baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Godbless Lema baada ya kupata dhamana

    Kaandika hivi kupitia mtandao wa X: "Kukata tamaa katika kuutafuta wema wa watu ni dhambi mbaya sana ktk maisha ya Binadamu. Kuutafuta wema na haki inapaswa kuwa kusudi la kila mmoja ktk maisha. Matatizo mengi duniani yanasababishwa na watu wema kukaa kimya wakati uovu unashamiri. Mateso kwa...
  2. uhuruborn

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania Inaweza Kupata Amani Chini ya Samia? Uchambuzi Mpana Baada ya Oktoba 29

    Tarehe 29 Oktoba 2025 imebaki katika kumbukumbu za Watanzania kama siku iliyogeuza mwelekeo wa taifa na kufichua wazi ukubwa wa mgogoro wa kisiasa uliokuwa ukijengeka kimya kimya kwa miaka kadhaa. Siku hiyo, badala ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu kama ilivyotangazwa, taifa lilishuhudia machafuko...
  3. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Kipi Kifanyike Nchini Tanzania Baada ya Vurugu za Uchaguzi na Maandamano Yaliyosababisha Vifo?

    Kufuatia vurugu za uchaguzi na maandamano yaliyosababisha vifo nchini Tanzania, hatua madhubuti zinahitajika kuchukuliwa ili kurejesha amani, utulivu, na kuimarisha demokrasia. Hali kama hii mara nyingi huashiria mgogoro wa kisiasa na kijamii unaohitaji mbinu za kina na shirikishi kushughulikia...
  4. Common Folk

    JamiiForums Tanzania GE2025 Larry Madowo: Nimetumiwa mamia ya video, baada ya wiki kadhaa tutatoa ripoti ya Uchaguzi wa Tanzania

    "Nimetumiwa mamia ya video, nimeongea na watu wengi wakiwemo waandishi wa habari, baada ya wiki kadhaa tutatoa ripoti ya uchaguzi wa TZ." - Larry Madowo
  5. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kilichomharibia Rais Samia ni namna alivyoanza baada ya kifo cha Magufuli. Anaweza kurekebisha, anayo nafasi

    Utawala wa awamu ya 5 wa Mh. Magufuli ulijaa futuhi, propaganda na ukatili wa kila aina. Alipambwa na vyombo vyote vya habari kwa hofu kuu. Mpaka wakaiita serikali yake ni serikali ya viwanda ilhali ndiyo serikali iliyoua channel ya ukuaji wa viwanda. Upotevu wa fedha usio wa kawaida ulioonekana...
  6. Ziroseventytwo

    JamiiForums Tanzania Baada ya kimbunga Melissa kuichakaza Jamaica nimefundua watu wengi wa jamaica wanaakili kama za watu wa Arusha

    Hawaongei kwa utulivu. Wanaonekana ni wavuta bangi kuanzia vijana na wazee. Hata wanawake pia ni kama mental case.
  7. M

    JamiiForums Tanzania ushindi wa vita ya Kagera hauna thamani tena kama ni kweli waganda tuliowahi kuwapiga vitani na wenye visasi walipewa nafasi kumwaga damu

    ni kosa kubwa sana kumleta adui uliewahi kumtwanga aje kusimamia ulinzi hata kwa siku 1 tu, Ni kosa kubwa sana.
  8. Keynez

    JamiiForums Tanzania "Umkhonto we Sizwe" (MK) ilianzishwa na kina Mandela baada ya mauaji ya watu wachache kuliko waliouawa kwenye MO29

    Fuatilia historia ya Afrika Kusini na harakati zao za kutokomeza ubaguzi wa rangi. Kuna kitu walikianzisha kinaitwa "Umkhonto we Sizwe". Hii ni project maalumu iliyoanzishwa baada ya mauaji yanayojulikana kama "Sharpeville Massacre" yaliyotokea March 21, 1960 baada ya serikali kutumia nguvu...
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mnyika, Japo Uchaguzi Sio Huru, Wa Haki na Halali, lakini Usimwite Rais Haramu!. Baada ya Kuapishwa ni Rais Halali Kisheria japo Sio Ki Haki!

    Wanabodi, Tanzania tuna changamoto kubwa sana ya kutafsiri sheria, kuna tofauti kubwa kati ya uhalali wa kisheria na haki ni vitu viwili tofauti. Mimi japo ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitegemea kwa kujitolea, ila pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, ila sio wakili wa...
  10. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Sasa naelewa Kwanini baadhi ya askari wa Israeli ujiua baada ya vita vya Gaza

    Kwa niliyo shuhudia toka 29 Oktoba mpaka leo sasa naelewa kwa nini baadhi ya askari wa Israel hujiua baada ya vita hasa vya Gaza. Aisee kilicho tokea nchini ni unyama uliopitiliza ambao nimeshuhudia mpaka sasa sipo sawa. Nawaza kuhusu askari walioshiriki unyama ule hali zao kiafya hasa kiakili...
  11. funaku

    JamiiForums Tanzania Chama hiki kimekufa rasmi baada ya kujiingiza kwenye mbinu za kigaidi kuisaka Ikulu

    Kimepoteza muelekeo baada ya kuingia kwenye mtego wa kutumiwa kama chama cha uhanaharakati na ugaidi dhidi ya Serikali. Iwapo kingejikita na dhana ya kujijenga na ushawishi wa seta mbadala basi ipo siku kingechukua dola. Uroho wa madaraka umekifanya kuonekana kuwa chama mamluki na hatarishi kwa...
  12. figganigga

    JamiiForums Tanzania Waliokuwa naropoka eti haziwahusu, baada ya maandamano wamejua kwamba siasa inawahusu

    Kuna watu unawambia tetea Demokrasia au katiba mpya, Aanajibu Siasa hazimhusu. Eti "NISHINDWE KWENDA KUTAFUTA HELA NIPOTEZE MUDA KWE NYE SIASA?. Sasa siasa ilicchemka kidogo hakuna alliyetoka nje wala kuingia.. Kila mtu amepambana kivyake. Sasa nadhani tukisema siasa ni ubai siasa ni...
  13. majumba 6

    JamiiForums Tanzania Baada ya mtandao kufunguliwa maneno ya REST IN PEACE yametapakaa kwenye mtandao yote ya kijamii

    Pumzikeni Kwa Amani vijana wote mliotangulia mbele ya haki. Hakika vita mmeipiga na mwendo mmeumaliza..R.I.P ALL
  14. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Redcross baada ya mafanikio waja na mpango kazi mpya

    Miye sijui kwa kweli! Watu wataona meno na wamedhamiria. Niko bwejuu najificha walahi sijui. Redcross wasema wameshinda. Wanasema hiyo ilikuwa awamu ya kwanza. Kumerauka! Zamu yao..... Mwendo wa milio. Na bado. Naye nye nyie
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Hofu kubwa zaidi ni CCM kufanikiwa kubaki madarakani baada ya hizi vurumai, itageuka hayawani katili zaidi. Tujipange!

    CCM ikifanikiwa kubaki madarakani kwa uchaguzi huu wa kiinamacho ulioharibika na baada ya machufuko yaliyotokea hali ya ukandamizaji itakuwa mbaya zaidi, nchi itaingia kwenye udikteta mbaya zaidi utakaorasimishwa kwa sheria mbaya zaidi za bunge la chama kimoja. CHADEMA itafutwa rasmi, viongozi...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Jeshi chukueni nchi na CCM ivunjwe na ijiunde upya baada ya Katiba

    Jeshi chukueni nchi na CCM ivujwe na ijiunde upya baada ya katiba. Stadium zote zirudishwe kwa serikali kuu na Chama kiundwe upya lakini hii CCM ya sasa ambayo ndiyo imesababisha kuchomwa kwa hii nchi kote ni lazima iwajibike na kufutwa na jeshi. Mateso yote yameletwa na CCM
  17. M

    JamiiForums Tanzania Sisi vijana wa Nyerere tunafahamu maana ya Kufanya regime change kila baada ya miaka 10

    Iwe ndani ya CCM, au kwa Tanzania yote miaka 10 lazima Oil chafu imwage, hata kwa mbinu za Kivita. Wana CCM anzeni sasa kutoka, kukiokoa chama chenu kutoka mikomononi mwa wana mtandao ¡Hasta la victoria siempre!
  18. L

    JamiiForums Tanzania Huyu Hapa Rais Samia akizungumza Na Waandishi wa Habari Baada ya Kupiga Kura Chamwino Dodoma.

    Ndugu zangu Watanzania, Huyu Hapa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge akizungumza na...
  19. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Ratiba kesho ni baada ya adhana kazi ianze

    Hayawi hayawi yamekua. Udugu kesho ndio ile siku yetu. Tumesikia wakibweka siye yetu vitendo. Wanasema wao ni zirail. Siye twataka tuone kesho watavuta roho ngapi. Tutaanza baada ya swala alfajiri. Kama ilivyopangwa. Mpaka sasa hawajui nini kinaenda kutokea. Hiyo ni nusu ya ushindi. Siku kumi...
  20. D

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baada ya Mkutano wa Mwanza leo, Samia atakimbilia zake Kizimkazi kujificha

    Baada ya kumwaga petrol ya kutosha kila eneo Tanganyika, na baada ya mkutano usio na maana yoyote (empty pleasure) kule mwanza, Bi.Nwyinwyi na familia yake yote wataelekea zao Zanzibar na Dubai kujificha. Hatajipigia hiyo kura yake Dodoma wala Dar es Salaam. Shida za Bara hazimhusu mjue Atakaa...
Back
Top Bottom