azam

  1. Boutafrica

    JamiiForums Tanzania Ibenge ndani ya Azam, ligi kuu itakuwa na moto sana

    Kazi ipo msimu ujao,ligi inaenda Kuwa ya moto haswa,niwaombe timu yangu ya Simba tuacha masihara Kabisa Kuanzia Sasa tuendako ni machozi jasho na damu...watu hawataki masikhara Kabisa sshv.
  2. uran

    JamiiForums Tanzania Florent Ibenge kocha Mpya Azam FC

  3. S

    JamiiForums Tanzania Nazi za Azam na GSM zinatoka nje ya nchi, za kwetu hazitoshi au?

    Hello, niende moja kwa moja kwenye mada. Katika kutazama kwangu nimeona nazi za pakiti zinazouzwa hapa nchini mfano zile za Azam na GSM, zinatoka nje ya nchi na hao kina Azam wanafanya kazi ya usambazaji pekee. Hilo limenifikirisha sana kwa sababu Tanzania inaongoza hapa Afrika kwa uzalishaji...
  4. Dabil

    JamiiForums Tanzania Derby ya Simba na Yanga ife rasmi, iwe Yanga na Azam

    Hongereni watani, hatuna kisingizio chochote mmetufunga kihalali. Michezo 5 mfululizo Simba tunanyukwa,ni tofauti kwa Azam na Yanga, Simba hawana ubabe tena mbele ya Yanga tuwaweke kando kwenye derby iwe Azam na Yanga Derby huwa mmoja hata awe dhaifu anakaza ila siyo kufungwa mara 5...
  5. ommytk

    JamiiForums Tanzania Azam wafanya maisha kigamboni kuwa mepesi sana

    Hongera sana kwa wizara husika na mwekezaji azam yaani umefanya maisha kigamboni kuwa mepesi sana tulipitia kipindi kigumu sana nahisi sasa ni wakati wa BRT kuangalia hili la uwekazaji wa azam waliofanga hapa kigamboni mtu unasikia Ata raha sasa kuishi kigamboni BRT ebu fanyeni tathmini...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Azam imekamilisha usajili wa kocha Florent Ibenge aliyekuwa anaifundisha Al Hilal

    Klabu ya Azam imekamilisha usajili wa kocha Florent Ibenge ambaye alikuwa anaifundisha klabu ya Al Hilal ya Sudan. Kilichosalia ni utambulisho rasmi tu. Azam inaendelea kujitafuta ili ifikie malengo ya kutwaa ubingwa wa Ligi kuu kandanda Tanzania Bara, kwa kufanya sajili kubwa msimu huu.
  7. Adolph Jr

    JamiiForums Tanzania Kwani Azam media mnaundugu na Iran au Israel?

    Yaani nawasha tv kuangalia jinsi Mu-Israel na Mu-Iraq wanavyochapana jibu ni NO SIGNAL Kwani nyie vita vyao vinawahusu Nini kukata channel dadeki 😔😔😔
  8. Just Pray

    JamiiForums Tanzania AZAM TV washinda kesi, wataendelea kuonesha vitasa

    Mahakama Kuu ya Tanzania imeipa ushindi Azam Media dhidi ya Bondia, Amos Mwamakula aliyetakiwa kulipwa fidia ya Tsh. milioni 250 baada ya kushinda kesi ya uvunjifu wa haki miliki ya wazo lake ambayo ilitolewa na Mahakama ya Kivukoni. Ushindi huo wa Azam unakuja baada ya kukata rufaa kupinga...
  9. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Hili tangazo la Azam TV fainali ya 2 CAFCC limekosa uhalisia

    Tangazo ulitengenezwa kabla ya Mechi ya mkondo wa Kwanza May 17, 2025 shabiki akijigamba Morocco Kwa tutampiga na Kwa Mkapa hatoki Mtu. Sasa kwao Berkane kashinda na Mechi haiko Kwa Mkapa lakini linaendelea kutolewa siku Hadi siku. Huu ni ukosefu wa ubunifu.
  10. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Sio Yanga tu Azam nao wanakuja, hiki kikombe Karia na wenzio lazima mkinywe mkitapike...

    Muda si mrefu Azam nao wamejiandaa kutopeleka timu yao kuonyesha mpira 15 jun Mpaka walipwe hasara walizotumia tar 8 Sasa bodi ya ligi a Karia wenu Nendeni mkajipange na hawa wapangieni ratiba kama mlivyojichanganya Kazi iendeleeee
  11. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Azam Media Kutopeleka Vifaa vya matangazo tarehe 15.06.2025

    Inasemekana wameandaa barua kuidai fidia bodi ya ligi kwa hasara waliyopata tarehe 8 na endapo bodi itashindwa kulipa fidia ndani ya siku 7 basi mechi namba 184 kati ya Yanga na Simba haitarushwa.
  12. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Huenda Azam anaweza kabisa ku dominate ligi yetu ila anahofia kuharibu biashara zake

    Naangalia hapa mechi ya Azam na Dodoma inaonekana Azam anajua "kucheza"na kupata ushindi mnono ila anahofia endapo atacheza kama Simba na Yanga ataharibu biashara yake ambapo watu hawataona sababu ya kununua ving'amuzi vyake Itakumbukwa kuwa ligi kuu (Simba na Yanga ) ndio bidhaa kubwa zaidi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje Mbeya City inakuwa na mashabiki wengi kuliko Azam na Singida?

    Nimekuwa nikufuatilia uchezaji wa Mbeya City na mechi zao uwanjani. Kinachoshangaza ni uwingi wa mashabiki wanaojitokeza uwanjani kuangalia mechi zao ukilinganisha na hawa Azam na singida ambao uwekezaji wao mkubwa kuliko mbeya City. Je, ni hulka ya watu wa mbeya kupenda vya kwao au ni ujinga wa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Hii hapa Azam TV yenye malipo nafuu

    Habari zenu wakubwa! Kuna kitu natamani kuelimishwa, mimi ni mtumiaji wa Azam TV, huku kwetu tunauziwa Tsh 99,000 complete but without any package ang Tsh 55,000 Dekoda pekee without any package. Unalazimika kununua package ya Tsh 28,000 ili iweze kufunguliwa baada ya kununua. Ila sasa kuna...
  15. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Azam Media, ratiba za vipindi vyenu haiendani na mnachoonyesha

    Sijui ni mimi tu ila hili jambo limekuwa linanikwaza sana. Unakuta unaangalia moja ya channel za Azam wanasema ikifika muda fulani kuna kipindi fulani kinakuja. Muda huo unafika na kupita ila kipindi hiko hakionyeshwi. Nini kinawakwamisha kufuata ratiba zenu? Nimekaa hapa lisaa zima...
  16. Inside10

    JamiiForums Tanzania Star tv na Azam king'amuzi leo, je ni hujuma dhidi ya BBC swahili?

    Wakuu naomba kuuliza Sta tv na Azam king'amuzi wanahujumu bbc swahili ?! Mara nyingi siku zenye habari nzito kwa hivi karibuni ikifika saa 3 usiku Star tv siipati kwenye kingamuzi changu.
  17. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Ligi Kuu ya Veterans: Simba SC 2-0 Azam

    FT Simba 2-1 Azam Nimefarijika sana kuwaona wachezaji wakongwe wa Simba. Nikiri kwamba hawa ndio watu waliofanya nianze kushabikia Simba SC enzi za RTD na mtangazaji Juma Nkamia na Bin Swed Dua Bin Saidi Pamba Lufo George Masatu Kipa Kelvin Mhagama Chombo Redondo Haruna Boban Adam Kingwande...
  18. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Stellebosch ni kama Azam iliyochangamka.timu haina mashabiki kwao,wabongo walioko huko wanatosha kuifanya Simba ijisikie iko nyumbani

    Pamoja na mambo mengine kinachoikwamisha Azam ni kukosa mashabiki. Stella wakiwa ugenini ni wakali kuliko kwao Kule kwao hawana mashabiki kabisa kama Azam Simba itakuwa kama iko kwa Mkapa tu. Mchawi wetu atakuwa VAR,tusiruhusu goli hata la offside,wala kugongana na hao wazulu koko kAribu na...
  19. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Azam Tv nayo imegeuka Tawi la CCM !

    Kama unafuatilia Azam Tv kwa sasa.. Zile habari Hasi za chadema mfano wale G55 ndio wanazitangaza kwa urefu sana. Lakini habari zenye Chanya kwa chadema huwa wanazitangaza kwa ufupi sana au kuzikata kata.. Tena zile habari muhimu za Chadema hawazipost kabisa . Mfano tukio la kukamatwa kwa Mh...
  20. jMali

    JamiiForums Tanzania Hongera Azam Media Kwa Usikivu

    Naona mmepania kweli, kila dakika 10 salamu za Pasaka :). Heko kwa kusikia malalamiko/ushauri wa watazamaji. Sasa bado tu suala la Tamthilia zisizofaa kwa nchi yetu isiyo na dini, natumaini season zake zikiisha mtaachana nazo. Asanteni tumeona burudani kwa wote.
Back
Top Bottom