baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Redcross baada ya mafanikio waja na mpango kazi mpya

    Miye sijui kwa kweli! Watu wataona meno na wamedhamiria. Niko bwejuu najificha walahi sijui. Redcross wasema wameshinda. Wanasema hiyo ilikuwa awamu ya kwanza. Kumerauka! Zamu yao..... Mwendo wa milio. Na bado. Naye nye nyie
  2. JamiiForums Tanzania Hofu kubwa zaidi ni CCM kufanikiwa kubaki madarakani baada ya hizi vurumai, itageuka hayawani katili zaidi. Tujipange!

    CCM ikifanikiwa kubaki madarakani kwa uchaguzi huu wa kiinamacho ulioharibika na baada ya machufuko yaliyotokea hali ya ukandamizaji itakuwa mbaya zaidi, nchi itaingia kwenye udikteta mbaya zaidi utakaorasimishwa kwa sheria mbaya zaidi za bunge la chama kimoja. CHADEMA itafutwa rasmi, viongozi...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Jeshi chukueni nchi na CCM ivunjwe na ijiunde upya baada ya Katiba

    Jeshi chukueni nchi na CCM ivujwe na ijiunde upya baada ya katiba. Stadium zote zirudishwe kwa serikali kuu na Chama kiundwe upya lakini hii CCM ya sasa ambayo ndiyo imesababisha kuchomwa kwa hii nchi kote ni lazima iwajibike na kufutwa na jeshi. Mateso yote yameletwa na CCM
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sisi vijana wa Nyerere tunafahamu maana ya Kufanya regime change kila baada ya miaka 10

    Iwe ndani ya CCM, au kwa Tanzania yote miaka 10 lazima Oil chafu imwage, hata kwa mbinu za Kivita. Wana CCM anzeni sasa kutoka, kukiokoa chama chenu kutoka mikomononi mwa wana mtandao ¡Hasta la victoria siempre!
  5. L

    JamiiForums Tanzania Huyu Hapa Rais Samia akizungumza Na Waandishi wa Habari Baada ya Kupiga Kura Chamwino Dodoma.

    Ndugu zangu Watanzania, Huyu Hapa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge akizungumza na...
  6. JamiiForums Tanzania Ratiba kesho ni baada ya adhana kazi ianze

    Hayawi hayawi yamekua. Udugu kesho ndio ile siku yetu. Tumesikia wakibweka siye yetu vitendo. Wanasema wao ni zirail. Siye twataka tuone kesho watavuta roho ngapi. Tutaanza baada ya swala alfajiri. Kama ilivyopangwa. Mpaka sasa hawajui nini kinaenda kutokea. Hiyo ni nusu ya ushindi. Siku kumi...
  7. D

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baada ya Mkutano wa Mwanza leo, Samia atakimbilia zake Kizimkazi kujificha

    Baada ya kumwaga petrol ya kutosha kila eneo Tanganyika, na baada ya mkutano usio na maana yoyote (empty pleasure) kule mwanza, Bi.Nwyinwyi na familia yake yote wataelekea zao Zanzibar na Dubai kujificha. Hatajipigia hiyo kura yake Dodoma wala Dar es Salaam. Shida za Bara hazimhusu mjue Atakaa...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania Inahitaji Ujasiri Mpya: Kwa Nini Wakati Umefika wa CCM Kuachia Madaraka kwa Amani. Je ni baada au kabla ya uchaguzi?

    Kuna wakati katika historia ya taifa ambapo wananchi hawana budi kuamka, kujiuliza, na kusema kwa sauti moja: “Inatosha!” Tanzania iko katika kipindi hicho sasa: Kwa zaidi ya nusu karne, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekuwa dira, mzigo, na wakati mwingine kizuizi cha maendeleo ya kweli ya taifa...
  9. JamiiForums Tanzania TB Joshua alipita Tanzania kumpoza Lowasa baada ya kushindwa uchaguzi 2015

    Mnakumbuka jinsi TB Joshua alipokuja Tanganyika kumpoza Mzee wa kuzungusha mikono hewani. Baada ya kupigwa tukio
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nikinywa maji lita3 ndani ya nusu saa, mkojo napata baada ya masaa2 mkojo mweupee

    Habari wakuu nashida ya kupata mkojo nanikisema ninywe maji labda lita 3,nazinywa ndani ya nusu saa ila mkojo napata baada ya saa moja nanusu. Nkipata tu mkojo mkojo wakwanza utakao toka unatoka ule mweupeee kama maji nautaendelea hivo Hadi kutimiza mkojo wa lita1.5 Je wakuu kunatatizo hapa ama
  11. JamiiForums Tanzania Tuwapongeze TRC kwa uwezo wa kurejesha huduma baada ya ajali

    Kwa moyo wa dhati nawapongeza sana Uongozi na watumishi wa TRC kwa weledi wa hali ya juu. Baada ya ajali ya treni yetu pendwa ya mwendokasi nilitegemea ingechukua kama wiki hivi ili huduma ziweze kurejea lakini kwa maandalizi na utayari wao wa kipekee ajali hii haikuweza kuathiri uendelevu wa...
  12. JamiiForums Tanzania Baada ya Jeshi kumaliza kazi Oktoba 29 yafanyike haya

    1. Kusitisha utawala wote wa kikatiba na kuanzisha utawala wa mpito wa kijeshi na wananchi. Zoezi hili litahusisha na kusimamisha Taasisi za TAKUKURU, TISS na majukumu yao kufanya na Idara za Ujasusi za Jeshi. 2. Kuundwa Baraza la Uongozi la Kitaifa litakaloundwa na Maofisa wa Kijeshi pamoja na...
  13. JamiiForums Tanzania Baada ya kutengana na mwanamke nimeota ndoto mbaya

    Hii ndoto nimeiota saa nane usiku na usingizi ukayeyuka kabisa Ni mwezi mmoja sasa unaishia toka ameenda kwao mpaka sasa hajarudi Kisa cha kutorudi ni kwasababu wakati anaondoka nilimwambia asiende hivo nikakuta ameenda kwao kulikuwa na sherehe. Lengo ilikuwa sio kumzuia lengo nilikuwa tu...
  14. JamiiForums Tanzania Video: Mama huyu apigwa hadharani baada ya kugombania eneo la biashara na kudaiwa alipe fidia

    Huyu mama anayepigwa hapo inadaiwa alipanga biashara yake mahali siyo pake. Mwenye eneo alikuja, akashika biashara ya huyu Mama na akaanza kumpiga akidai alipwe fidia, mpaka msamaria mwema alipomuomba amwache tu. Wenye kujua sheria msaidieni huyu mama jamani apate haki, kunyanyaswa hivi siyo...
  15. JamiiForums Tanzania Buyobe: Kamishna wa ardhi Dar hakutakiwa kubaki ofisini baada ya hili alilotamka RC Chalamila

    Kupitia Ukurasa wake wa X (Twitter), Fortunatus Buyobe ameitag taarifa ya SwahiliTimes kuhusu Mjane kurejeshewa umiliki wa nyumba aliyoilalamikia hivi karibuni, kisha Buyobe akaandika: Kamishna wa ardhi mkoa wa Dar es Salaam hakutakiwa kubaki ofisini baada ya hili. Huyo aliyekuwa anamtoa...
  16. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kwanini wanawake hung'ang'ania kubaki na watoto baada ya mahusiano kuvunjika?.

    Kwa kipindi cha mda mrefu nimekuwa nikisikia na kushuhudia kesi zinazohusu ukwepaji wa matunzo kwa watoto zikiwakabili wanaume baada ya kutengana na wapenzi wao waliojaaliwa kupata mtoto au watoto pamoja. Wiki mbili zilizopita nilikutana na classmate wangu mmoja, bi dada flani hivi mwenye...
  17. JamiiForums Tanzania Changamoto gani ulikutana nayo baada ya kumpokea ndugu au rafiki kutoka mkoani

    Hi Wakazi wa dar ni changamoto Gani ulikutana nayo baada ya kumpokea rafiki, ndugu, jamaa na kukuomba umsindikize au umtembeze mjini Wa mkoani wengi wakifika dar wanataka kwenda kitambaa cheupe na kariakooo Tuje kwa hawa wanaomba kwenda kariakoo wana kuwaga wajuaji sana huyu aliomba...
  18. JamiiForums Tanzania Namuonea huruma sana Samia ameamua kukaa upande wa walaghai na wanafiki, watamgeuka soon tu baada ya uchaguzi

    Habari za muda wakuu.. Sioni Mama Samia akiwa na amani tena katika majukumu yake baada ya uchaguzi. Watu alioamua kuwasikiliza ni walaghai na wanafki pro max. Soon baada ya pilika za uchaguzi kuisha na akishaapizwa na wabunge wakiapishwa ndio ataanza kuona rangi zao halisi watamruka hadharani...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Mssada: Gearbox leakage hata baada ya kubadili seal

    Wadau salam. Poleni na shughuli za kulijenga taifa. Nina Suzuki Swift 2008 gearbox ni CVT. Nimebadili gearbox,seal ya kwenye pump pale mbele ikawa inavuja.Tukaibadili tena kama mara tatu lakini bado inavuja. Maoni yamekuwa mengi. Moja,naambiwa pump imekufa.Na naambiwa kufa kwa pump ni bush...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Baada ya Maandamano, Rais atakuwa Mange Kimambi?

    Hebu muwe serious jamani prominent figure ni nani ambaye mtamkabidhi nchi baada ya mama yetu msikivu, mwenye utu na asiye na makandokando kurudi Kizimkazi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…