azam

  1. shonkoso

    JamiiForums Tanzania Jamani kuna nini kinaendelea kati ya Azam TV na CHADEMA?

    Jamani kuna nini kinaendelea kwa anaejua kati ya Azam media na CHADEMA,naona wanareport taarifa hasi tu kuhusu CHADEMA, kama ni taarifa nyingine basi wanapewa muda mfupi mno,au CCM wameinunua kana walivyo fanya kwa channel 10,mwenye kujua tafadhali.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Simba hawajatumia uwanja wa Azam Compex, wakachagua kwenda Zanzibar kwenye mechi ya nusu fainali CaF?

    Uwanja wa Azam Complex unakidhi viwango vya kuchezewa mechi za kimataifa Na Simba ni timu ya Dar es Salaam, mashabikk wake wengi wapo mkoa wa Dar es Salaam na Tanzania bara, nadhangaa kwa nini Simba ikachagua kwenda Zanzibar ambako ni mbali na kugumu kufikiwa na mashabiki wake wengi? Pia...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Nunua Azam hii ufurahie malipo nafuu

    Habari zenu wadau, ninauza Azam Dekoda kutoka Malawi Dekoda hizi ni sawa na zilizopo Tanzania, ila zina baadhi ya vitu hasa gharama zake Comparison:- ✓Dekoda pekee Azam malawi Tsh 60,000 Azam Tv Tsh 55,000 ✓Ofa Azam malawi unapata mwezi 1 bure, package ya kufungua channel zote Azam tz inakuaja...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu Bakhressa fedha unazomwaga kwa ajili ya Azam Sports Club Peleka msikitini na kwa maskini, utanishukuru

    Unawalipa mishahara mizuri, wanalala pazuri, wana uwanja wa maana, hakuna njaa, wanakula vzr, facilities zote azam wanazo kwanini wakuumize moyo wako. Huoni unamkosea sana mungu kwa kuwaacha maskini na malofa wanaomba omba pale kariakoo, yatima wanateseka, vijana wenye kiu ya elimu wanakosa ada...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Azam wanaopaswa kuchezea Simba Msimu ujao

    Nawaomba na kuwasihi sana viongozi wa Simba, kuna mwaka tukiwabeba akina Manula, Nyoni, Bocco na Kapombe baada ya azam kushindwana nao kwenye dau , wachezaji hao waliiletea Simba heshima kubwa sana, hata hivyo matokeo ya jana azam kuliwa na Yanga yamenifanya niwashawishi viongozi wangu kufanya...
  6. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Wazee wamemaliza kazi saa 4 ya leo. Yanga tusipopata 3 points kwa Azam nipigwe ban. Sioni Azam wakibana hii game

    Match imeisha tayari. Miundombinu imeshafanyika na kukaa sawa. Kazi imeisha. Azam watake watafungwa, wasitake watafungwa. Sioni kama Azam wana pa kutokea. Hawana piga ua points 3 tunachukua. Wazee wanasema Azam akibana sana bao 2 ndo za chini kabisa. Yanga ikipoteza points nipigwe ban. Sioni...
  7. Tembosa

    JamiiForums Tanzania Full Time: Azam FC 1 - 2 Young Africans SC | NBC Premier League | Azam Complex | 10-04-2025

    SIKU YA MECHI KALI. 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Azam Fc 🆚 Young Africans SC 📆 10.04.2025 🏟 Azam Complex 🕖 1:00 Jioni VIKOSI VINAVYOANZA LEO. Updates.... Dakika 11 Pacome anaipatia goli la kuongoza kwa Yanga Dakika 19 Pacome anatolewa nje kupata matibabu zaidi baada ya kuumizwa Dakika 34...
  8. Damaso

    JamiiForums Tanzania Youssouph Dabo ulikuwa mbuzi wa Kafara pale Azam

    Baada ya kufungwa na Singida, sasa rasmi Azam FC hawatoweza kufikia idadi ya alama walizomaliza nazo msimu uliopita (69) walipokuwa chini ya kocha msenegali Youssouph Dabo, mpaka sasa Azam wana alama 51, wamesalia na mechi 5 ambazo hata wakishinda zote watafikisha alama 66. Tusamehe sana Kocha...
  9. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mfanyakazi wa Azam Tv, Rahabu Fungo amefariki Dunia

    TANZIA: Uongozi wa kampuni ya Azam Media Limited, unasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi wake, Rahab Fred Fungo, aliyekuwa Mhariri Mkuu Msaidizi kwenye Idara ya Habari na Matukio. Rahab amefariki dunia Aprili 5, 2025 jijini Dar es Salaam wakati akiendelea na matibabu katika Hospitali ya...
  10. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Azam akipata leseni ya kuonesha EPL na UEFA, hawa DSTV kwisha habari yao

    Itawavutia wengi kwa maana atapata package ya michezo ya nyumbani na ligi maarufu za epl na uefa. Dstv impoteza ubora alafu bado ni very expensive, haijalishi hata ukiweka kifurushi cha juu, utaambulia vitu vya ajabu, muvi za kujirudia rudia, angalau hata hii mbc ya azam unapata muvi za awali...
  11. kaisar19

    JamiiForums Tanzania Azam tv mnazingua

    Bila kupoteza muda asalaam alaykum Bwana asifiwe. Msiokua na mungu habari zenu. Azam tv mmekua na tabia ya kukata matangazo ya mpira yakiwa mubashara. Jambo hili linakera na kuzua sinto fahamu. Nikweli brand yenu ni kubwa fanyeni kazi kama ma professional. Mnakera mnakera mnakera
  12. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Mchina wa boat za Azam anayejinengua kwa miondoko ya Kike analeta tafsiri gani? Je anaburudisha au anakosea?

    Mchina wa boat za Azam anayejinengua kwa miondoko ya Kike analeta tafsiri gani? Je anaburudisha ama anakosea? Tazama Video👇
  13. S

    JamiiForums Tanzania King'amuzi cha Azam tv

    Habar za jioni,nimepata changamoto king'amuzi kinaniambia "hakuna kituo" Msaada kwa anaejua tafadhali
  14. Mbabani

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mo Dewji, Azam na GSM wamejenga uwanja unaotarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni.

    Timu ya Singida Black Stars inatarajia kuzindua uwanja wake mkoani Singida, uzinduzi utafanyika Marchi 24 kwa mchezo wa Kirafiki dhidi ya Yanga SC. Uwanja unaitwa AIRTEL STADIUM ambao wao ndio wameujenga kwa kushirikiana na wengine kama Azam, GSM, NBC, SBS na MO DEWJI. Credit: Nassib Mkomwa
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kumbe Mtangazaji Mchambuzi Hans Rafael Kiburi chako chote cha Unazi wako ni kwakuwa umepata Ofa Kubwa Azam Media na karibuni unaachana na Crown Media?

    Mchambuzi mahiri Hans Rafael ameomba kuvunja mkataba wake na Crown FM 👑, hatua inayozua maswali kwa mashabiki wa uchambuzi wa michezo. Taarifa nilizozipata kutoka kwa chanzo changu cha uhakika zinaeleza kuwa Hans amepewa ofa nono na Azam Media, jambo lililomsukuma kuomba kuondoka Crown FM...
  16. Mende mdudu

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Azam media

    Kampuni ya azam media natambua mchango wenu katika michezo, ila kuna watu wachache wana wahujumu ili kuwarudisha nyuma, kama ilivo tokea kwenye ngumi adi mkaa amua kujiondoa. Basi ushauri wangu kwenu bora mjiondoe pia kwenye mpila mechi kama izi ndo mlitakiwa mpate views wengi ila kuna watu kwa...
  17. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Azam hua mnakosea sana kwenye matangazo yenu ya Derby

    Azam kitengo Cha Promotions hua mnafanya Sana hili kosa la double standard kwanini? Yani inachekesha sana Kwenye games 2 za mwisho Yanga Vs Simba zote Yanga ameshinda Tena Kwa goli 1-0 zote hapo Simba hajafunga hata goli la kuotea ila Kwa tangazo lenu official la Derby mnaonyesha Simba...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Aliyewaita AZAM FC inzi wa chooni hakuna udhalilishaji wowote aliofanya.

    ila aliyesema kuna kikao baina ya makolo na waamuzi amefanya udhalilishaji mkubwa usioonyeka wala kuvumilika wala kuchukuliwa kama utani! By the way,nimefurahi kuona Ahmed ally yuko huru maana mpira ni mchezo,na michezo ni ushindani tu wa kuitafuta Furaha na sio UADUI! ukweli ni kwamba kijana...
  19. ommytk

    JamiiForums Tanzania Mwendokasi wana cha kujifunza kwa Azam pale ferry, watanzania wanataka huduma Bora na sio bora huduma

    Kuna kitu kikubwa sana cha kujifunza ukienda pale Ferry Kigamboni kwenye kivuko kuna uwekazaji umefanyika na Azam yaani unaona kabisa kuna maisha sasa Kigamboni na watanzania wanaishi kwa kutokuwaza kero zilizowahi kuwepo za kivuko yaani vitu class kabisa unakutana navyo. Pale Ferry kwa wazo...
  20. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Records: Sure Boy na Mudathir walisimamishwa Azam kwa sababu ya kupanga matokeo dhidi ya Yanga

    WACHEZAJI watatu wa Klabu ya Azam FC ambao ni Nahodha Aggrey Morris, Salum Abuubakar (Sure Boy) pamoja na Kiungo Mudathir Yahya Abbas walisimamishwa kwa muda usiojulikana kutokana na utovu wa nidhamu. Kupitia mjadala mkali wa Crown Media imebainika kuwa walipanga matokeo dhidi ya Yanga...
Back
Top Bottom