulinzi na muwe na ulinzi wa watu wenye silaha za moto.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Godbless Lema baada ya kupata dhamana

    Kaandika hivi kupitia mtandao wa X: "Kukata tamaa katika kuutafuta wema wa watu ni dhambi mbaya sana ktk maisha ya Binadamu. Kuutafuta wema na haki inapaswa kuwa kusudi la kila mmoja ktk maisha. Matatizo mengi duniani yanasababishwa na watu wema kukaa kimya wakati uovu unashamiri. Mateso kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Je, Tanzania Inaweza Kupata Amani Chini ya Samia? Uchambuzi Mpana Baada ya Oktoba 29

    Tarehe 29 Oktoba 2025 imebaki katika kumbukumbu za Watanzania kama siku iliyogeuza mwelekeo wa taifa na kufichua wazi ukubwa wa mgogoro wa kisiasa uliokuwa ukijengeka kimya kimya kwa miaka kadhaa. Siku hiyo, badala ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu kama ilivyotangazwa, taifa lilishuhudia machafuko...
  12. JamiiForums Tanzania Kipi Kifanyike Nchini Tanzania Baada ya Vurugu za Uchaguzi na Maandamano Yaliyosababisha Vifo?

    Kufuatia vurugu za uchaguzi na maandamano yaliyosababisha vifo nchini Tanzania, hatua madhubuti zinahitajika kuchukuliwa ili kurejesha amani, utulivu, na kuimarisha demokrasia. Hali kama hii mara nyingi huashiria mgogoro wa kisiasa na kijamii unaohitaji mbinu za kina na shirikishi kushughulikia...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Larry Madowo: Nimetumiwa mamia ya video, baada ya wiki kadhaa tutatoa ripoti ya Uchaguzi wa Tanzania

    "Nimetumiwa mamia ya video, nimeongea na watu wengi wakiwemo waandishi wa habari, baada ya wiki kadhaa tutatoa ripoti ya uchaguzi wa TZ." - Larry Madowo
  14. JamiiForums Tanzania Kilichomharibia Rais Samia ni namna alivyoanza baada ya kifo cha Magufuli. Anaweza kurekebisha, anayo nafasi

    Utawala wa awamu ya 5 wa Mh. Magufuli ulijaa futuhi, propaganda na ukatili wa kila aina. Alipambwa na vyombo vyote vya habari kwa hofu kuu. Mpaka wakaiita serikali yake ni serikali ya viwanda ilhali ndiyo serikali iliyoua channel ya ukuaji wa viwanda. Upotevu wa fedha usio wa kawaida ulioonekana...
  15. JamiiForums Tanzania Baada ya kimbunga Melissa kuichakaza Jamaica nimefundua watu wengi wa jamaica wanaakili kama za watu wa Arusha

    Hawaongei kwa utulivu. Wanaonekana ni wavuta bangi kuanzia vijana na wazee. Hata wanawake pia ni kama mental case.
  16. M

    JamiiForums Tanzania ushindi wa vita ya Kagera hauna thamani tena kama ni kweli waganda tuliowahi kuwapiga vitani na wenye visasi walipewa nafasi kumwaga damu

    ni kosa kubwa sana kumleta adui uliewahi kumtwanga aje kusimamia ulinzi hata kwa siku 1 tu, Ni kosa kubwa sana.
  17. JamiiForums Tanzania "Umkhonto we Sizwe" (MK) ilianzishwa na kina Mandela baada ya mauaji ya watu wachache kuliko waliouawa kwenye MO29

    Fuatilia historia ya Afrika Kusini na harakati zao za kutokomeza ubaguzi wa rangi. Kuna kitu walikianzisha kinaitwa "Umkhonto we Sizwe". Hii ni project maalumu iliyoanzishwa baada ya mauaji yanayojulikana kama "Sharpeville Massacre" yaliyotokea March 21, 1960 baada ya serikali kutumia nguvu...
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mnyika, Japo Uchaguzi Sio Huru, Wa Haki na Halali, lakini Usimwite Rais Haramu!. Baada ya Kuapishwa ni Rais Halali Kisheria japo Sio Ki Haki!

    Wanabodi, Tanzania tuna changamoto kubwa sana ya kutafsiri sheria, kuna tofauti kubwa kati ya uhalali wa kisheria na haki ni vitu viwili tofauti. Mimi japo ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitegemea kwa kujitolea, ila pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, ila sio wakili wa...
  19. JamiiForums Tanzania Sasa naelewa Kwanini baadhi ya askari wa Israeli ujiua baada ya vita vya Gaza

    Kwa niliyo shuhudia toka 29 Oktoba mpaka leo sasa naelewa kwa nini baadhi ya askari wa Israel hujiua baada ya vita hasa vya Gaza. Aisee kilicho tokea nchini ni unyama uliopitiliza ambao nimeshuhudia mpaka sasa sipo sawa. Nawaza kuhusu askari walioshiriki unyama ule hali zao kiafya hasa kiakili...
  20. JamiiForums Tanzania Chama hiki kimekufa rasmi baada ya kujiingiza kwenye mbinu za kigaidi kuisaka Ikulu

    Kimepoteza muelekeo baada ya kuingia kwenye mtego wa kutumiwa kama chama cha uhanaharakati na ugaidi dhidi ya Serikali. Iwapo kingejikita na dhana ya kujijenga na ushawishi wa seta mbadala basi ipo siku kingechukua dola. Uroho wa madaraka umekifanya kuonekana kuwa chama mamluki na hatarishi kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…