azam

  1. vnn

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu hakipo sawa kati ya Àzam Media na TFF

    Licha ya Ligi ta azam confederation cup kupata mdhamini mpya CRBD Bank na ligi kitambulika rasmi kama CRDB bank Federation Cup, Azam wamegoma kuitambua benk ya CRDB katika ligi hiyo! TFF ligi wanaitambua kama CRDB bank Federation cup,. Azam ligi wanaitambua kama Azam federation cup! je ni i...
  2. covid 19

    JamiiForums Tanzania Mimi lawama zote nazielekeza kwa team ya azam fc wametimiza lengo lao la kuikomesha yanga

    Figisu kwa team ya young African zilianza kwenye match dhidi ya azam ile match tulioangalia wote tutakubaliana hapa kuwa azam alipania kuwaumiza wachezaji nyota wa young African kwa makusudi ili kuwakomoa kutokana na mgogoro uliokuwa umeibuka baina ya team hizo mbili na kupelekea yanga kupata...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Sauti ya Mkandara Lufufu kwenye tangazo la ngumi za Azam Tv.

    Ki ukweli sauti ya Mkandara Lufufu ilikuwa na upekee fulani hivi ambao haupati kwa watu wengi. Ila hivi juzi nimeona tangazo la ngumi kati ya Karim Mandonga na Mada Maugo huku kuna jamaa kaingiza sauti kama ya Lufufu akisimulia namna mabondia hao wanavyotafutana msituni. Sasa mimi nilikuwa...
  4. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Azam CamCard

    Wakuu,, Sasa hivi home kwangu natumia Dishi ya Azam inayotumia docoder ya kawaida.. So naweza kupata Cam card pekee ili niweze kuweka kwenye TV yangu bila kutumia decorder.. maana hii CamCard inasaidia kupunguza matumizi ya umeme kupitia decoder ya kawaida
  5. Mzingo

    JamiiForums Tanzania Je,mchambuzi Ramadhani wa Azam tv alitaja 4M$ kama bei ya Mendieta wa Mamelodi?

    Wakati wa uchambuzi wa mechi ya Yanga vs Mamelod, mchambuzi Ramadhani Mbwaduke wa Azam tv alitaja bei ya mchezaji Junior Mendieta kuwa ni $4M. Kwamba hiyo pesa ndiyo iliyotolewa na Mamelod kumnunua. Nimecheki leo,nimekuta Junior Mendieta alitoka Argentina 2020,akaenda Schellebosch ya South...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Nasema na narudia tena hapa Tanzania timu yenye uwezo, kiwango na ubora wa kuikabili Mamelodi Sundowns bila ushirikina ni Azam FC tu

    Yaani kwa namna unavosikia mbwembwe na majigambo kuwa Mamelodi atakufa cjui Mudathiri ndio siku yake hiyo wala sio uwezo wa kocha, kocha kesho ana mchango wa asilimia 30 tu, 70% ameachiwa mganga. Ni azam pekee ndio yenye wachezaji wenye quality, kiwango na uwezo wa kuikabili timu yoyote hapa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Azam wameigharimu sana Yanga kuelekea mchezo wao na Mamelodi

    Mechi baina ya Yanga na Azam, imezaa majeruhi wawili ambao ni wachezaji muhimu sana kwa Yanga.Wachezaji hawa ni Pacome na Yao Kouassi. Tunachojiuliza hii ni bahati mbaya tu au kulikuwa na nia ovu? Anyway, Yanga tujipange tu kutokana na hali halisi kiuelekea mechi yetu na Mamelodi.
  8. F

    JamiiForums Tanzania Azam heko kwa hii theme music ya Solidarity forever inaleta msisimko kama wimbo wa taifa

    Azam heko kwa hii theme music ya Solidarity forever inaleta msisimko kama wimbo wa taifa Uzi tayari.
  9. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hivi ushindi wa Azam jana hauathiri harakati za Simba kugombea nafasi ya pili?

    Jana nimeshangaa Simba kufurahia ushindi wa Azam wakati ni wapinzani wao kwenye kugombania nafasi ya pili!! Hivi ni umbumbumbu au ni kitu gani!? Au wanadhani labda wanagombea ubingwa?
  10. L

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli na tuache unafiki, kwa kikosi kile cha Azam nani anaweza kuthubutu kupata hata sare?

    Timu la AZAM limejaa wachezaji wa viwango vya Kimataifa, jana tu mziki ulikuwa ule na bado kuna mijitu ya hatari haikucheza, kuna binadamu linaitwa Akaminko halikucheza, kuna jibaba Sidibe halikucheza, Bajana hakucheza, ina michezaji ya hatari iko kule Africa Kusini ikipatiwa matibabu. Hawa...
  11. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Azam jana walitukamia, huo si uchezaji wao wanapokutana nasi

    Nliona kabisa hii match kuna kitu kipya ambacho si cha kawaida kwa hawa mbwas. Sijajua ni nani aliyewatonya mambo flani hawa mbwas. Ilikuwa tuwachape 1 bila game iishe hivyo. Lakini kuna kitu walikifanya bila kutushirikisha. Inawezekana kuna kiongozi mmoja ni Mkia mule ndani jana alipata nafasi...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Hongera Pacome Zuzu kwa kujivunja mapema leo vs Azam

    Pacome Zuzu mjanja sana, ameicheki gemu weekend akaona hapana, hawa viungo wa azam Feitoto na Yahya Zayd sio wa nchi hii, wanakaba mwanzo mwisho, mjinga akaona isiwe tabu akajivunja mapemaaaaaa. Pacome Zuzu umenchekesha sana leo kwa kujivunja mapemaaaa
  13. S

    JamiiForums Tanzania Hongera Azam kwa ushindi mwepesi 2-1, mmefanya ligi ianze kuchangamka upyaa!!

    Kipekee niwapongeze Azam fc, mlidhamiria hatimaye mmepata cha kusema, kumfunga bingwa si haba... Feisal Salum hatimaye umepooza maumivu, hongera pia! Mwisho kabisa niwaonye Makolo, kihere here chenu kitawaponza. Jiandaeni kwa tano zingine...!! Shuhuli sio yenu, mnatembea na ndizi, shen...zzyy...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Nacheka lakini Naogopa, Azam ilikuwa ishinde mabao 8 leo dhidi ya Yanga

    Dah eti hii timu iliifunga Simba mabao 5 1, wajinga wakubwa nyie, wahuni wakubwa nyie, wezi wakubwa, majambazi wa soka nyie, wanyela wakubwa. Azam mmefanya uzalendo sana leo, japokuwa mmeshinda lkn ilikuwa mshinde mabao 8 leo, Jibrik Sylla, Kipre Junior walikuwa na uwezo wa kumaliza mchezo...
  15. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Azam ni Mwembe wetu wa Uani, tunajichumia tu maembe muda wowote

    Hawa jamaa tunawagonga. Miaka kadhaa mfululizo wamekuwa mdebwedo sana kwetu. Tunawajua na wanatujua. TUNAJUANA. hawana sababu ya kutunyima ubingwa. Niaminini mimi. Watawachezea hao hao mikia. Ila sisi kwa sisi Azam watapokea kichapo tu. Tunajua tulifanyalo. Wakifanikiwa hata draw leo nipigwe...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Viongozi Azam kukaa kwenu na wachezaji kwa ajili ya kuikabili Yanga leo ni danganya toto

    Juzi tumeona mmekaa na wachezaji mkaongea nao na kubwa zaidi mlitaka wachezaji wazingatie maslahi ya timu kwa kuipigania, mnataka angalau mshike nafasi ya 2 mcheze ligi ya making wa, mmewaambia kuwa tajiri amemwaga fedha nyingi sana lkn haoni matokeo. Mmewaomba wachezaji washing mechi kubwa...
  17. Mtoto halali na hela

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 2-0 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 15.03.2024

    Patashika ya ligi kuu kuendelea leo, kwa kukutanisha wekundu wa Msimbazi dhidi ya wazee wa Mapigo na Mwendo baada ya futari. Muda ni saa mbili na robo usiku, Azam complex Kikosi Game ishaanza dakika ya 18 bado bila bila Yellow card Michael Masinda kamfanyia Saido faulo, game inaendelea...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Azam mmenikera sana jana kwenye mechi ya Simba vs Singida Fountain

    Mm ni mmoja wa wadau wakubwa wa Azam, iwe media, iwe tigopesa, iwe sports, iwe ice cream ali mradi tu imeitwa Azam. Jana, kabla ya mchezo haujaanza kipa wa Singida Benedict Haule alionekana kwenye luninga akiwa amesimama langoni ameshika taulo lake na maji, akaweka chupa zake za maji vzr, ndani...
  19. uran

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 3-1 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | 12.03.2024

    Muda ni Saa 2:15 Usiku. Kikosi cha Simba Kinachoanza. Kikosi cha Singida FG Kinachoanza #nguvumoja#. Updates... Dakika ya 5' Goooooal kupitia kwa Saidoo baada ya kipa kuutema mpira wa Chama. Dakika ya 8' Penati wanapata Simba. Anaipiga Saidoo Goaaaaaaaaalllll 2-0. Dakika ya 34' Fredddd...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania GSM na Azam nani anadhamini timu nyingi kwenye NBC League?

    Azam anamiliki timu kwenye ligi ni mdhamini wa ligi kuu yote wakati GSM anadhamini timu za Yanga, Namungo, Coastal na Singida tu. Kwanini kuna watu wanataka kuonyesha kuwa GSM anainuisha yanga zaidi kwenye ligi kwa udhamini wa timu chache kwenye ligi? Unapotaka kuhoji ushindi wa Yanga anza...
Back
Top Bottom