azindua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mavunde Azindua Ujenzi Jengo la Mapumziko Hospitali ya Mkoa wa Dodoma

    MBUNGE MAVUNDE AZINDUA UJENZI JENGO LA MAPUMZIKO HOSPITALI YA MKOA WA DODOMA DODOMA MBUNGE wa Jimbo la Dodoma mjini, Mh. Anthony Mavunde amezindua ujenzi wa jengo la mapumziko la wananchi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma na kusema kuwa ujenzi huo ni sehemu ya utatuzi wa changamoto...
  2. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania RC Babu azindua Msimu wa 5 Kahawa Festival na kutoa neno

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Nurdin Babu amezindua msimu wa tano wa Tamasha la Kahawa(Kahawa Festival) na kutoa wito kwa wananchi kujikita kwenye uzalishaji wa zao la Kahawa. Amesema zao la Kahawa lilichangia kwa kiwango kikubwa kufanikisha maendeleo ya mkoa ikiwamo kuwa na shule nyingi za...
  3. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Katambi azindua Kamati ya kuratibu uhamaji nguvu kazi

    KAMATI YA KURATIBU UHAMAJI NGUVUKAZI YAZINDULIWA Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu -Kazi,Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe.Patrobas Katambi amezindua Kamati ya Kitaifa ya Wataalamu itakayoratibu Mradi wa Uhamaji Nguvukazi ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki na Pembe ya Afrika. Mhe...
  4. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan azindua Jengo la kisasa la Ofisi za Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi

    HABARI PICHA: Matukio mbalimbali wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Jengo la Ofisi la Jeshi la Polisi Mkoani Katavi. Jengo hilo litakuwa linatumiwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi pamoja watendaji wake wote walio chini yake ndani ya Mkoa...
  5. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu kiongozi wa Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar azindua mtandao wa Tshrmnet

    KATIBU MKUU KIONGOZI WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR AZINDUA MTANDAO WA TPSHRMNET. Na Prisca Libaga, Arusha. Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Zena Said amezindua rasmi mtandao wa mameneja rasilimali watu katika utumishi wa umma barani Afrika ,Tawi la Tanzania...
  6. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwinyi azindua fursa za uchimbaji mafuta na gesi Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali inapenda kuzialika kampuni zote za utafutaji na uchimbaji wa mafuta na gesi kushiriki katika Duru ya kwanza . Rais Dkt. Mwinyi amewakikishia wawekezaji wote wa sekta ya mafuta na gesi kuwa...
  7. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Waziri Kairuki azindua vitendea kazi vya doria misituni vyenye thamani ya shilingi bilioni 6

    • Asisitiza lengo ni kuboresha utendaji kazi Na Happiness Shayo- Dar es Salaam Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amezindua vitendea kazi vya doria misituni vyenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 6, huku akiwataka Maafisa na Askari Uhifadhi kutumia vifaa hivyo kwa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Queen Sendiga ameongoza zoezi la Ugawaji wa misaada

    Mkuu Mkoa wa Manyara Mhe Queen Sendiga ameongoza zoezi la Ugawaji wa misaada kwa kundi la wafanyabiashara wa Soko Kuu Katesh na wa mazao mbalimbali waliothirika na Maporomoko ya Matope yaliyotokea Desemba 03, 2023 na kuharibu mali zao pamoja na eneo lote la biashara hiyo. Akikabidhi misaada...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 DC Rungwe azindua Zahanati ya Ilenge, aonya wanaokiuka maadili ya kazi

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amezindua Zahanati ya Ilenge iliyopo katika Kata ya Kyimo ikiwa ni mwendelezo wa kuhakikisha Wananchi wanapata huduma ya afya karibu na Makazi yao, Januari 5, 2024. Akizindua Zahanati hii, Haniu amewashukuru Wananchi kwa ushirikiano waliouonesha katika...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DC wa Rungwe azindua zoezi la ugawaji wa Vitambulisho vya NIDA, asema vitambulisho 69,638 vitatolewa

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amezindua zoezi la ugawaji wa Vitambulisho Taifa (NIDA), leo Desemba 5, 2023 ambapo uzinduzi umefanyika katika Kata ya Kyimo, Tarafa ya Ukukwe. DC Haniu ameeleza kuwa jumla ya vitambulisho 69,638 vitatolewa kwa Wakazi wa Wilaya ya Rungwe huku Kata ya Kyimo...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mahawanga azindua Jukwaa la Wanawake kata ya Ndugumbi na kusisitiza ushirikiano

    MBUNGE MAHAWANGA AZINDUA JUKWAA LA WANAWAKE KATA YA NDUGUMBI NA KUSISITIZA USHIRIKIANO. Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Mahawanga Janeth amezindua Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi katika Kata ya Ndugumbi Wilaya ya Kinondoni ikiwa ni muendelezo wa kufanya ziara ya kukutana...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Geofrrey Mwambe Azindua Zahanati Matawale

    MBUNGE GEOFFREY MWAMBE AZINDUA ZAHANATI MATAWALE • Imegharimu Milioni 200 • Wananchi wampongeza Mbunge wa Jimbo la Masasi Mjini Mheshimiwa Geoffrey Mwambe, leo amezindua zahanati mpya katika kijiji cha Matawale kata ya Matawale. Ujenzi wa zahanati hiyo umegharimu TZS. 200,000,000/= (Milioni...
  13. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Naibu waziri Ridhiwani Kikwete azindua usambazaji wa mifumo kuboresha uwajibikaji kazini

    Uzinduzi wa Zoezi la Usambazaji wa mfumo wa kutathmini na kuhakiki utendaji wa kazi wa Watumishi na Taasisi yaani PEPMIS/ PIPMIS NA HR Assessment limefanyika mapema tarehe 20 Novemba 2023 katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa, mjini Iringa. Akizungumza wakati anazindua mpango huo wa usambazaji...
  14. benzemah

    JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko azindua kituo cha kisasa cha kujazia gesi asilia kwenye magari (CNG)

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko leo amezindua kituo cha kwanza cha kisasa cha kujazia gesi asilia kwenye magari na karakana ya kuweka mfumo wa gesi asilia ikiwa ni muendelezo wa utekelezaji wa mipango ya Serikali kuchochea matumizi ya gesi asilia kama nishati safi na...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama Azindua Muongozo wa Uwekezaji Mkoa wa Manyara.

    Waziri Mhagama Azindua Muongozo wa Uwekezaji Mkoa wa Manyara. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama ametoa wito kwa watendaji wa Serikali; kujipanga na kuhakikisha Muongozo wa uwekezaji kwa Mkoa Manyara unawafikia wananchi wote ili kufanya kazi kwa...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Sagini azindua mfumo wa Kidigitali wa URA Mobile Money

    Jeshi la Polisi nchini limezindua Mfumo wa kidijitali wa huduma za kifedha uitwao (URA MOBILE MONEY) utakaotumika na Viongozi pia Wanachama wa URA SACCOS katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Jijini Dar es Salaam Leo Septemba 30, 2023. Akizungumza katika hafla fupi ya Uzinduzi wa Mfumo huo Mgeni...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Sagini Azindua Shule ya Sekondari Kirumi

    NAIBU WAZIRI SAGINI AZINDUA SHULE YA SEKONDARI KIRUMI Wanafunzi Kijiji cha Kirumi Kata ya Bukabwa katika Wilaya ya Butiama Mkoani Mara wamepunguziwa mwendo baada ukamilishaji wa Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Kirumi iliyoanza kujengwa tangu mwaka 2003 kwa nguvu za Wananchi ambayo ilikuwa...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania DC Ludewa azindua Kituo cha Afya na Zahanati

    DC LUDEWA AZINDUA KITUO CHA AFYA NA ZAHANATI Na. Damian Kunambi, Njombe. Mkuu wa wilaya ya Ludewa Victoria Mwanziva amezindua kituo cha afya Mundindi kilichogharimu kiasi cha zaidi ya sh. Mil. 500 ambapo uzinduzi wa kituo hicho uliambatana na mapokezi ya vifaa tiba vvyenye thamani ya sh. Mil...
  19. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro Azindua Bodi Mbili, Azipa Jukumu la Kuongeza Mapato

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amezindua Bodi ya Hakimiliki Tanzania (COSOSTA) na Bodi ya Bodi ya Filamu Tanzania na kuwataka Wajumbe wa Bodi hizo kuhakikisha sekta ya Sanaa inatoa ajira za kutosha na wananchi wanafaidi matunda ya kazi zao. Waziri Dkt. Ndumbaro...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Uchukuzi, Prof. Mbarawa azindua Bodi Mpya ya Wakurugenzi TRC

    Shirika la Reli Tanzania - TRC imefanya hafla fupi ya uzinduzi wa Bodi mpya ya wakurugenzi iliyoongozwa na mgeni rasmi Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa iliyofanyika katika jengo la stesheni ya SGR lililopo jijini Dar es Salam Septemba 11, 2023. Bodi mpya iliyozinduliwa ni pamoja na...
Back
Top Bottom