Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 5,018
- 7,592
Hivi Azam na yanga wanacheza lini?
OhNimepoteza hela yangu leo tena; nilidhani kuwa Yanga atashinda 1-0. Hata hivyo nilikuwa nimebeti laki moja tu, siyo hela kubwa sana.
Du mkuu we uko vizuri hiyo kwangu mkubwa sanaNimepoteza hela yangu leo tena; nilidhani kuwa Yanga atashinda 1-0. Hata hivyo nilikuwa nimebeti laki moja tu, siyo hela kubwa sana.