azam

  1. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Mbeya City yaitoa Azam FC kombe la Shirikisho la CRDB

    Huu kweli ni mwaka wa ubaya ubwela. Azam ametolewa kwa penati na Mbeya City katika mashindano ya Shirikisho la CRDB Cup. Tukumbuke kwamba Mbeya City inacheza katika ligi daraja la kwanza. Timu hizo zilimaliza mchezo kwa kufungana 1-1 ndiyo wakaenda kupigiana penati ambapo Mbeya City ikashinda...
  2. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Hii ni aibu kubwa Azam media sidhani kama kuna umakini kwenye upande wa usimamizi!

    Chombo kinachotegemewa kutoa habari mambo yapo hivi...mpira umekwisha au unaendelea dk ya 90....
  3. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Azam energy imepanda bei maradufu! Ni kodi, gharama au kiburi?

    Azam energy imepanda bei, kutoka 500/- ikaja 600/- Sasa imepanda bei maradufu mpaka 800/- Je, ipi sababu ya bei kupanda? Labda kodi imeongezeka, gharama za uzalishaji zimekuwa kubwa, kiburi na jeuri ya kujiona hana mpinzani au ni Nini? Gharama imeongezeka na kuwa kubwa ghafla sana. Huko kwenu...
  4. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Azam anatuharibia mpira: Unamiliki timu halafu unakuwa mdhamini wa ligi, hii haikubaliki

    Leo nimeumia sana, tumenyimwa penati 3 clear kabisa wakuu kisa timu ya mdhamini inacheza. Maumivu ni makali sana, tungefunga penati zote tungewakanda 5-2. GSM na Azam hatuwataki. Mo acha unyonge, dhamini nawewe timu mbili tatu. Simba Nguvu moja.
  5. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Kinachoigharimu Simba ni kupoteza focus katika nyakati muhimu

    Simba imefanya usajili mzuri sana msimu huu na imepambana sana katika mashindano yote ambayo imeshiriki mpaka sasa. Mechi zote ambazo Simba imepoteza msimu huu au kutoka sare ni kwa sababu ya makosa ambayo chanzo chake kikuu ni kupoteza focus au umakini. Hii inaonyesha timu ni imara sana ila...
  6. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Kalamu ya Leo 📝 | Simba SC Vs Azam FC

    Kalamu ya Leo 📝 | Simba SC Vs Azam FC MZIZIMA DERBY 🔥! Simba na Azam wametupa mechi bora sana ✅! Fadlu David's Vs Rachid Taoussi 🔥 4-2-3-1 ya Simba in Build-up leo muda mwingi walicheza na 2-4-1-3(CBs then FBs wanacheza pembeni ya Ngoma na Kagoma then Ahoua juu yao kisha Kibu, Ateba na...
  7. Superbug

    JamiiForums Tanzania Ukitaka ujue ujinga wa watanzania angalia Azam sasa hivi ishu ni Simba na Azam

    Watanzania mambo ya msingi hawayapi kipaumbele ila mambo ya ujinga ndio wanayapa chapuo.
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Simba SC wenzangu nawaomba sana tujiandae 'Kisaikolojia' kwa Mchezo wa Leo dhidi ya Azam FC kwa Mkapa

    Tukishinda huu Mchezo jueni kwa 100% kwa Msimu huu Simba SC tunaenda kuwa Mabingwa kwani Mchezo dhidi ya Yanga SC tarehe 8 Mwezi ujao tuna 75% za Ushindi na 25% za kutoka nao Sare. Hivyo basi kwa wale Wanaosali nawaomba Wasali sana leo na wale Wanaoroga pia Waroge mno leo Simba SC yetu iweze...
  9. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Baada ya kusikiliza mameneja habari wa Aazam na Simba nimeamini kesho ni mechi kati ya fatu na fetty

    Mnaotegemea maajabu kesho mnajisumbua tu.Azam ni tawi la 5imba.Kama umemsikiliza vizuri Ahmed Ally leo utanielewa vizuri. Mnaobeti kazi kwenu. Hamtafundishwa kila kitu.
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Labda hapa mtueleze Wataalamu, Hili suala la DSTV na AZAM Max

    Uki stream DSTV HUWA HAINA TABIA YA KUSTUCK unakuta unatumia 4G speed ambayo una stream either kwa App au kwenye website kwa DSTV unachagua Highest Resolution na hai stuck. But Azam Max au ukitumia website inakuwa na changamoto sana. Haipo smooth. Ina stuck sana. Iwe kwa simu au kwa laptop...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mzizima Derby (Simba, Azam) yahamishwa uwanja, kupigwa Benjamin Mkapa

    Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imebadili uwanja na muda wa kuanza kwa mchezo namba 167 wa Ligi Kuu ya NBC baina ya Simba na Azam ambao ulipangwa kufanyika kwenye Uwanja wa KMC Complex, Februari 24,2025 kuanzia saa 10:00 ambapo sasa utafanyika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa siku hiyohiyo...
  12. ngara23

    JamiiForums Tanzania Mzizima derby (Simba vs Azam) imepoteza mvuto

    Hii ilikuwa Moja ya derby kubwa hapa Tanzania baada ya Ile ya Simba. Vs Yanga Ila Kwa Sasa ni kama mechi ya kawaida kabisa, watu hawana habari nayo Bado siku 1 hii derby ipigwe lakini hakuna anayejali, Watu wanaongelea mechi Mashujaa vs Yanga, hii imesikitisha sana Inasemekana kitu kilichoouwa...
  13. Emilio Mzena

    JamiiForums Tanzania Mbona sijawahi kuona tangazo la Safari Lager au Serengeti Lite kwenye chaneli za Azam?

    Wakuu kwema… Tupo huku tunavuna viazi na wananzengo wenzangu. Hoja ikaibuka, mbona hatujawahi kuona tangazo la kilimanjaro lager, safari lager, serengeti lite na vinywaji vya namna hiyo katika chaneli za Utv, Azam one & two, Azam Sports 1, 2, 3, 4 wala Sinema Zetu. Mdau mwingine akasema yeye...
  14. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania AZAM MEDIA mnaweka camera mita 500 kutoka uwanjani mnatuonyesha video replay wachezaji wanaonekana wadogo kama sisimizi, hivi hamuoni makosa yenu?

    Habari wakuu, Wale wapenzi wa mpira kuna wakati unatizama mechi za NBCPL unashangaa wachezaji wanashangilia goli, unajiuliza wamefunga saa ngapi na wwmefungaje fungaje! Unasubiri replay, napo unaona video nzuri lakini wachezaji wanaonekana kama sisimizi huwatambui vizuri licha ya kuwa...
  15. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Mjadala uliopo ni camera za Azam tv kurudia na kushindwa kuona tukio lililofanya refa kutoa red card je camera hizo hazikuweza kuona tukio hili?

    Mjadala nimeusikia haswa amri kiemba akikazania kauli kuwa hata marudio ya camera za azam haikuona kitendo alichofanya mchezaji kupewa red card ...swali je hizi camera hazikuliona tukio hilo la baka kwenye picha..... napatwa na wasi wasi na ubora wa kamera za azam labda ni chache uwanjani au...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Amri Kiemba angalia gemu ya Coastal vs Azam sasa hiv uone kama kweli Azam wataweza kucheza na Simba hiyo February 24

    Azam hawajui hata wachezeje hapa Tanga vs Coastal union, sioni mipango yoyote ya wao kupata goli hapa, they are playing as if they have forced to play, hawa msije kusema Simba wamebebwa maana uwanja mzima namuona Fei na Nurdin t yule mmanga aliyetoka Singida Black stars. Butua butua nyingiiiii
  17. Msela Wa Kitaa

    JamiiForums Tanzania Hawa Watangazaji Wa Azam TV Wanaotangaza Mpira Wa Ujerumani Wanakuwa Tanzania Ama Huko Huko Ujerumani?

    Msaada tutani
  18. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Business Performance and Analytics Manager at Azam Media

    WE ARE HIRING! Position: Business Performance and Analytics Manager Education: BSc in Actuarial Sciences, BSc in Mathematics, or a related field. Key Areas: Design Customer Value Management (CVM) and Customer Experience strategies. Increase revenue and customer satisfaction. Develop...
  19. Njemba Soro.

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi Ufm ya Azam na radio One ya ITV wanajua kuchekacheka na kukosoana kugha....

    Nimesikiliza radio One leo, (huwa sisikulizi radio) Sasa jamaa wao ni makelele ya MCHEZO SUPA na kupiga simu Kwa wasikilizaji. Yani jamaa anaongea hajamaliza mwingine anaongea na mwingine anaongea. Kwamba wanabishana. Sasa imefuka saa 10 jamaa kaweka UFM YA AZAM TV. Kwanza mchambuzi mkuu ni...
  20. emmarki

    JamiiForums Tanzania AZAM MARINE mlete vivuko vyenu Mafia

    Kivuko MV. KILINDONI kinachotoa huduma kati ya Mafia Wilayani Mafia na Nyamisati Wilayani Kibiti Mkoani Pwani kitasimama kutoa huduma katika eneo hilo kuanzia siku ya leo Tarehe 12 Februari, 2025 ili kupisha matengenezo pamoja na kufungwa injini mpya. Kivuko MV. KILINDONI kimewasili leo kikiwa...
Back
Top Bottom